October 16, 2014

TAZAMA NYUMBA MPYAA WALIZOKABIDHIWA WASANII WA ORIGINO KOMEDI

jana kundi la @orijinokomedi lilikabidhiwa nyumba zao walizonunua kutoka nssf zikiwa ziko tayari kwa kuamia kabisa. Nyumba ni 7 include... thumbnail 1 summary


jana kundi la @orijinokomedi lilikabidhiwa nyumba zao walizonunua kutoka nssf zikiwa ziko tayari kwa kuamia kabisa. Nyumba ni 7 includes masanja,seki,joti,mpoki,wakuvanga, mac regan na vengu. Kama kawa ziko full insured na crdb microfinance bank nikasimama pale kati basi apo ata moto utokeee wako miguu juu bima inalipa. Pongezi sana kwenu @sekionidavids @jotimdebwedo (my bae) @mpoki tulikuwakilisha @mkandamizaji mzee wa machapii aisee tutaiga mfano wenu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ISABELA: WANAWAKE TUSHINIKIZE NDOA TUOLEWE

MSANII  Isabela Mpanda ambaye yupo kwenye mikakati mizito ya kuolewa na msanii mwenzie Luten Karama, amewataka wasanii wa kike kuwa makini ... thumbnail 1 summary
MSANII Isabela Mpanda ambaye yupo kwenye mikakati mizito ya kuolewa na msanii mwenzie Luten Karama, amewataka wasanii wa kike kuwa makini pindi wanapoahidiwa kuolewa kwa kushikilia bango mpaka kieleweke kwa kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KATUNI

thumbnail 1 summary

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 7 kutoka Airport meneja wa T.I akiwasili Dar kwa ajili ya Fiesta

Ikiwa ni siku chache zimesalia za shangwe  za Serengeti Fiesta 2014 zitawale kwa wakazi wa 88.5 Oct 18 Leaders Club Dar es Salaam.Jason... thumbnail 1 summary
.
Ikiwa ni siku chache zimesalia za shangwe  za Serengeti Fiesta 2014 zitawale kwa wakazi wa 88.5 Oct 18 Leaders Club Dar es Salaam.Jason Geter ambaye ni meneja wa T.I amewasili usiku wa kuamkia Oct 16 kwaajili ya show ya Fiesta Jumamosi hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: