January 14, 2015

SIKU ZA DIAMOND KUWA NA ZARI ZINAHESABIKA

Licha ya vyombo vya habari Tanzania kuyapalilia mapenzi ya wawili hao, hali ni tofauti nchini Uganda ambako mapaparazi wamekuwa wakiibu... thumbnail 1 summary

Licha ya vyombo vya habari Tanzania kuyapalilia mapenzi ya wawili hao, hali ni tofauti nchini Uganda ambako mapaparazi wamekuwa wakiibua mambo ya sirini ya msanii na mwanamama huyo tajiri nchini humo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAYNA: SINA MPANGO WA KOLABO NA DIAMOND

WAKATI   staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, akitafutwa kufanya kolabo na wasanii mbalimbali, nyota wa muziki huo kutoka Moro To... thumbnail 1 summary
WAKATI  staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, akitafutwa kufanya kolabo na wasanii mbalimbali, nyota wa muziki huo kutoka Moro Town, Dayana Nyange, ‘Dayna’ ameibuka na kusema hana mpango wa kufanya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASTAA: WATOTO KWANZA, NDOA SIYO ISHU

WAKATI  mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao thumbnail 1 summary
WAKATI mastaa kadhaa wa kike wa filamu Tanzania wakionekana umri wao kuwatupa mkono, lakini wakiwa hawana ndoa wala watoto, baadhi yao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ASLEY WA YAMOTO BAND NA NAIMA SASA PENZI LANOGA MPAKA KUJISAU NA KUFANYA HAYA...

Forget about Mziwanda's tatoo..This is Naima's tatoo in the name of love!!   thumbnail 1 summary


Forget about Mziwanda's tatoo..This is Naima's tatoo in the name of love!! 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Full Time ya Mtibwa Sugar vs Simba fainali Mapinduzi Cup 2015.

Mechi ya fainali Mapinduzi cup 2015 kati ya  Mtibwa Sugar na Simba imemalizika kwa timu ya Simba kuibuka na ushindi wa mikwaju ya matuta (... thumbnail 1 summary
.
Mechi ya fainali Mapinduzi cup 2015 kati ya Mtibwa Sugar na Simbaimemalizika kwa timu ya Simba kuibuka na ushindi wa mikwaju ya matuta (penalty) 4 kwa 3.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Umewahi kusikia kuhusu tattoo inayochorwa kwenye macho? Huyu aliichora ikamshinda!

Mastaa wengi tumeona wakijichora tattoo sehemu mbalimbali za mwili, sikuwahi kusikia kwamba kuna mtu amewahi kujichora tattoo kwenye jicho. thumbnail 1 summary
Dancehall-Artist-Alkalines-Tattoed-Eyes-Gets-American-Mainstream-Publicity-2Mastaa wengi tumeona wakijichora tattoo sehemu mbalimbali za mwili, sikuwahi kusikia kwamba kuna mtu amewahi kujichora tattoo kwenye jicho.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nakupa sek 15 za kuona kionjo cha video mpya ya Mwana FA ft Ali Kiba-Kiboko yangu

. Mtu wa nguvu utakuwa umeshaisikiliza ile single mpya ya  Hamisi Mwinjuma aka Mwana FA   ‘Kiboko Yangu’  aliyomshirikisha  Ali Kiba, sasa... thumbnail 1 summary
.
.
Mtu wa nguvu utakuwa umeshaisikiliza ile single mpya ya Hamisi Mwinjuma aka Mwana FA ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Ali Kiba,sasa time hii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: