May 09, 2016

GIGY MONEY MATONYA KUNA KITU, WANASWA WAKIWA KWENYE POZI TATA

Video queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stamford ‘Gigy Money’ akiwa katika pozi na mbongo Fleva, Seif Shaban ‘Matonya’. Habari zilizoe... thumbnail 1 summary
Video queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stamford ‘Gigy Money’ akiwa katika pozi na mbongo Fleva, Seif Shaban ‘Matonya’. Habari zilizoenea wikiendi iliyopita zilidai kwamba, kuna kitu kinaendelea kati ya video queen asiyeishiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mama wa SNURA Aanguka Ghafla... Ndugu Waja Juu... SNURA Anyooshewa Kidole!

Wakati Wabongo wakiwa wamecharuka mitandaoni kuuzungumzia wimbo wa Chura wa Snura Mushi, nyuma ya mijadala hiyo, kuna habari ya kuhuzunis... thumbnail 1 summary
Wakati Wabongo wakiwa wamecharuka mitandaoni kuuzungumzia wimbo wa Chura wa Snura Mushi, nyuma ya mijadala hiyo, kuna habari ya kuhuzunisha, mama mzazi wa msanii huyo, Doto Sanzegara, alijikuta akianguka kwa mshtuko baada

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

List ya Wasanii Wakubwa Ambao Navy Kenzo Wamefanya Nao Collabo, Ipo Hapa

Kundi la muziki wa Bongo Flava nchini, NavyKenzo, wametoa orodha ya wasanii 4 wakubwa barani Afrika ambao tayari wamefanya nao Kolabo. thumbnail 1 summary
Kundi la muziki wa Bongo Flava nchini, NavyKenzo, wametoa orodha ya wasanii 4 wakubwa barani Afrika ambao tayari wamefanya nao Kolabo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hanscana" Nimemaliza Tofauti Yamgu na Q Chief

Director kiwango wa video Bongo anayepiga mzigo kupitia Wanene Films, Hanscana, amesema tayari wamemaliza tofauti na ugomvi uliokuwako ka... thumbnail 1 summary
Director kiwango wa video Bongo anayepiga mzigo kupitia Wanene Films, Hanscana, amesema tayari wamemaliza tofauti na ugomvi uliokuwako kati yake na msanii wa muziki Abubakary ‘Q Chief’ Katwila.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VideoMPYA: Nay wa Mitego leo kaachia hii video mpya ‘saka hela’ aliyoifanyia South Africa

Inawezekana uliwahi kumsikia msanii wa bongofleva Nay wa Mitego akisema kuwa hatokwenda kufanya video South Africa lakini ikitokea akaend... thumbnail 1 summary
Inawezekana uliwahi kumsikia msanii wa bongofleva Nay wa Mitego akisema kuwa hatokwenda kufanya video South Africa lakini ikitokea akaenda hiyo video itakua moto…. ndio hii katuletea hapa chini itazame

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nauli za Mabasi yaendayo haraka ziko hapa, siku mbili bure

Baada ya Kampuni ya UDA-RT kuwasilisha maombi ya nauli zitakazotumika kwa mabasi yaendayo haraka kwa Mamlaka ya udhibiti usafiri wa nchi ... thumbnail 1 summary
Baada ya Kampuni ya UDA-RT kuwasilisha maombi ya nauli zitakazotumika kwa mabasi yaendayo haraka kwa Mamlaka ya udhibiti usafiri wa nchi kavu na majini (SUMATRA) May 09 206 SUMATRA imetangaza nauli hizo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kilo 132,975 za Sukari Zagawiwa Bure

Dar/mikoani. Wakati sukari ikiendelea kuadimika na kupanda bei, Mamlaka ya mapato TRA mkoani Lindi imetaifisha na kugawa bure kilo 132,97... thumbnail 1 summary
Dar/mikoani. Wakati sukari ikiendelea kuadimika na kupanda bei, Mamlaka ya mapato TRA mkoani Lindi imetaifisha na kugawa bure kilo 132,975 za sukari kwa taasisi 31 za umma.
Sukari hiyo yenye thamani ya Sh373,521,618 imegawiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz 'Atundikiwa Dripu Kisa Zari', Amefunguka Hapa

Kupitia mtandao wa Instagram, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameandika kuhusu 'kutundikiwa dripu' kisa mapenzi ya Za... thumbnail 1 summary
Kupitia mtandao wa Instagram, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameandika kuhusu 'kutundikiwa dripu' kisa mapenzi ya Zari ambaye ni mama wa mtoto wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meya Ataka Gesti Zifungwe Kamera za Siri, Ni Baada YA Mauaji Gesti.

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ameshauri kufungwa kwa kamera maalumu za CCTV kwenye nyumba zote za kulala wageni na hoteli il... thumbnail 1 summary
Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita ameshauri kufungwa kwa kamera maalumu za CCTV kwenye nyumba zote za kulala wageni na hoteli ili kuimarisha ulinzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magufuli Aahidi Sukari ya Bei ya Chini

Serikali ya Tanzania imeagiza sukari ilikukabiliana na upungufu wa sukari uliopo nchini. Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema bad... thumbnail 1 summary
Serikali ya Tanzania imeagiza sukari ilikukabiliana na upungufu wa sukari uliopo nchini.
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema badala ya kuwapa wafanyabiashara leseni ya kuagiza sukari kutoka ng'ambo serikali yenyewe ndio itaagiza sukari hiyo moja kwa moja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Msichana wa Miaka Kumi na 14 Aua Watu Wanne Kwa Sumu Siku ya Harusi Yake

Msichana mdogo alieolewaBi harusi wa miaka 14 nchini Nigeria ameshtakiwa kwa kuwaua watu wanne akiwemo mumewe wa miaka 35 baada ya kuweka... thumbnail 1 summary
Msichana mdogo alieolewaBi harusi wa miaka 14 nchini Nigeria ameshtakiwa kwa kuwaua watu wanne akiwemo mumewe wa miaka 35 baada ya kuweka sumu ya panya katika chakula alichoandaa kwa sherehe za haruysi yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamuziki DIAMOND Atoa Ujumbe Huu kwa ZARI Hassan Katika Siku ya Mama Duniani...

Ujumbe wa Diamond kwa zari (mothers day) From @diamondplatnumz - A very Special Mother's day to this Beautiful and Humble soul of M... thumbnail 1 summary
Ujumbe wa Diamond kwa zari (mothers day)
From @diamondplatnumz - A very Special Mother's day to this Beautiful and Humble soul of Mine @zarithebosslady ... i wish you can understand how much i love you, Mpaka natiwa Dripu😥....wenyewe wanasema kuzaa sio tija, ila kumpata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Gadna : Sina Ugomvi na Jide, Nimemkojoza Miaka 15

Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee. thumbnail 1 summary
Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WATCH THE VIDEO: Amazing Goals Mbwana Samatta Scored Within Few Days With His Club

Tanzanian National team captain, Mbwana Ali Samatta who is also a striker for Belgium football Club, Genk has shown his talent within few... thumbnail 1 summary
Tanzanian National team captain, Mbwana Ali Samatta who is also a striker for Belgium football Club, Genk has shown his talent within few months in his team by scoring amazing

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: