April 06, 2016

BARCA YASOGEZA MGUU MMOJA NDANI YA NUSU FAINALI UEFA (Video)

SHARE   Facebook   Twitter     Luis Suarez amepiga bao mbili Barcelona ikitoka nyuma na kuichapa Atletico Madrid 2-1 ikiwa n... thumbnail 1 summary

SHARE 

BarcaLuis Suarez amepiga bao mbili Barcelona ikitoka nyuma na kuichapa Atletico Madrid 2-1 ikiwa na watu 10 uwanjani kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Champions League.

Atletico ilifanikiwa kupata goli muhimu la ugenini wakati Fernando Torres alipofanya kazi ya ziada kupachika bao hilo kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
Lakini game ilibadilika muda mfupi baada ya Torres kutolewa nje kabla ya half-time baada ya kuonesha kadi mbili za njano ndani ya dakika saba.
Brca ambao ni mabingwa watetezi wa kombe hilo walichachamaa tangu kuanza kwa kipindi cha pili ambapo Suarez alifanikiwa kusawazisha goli kabla ya kupachika bao la ushindi kwa kichwa kikali.
Hatahivyo, ilikuwa ni bahati kwa Suarez kumaliza mchezo huo bila kuoneshwa kadi nyekundu baada ya kufanya makosa kadhaa ambayo si ya kiungwana kwenye mchezo wa soka ikiwa ni pamoja na ‘kumpiga kiatu’ kwa makusudi beki wa kulia wa Atletico Juanfran.
Suarez
Timu hizo zinasubiri game ya marudiano kwenye dimba la Vicente Calderon siku ya Jumatano ya juma lijalo.
Torres kutoka kuwa shujaa hadi kuharibu
Torres
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool na Chelsea alipachika bao la ugenini akiunganisha pande la kiungo mkabaji Koke huku glikipa wa Barca Marc-Andre ter Stegen akishindwa kuuzuia mpra ambao ulipita katikati ya miguu yake ‘tobo’.
Torres alioneshwa kadi ya njano ya kwanza kwa kumchezea madhambi Neymar kisha baadaye akaoneshwa kadi ya pili ya njano kwa kumchezea vibaya Sergio Busquets na kujikuta akitupwa nje ya mchezo kwa kadi nyekundu.
Torres
Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone alishangazwa na maamuzi ya referee wa kijerumani Felix Brych ambaye pia aliwahi kutoa nje kwa kadi nyekundu Arda Turan kwenye mchezo wa robo fainali ya Champions League dhidi ya Real Madrid msimu uliopita
Kocha huyo kutoka Argentina anaweza akaamini timu yake haikutendewa haki kutokana na tukio la Suarez kumpiga ‘buti’ Juanfran wakati akiwa hana mpira lakini hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa dhidi yake.
Mbinu za Atletico zilifanikiwa kwa kiasi kikubwa  
tactics
Wakiwa pungufu kwa mchezaji mmoja, Atletico bado waliendelea kuziba mianya na kupunguza kasi ya Barcelona waliokuwa kwenye uwanja wao wa nyumbani na kufanikiwa kutofungwa idadi kubwa ya magoli.
Barcelona walishindwa kuhimili usumbufu wa Atleico mwanzo mwa kipindi cha kwanza na kujikuta wakishambuliwa kila mara.
Atletico walitaka kuwachanganya Barca kwa kuwazuia kucheza soka lao la pasi nyingi na walifaniwa baada ya Torres kupachika kambani bao la kuongoza.
Video ya magoli yote Barcelona 2-1 Atletico Madrid

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ufisadi Waiponza NSSF... Yapigwa Marufuku Kuendelea na Ujenzi wa Miradi Mipya

Bunge limesimamisha utekelezaji wa miradi yote mipya ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) mpaka hapo Kamati na Wizara itakapopi... thumbnail 1 summary
Bunge limesimamisha utekelezaji wa miradi yote mipya ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) mpaka hapo Kamati na Wizara itakapopitia taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), sambamba na kuitisha taarifa za utekelezaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vanessa Mdee analipwa kila muziki wake unapochezwa kwenye Radio na TV yoyote South Africa

Kwenye dunia ya sasa Wasanii wa muziki pia wanayo nafasi ya kulipwa au kujiingizia pesa kutokana na vyanzo mbalimbali na hiyo yote ni kut... thumbnail 1 summary
Kwenye dunia ya sasa Wasanii wa muziki pia wanayo nafasi ya kulipwa au kujiingizia pesa kutokana na vyanzo mbalimbali na hiyo yote ni kutokana na muziki wao ndio maana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FC Barcelona hawajakubali kufungwa mara mbili mfululizo Nou Camp, huu ndio ushindi wao dhidi ya Atletico

Michezo ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya ilichezwa usiku wa April 5 2016 katika viwanja vya  Nou Camp  uliz... thumbnail 1 summary

Michezo ya robo fainali ya michuano ya klabu Bingwa Barani Ulaya ilichezwa usiku wa April 5 2016 katika viwanja vya Nou Camp ulizikutanisha timu za FC Barcelona dhidi yaAtletico Madrid na katika uwanja wa Alianz Arena

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sina Ndoto Ya Kumuoa Jokate - Alikiba

Mwanamuziki nguli wa muziki wa Bongo Fleva anaye tesa na ngoma yake ya Lupela, Ali Kiba, ameshikwa na kigugumizi kuhusiana na mahusiano y... thumbnail 1 summary
Mwanamuziki nguli wa muziki wa Bongo Fleva anaye tesa na ngoma yake ya Lupela, Ali Kiba, ameshikwa na kigugumizi kuhusiana na mahusiano yake na model maarufu wa hapa nchini, Jokate Mwegelo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mkali Wa Muziki Wa Pop Nchini Marekani, Justin Bieber Asokota Rasta

MKALI wa muziki wa Pop nchini Marekani, Justin Bieber, amewashangaza watu baada ya kupanda jukwaani kwenye tuzo za muziki za HeartRadio h... thumbnail 1 summary
MKALI wa muziki wa Pop nchini Marekani, Justin Bieber, amewashangaza watu baada ya kupanda jukwaani kwenye tuzo za muziki za HeartRadio huku nywele zake zikiwa zimesokotwa rasta.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zijue Dalili Za Kuonyesha Kuwa Mpenzi Wako Amechoshwa Nawewe, Na Vipi Utauepuka Majanga Ya Kuachwa....Soma Hapa

Naamini kuwa mahusiano yako na mpenzi wako siku za kwanza kukutana na yeye yalikuwa ya kufurahisha kila wakati mnapokuwa pamoja. Halaf... thumbnail 1 summary

Naamini kuwa mahusiano yako na mpenzi wako siku za kwanza kukutana na yeye yalikuwa ya kufurahisha kila wakati mnapokuwa pamoja. Halafu muda ulivyokuwa ukisongea mumejiona mukipunguza moto ambao mlikuwa nao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanaume : Zijue Mbinu Za Kumpata Mwanamke Ambaye Tayari Ana BoyFriend

Sababu za kwako kumzimia mwanamke ambaye tayari ana boyfriend sizijui ni zipi. Labda ulikuwa umemzimia tangu zamani lakini ulikosa mbinu ... thumbnail 1 summary
Sababu za kwako kumzimia mwanamke ambaye tayari ana boyfriend sizijui ni zipi. Labda ulikuwa umemzimia tangu zamani lakini ulikosa mbinu za kumtongoza akachukuliwa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ijue Mitandao 10 Maarufu Ya Kijamii Ya Kutafuta Wachumba

Tunatumia mtandao kila siku. Wengi wetu huchukua muda wao mwingi sana kuingia online na kuchat na marafiki, kupata habari, kudownload, ku... thumbnail 1 summary
Tunatumia mtandao kila siku. Wengi wetu huchukua muda wao mwingi sana kuingia online na kuchat na marafiki, kupata habari, kudownload, kusoma udaku, kuangalia video nk. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli kusafiri nje ya nchi kwa mara ya kwanza kesho, anaondoka na gari sio ndege

Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, April 5 2016 jina lake limerudi kwenye headlines kwa mar... thumbnail 1 summary
Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, April 5 2016 jina lake limerudi kwenye headlines kwa mara nyingine tena. RaisMagufuli amerudi kwenye headlines baada ya kukubali mwaliko wa Rais

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tanzania imechukua ushindi dhidi ya Misri leo April 5 2016

Timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kamaSerengeti Boys April 5 2016 ilileta faraja kwa watanzania, ... thumbnail 1 summary
Timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kamaSerengeti Boys April 5 2016 ilileta faraja kwa watanzania, baada ya kuendeleza umahiri wake wa kuifunga timu ya taifa ya vijana ya Misri The Pharaohs mara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: