February 19, 2014

FAHAMU MSIMAMO WA RAISI KIKWETE JUU YA HAKI ZA MASHOGA TANZANIA .. SOMA HAPA

AKIHOJIWA  na CNN nchini Uingereza hivikaribuni wakati akihudhuria mkutano uliolenga kuongeza mapambano dhidi ya  ujangili, Rais Ja... thumbnail 1 summary


AKIHOJIWA  na CNN nchini Uingereza hivikaribuni wakati akihudhuria mkutano uliolenga kuongeza mapambano dhidi ya ujangili, Rais Jakaya Kikwete amepigilia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ATIMAYE AMANDA POSH ALISHUKIA GAZETI LILILOMUANDIKA KUWA YEYE ANAJIUZA NA HIKI NDICHO ALICHO KISEMA

Msanii wa filamu za kiswahili aka Bongo Movies, Amand Poshy, ameonekana kukerwa na habari iliyoandikwa na gazeti moja hapa nchini thumbnail 1 summary


Amanda aandika ujumbe  unaolishambulia gazeti lililoandika habari inayodai kuwa anajiuza Msanii wa filamu za kiswahili aka Bongo Movies, Amand Poshy, ameonekana kukerwa na habari iliyoandikwa na gazeti moja hapa nchini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAWA NDO WANACHAMA WA FREEMASON HAPA TANZANIA , WATAZAME KATIKA PICHA YA PAMOJA

Tanzania ina wanachama hai zaidi ya 600 wa kundi la watu wenye imani ya siri ya Freemasons wakiwa wanatokana na watu wa kada mbalimba... thumbnail 1 summary


Tanzania ina wanachama hai zaidi ya 600 wa kundi la watu wenye imani ya siri ya Freemasons wakiwa wanatokana na watu wa kada mbalimbali wakiwemo maarufu,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMAA: MFAHAMU MKE WA MWIGIZAJI PIMBI WA NAIJA "AKI"... MAMBO YAO SI MABAYA NIAJE...! TAZAMA HAPA

You all know actor Chinedu Ikedieze's wife is a designer, right? Nneoma Ikedieze is the CEO of Nikiz Collection and unveil... thumbnail 1 summary


You all know actor Chinedu Ikedieze's wife is a designer, right? Nneoma Ikedieze is the CEO of Nikiz Collection and unveiled her 2014 collection

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA SASA KINADADA HII INAWAHUSU..!! FAHAMU HUKUMU YA WAVAA VIMINI NCHINI UGANDA...WADAU VIPI KAMA IKIFANYIKA NA TANZANIA

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya thumbnail 1 summary



Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMAA: JENGO LA KUSHANGAZA LENYE UMBO KAMA UUME WA MWANAUME? TAZAMA HAPA

Gazeti la chama tawala cha china, People’s Daily ambalo limezoea kuwa kitovu cha kusambasa habari, sasa limejikuta likiwa habari thumbnail 1 summary




Gazeti la chama tawala cha china, People’s Daily ambalo limezoea kuwa kitovu cha kusambasa habari, sasa limejikuta likiwa habari

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LINEX "ISSUE YA MIMI KUTOKA NA AGNESS MASOGANGE IMENISABABISHIA MATATIZO NA FAMILIA YANGU"

Msanii kutoka Kigoma na memba wa kampuni ya Leka Dutigite Linex Sunday Mjeda ameendelea kutoa kilio chake juu ya uzushi thumbnail 1 summary


Msanii kutoka Kigoma na memba wa kampuni ya Leka Dutigite Linex Sunday Mjeda ameendelea kutoa kilio chake juu ya uzushi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PATA KUMFAHAMU MCHUMBA WA ADAM MCHOMVU ... JIONEE HAPA

Hatimaye Adam Mchumvu aamua kumuweka hadharani mpenzi wake. Tazama picha hizo hapo chini thumbnail 1 summary



Hatimaye Adam Mchumvu aamua kumuweka hadharani mpenzi wake. Tazama picha hizo hapo chini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAULI YA MWANASHERIA KUHUSU SAKATA LA OKWI KUICHEZEA YANGA

Mwanasheria WA TFF, Allex Mgongolwa amesema kuwa mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kucheza Yanga na wala Sakata lake lisipotoshwe. thumbnail 1 summary


Mwanasheria WA TFF, Allex Mgongolwa amesema kuwa mshambuliaji Emmanuel Okwi yupo huru kucheza Yanga na wala Sakata lake lisipotoshwe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NIMEFANYA MAPENZI NA SHEMEJI YANGU KWA BAHATI MBAYA..PLEASE HELP

Naombeni ushauri wa hali na mali katika hili , Siku kadhaa zilizopita hapa nyumbani kwetu tulifanya sherehe ya birthday ya mtoto wetu k... thumbnail 1 summary


Naombeni ushauri wa hali na mali katika hili , Siku kadhaa zilizopita hapa nyumbani kwetu tulifanya sherehe ya birthday ya mtoto wetu kutimiza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSIMAMO WA ZITTO KUHUSU KATIBA MPYA HUU HAPA

Katiba ni mwafaka wa kitaifa. Kitendo cha CCM kuweka msimamo wa Serikali mbili kwenye muundo wa Muungano kinaua kabisa maana thumbnail 1 summary


Katiba ni mwafaka wa kitaifa. Kitendo cha CCM kuweka msimamo wa Serikali mbili kwenye muundo wa Muungano kinaua kabisa maana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TANZANIA TUNAHITAJI RAIS MWENYE U DIKTETA KAMA KAGAME AJE KUBADILISHA MINDSET TUPATE MAENDELEO

Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame thumbnail 1 summary


Pamoja na propaganda niite za kitoto zinazoendeshwa na viongozi wa Tanzania pamoja na Baadhi ya watanzania dhidi ya Rais Paul kagame

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMAA: WATOTO WA KIUME WAWILI WEUSI WATUPWA JELA KWA KUPIGWA MABUSU MTOTO WA KIKE MZUNGU...!SOMA HAPA

In 1958, two African American boys were playing with friends in the White section of their North Carolina town. It was an innoce... thumbnail 1 summary


In 1958, two African American boys were playing with friends in the White section of their North Carolina town. It was an innocent time in their lives. James Hanover

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SWALI GUMU KWA WAHUSIKA WAKINA NANI WAMEIBA BILION SH 480 BILIONI HAZINA? ... TOA MAONI YAKO MDAU

Tangu gazeti dada la The Citizen lichapishe mwishoni mwa wiki habari za upotevu wa Sh480 bilioni katika Wizara ya Fedha, Serikali ime... thumbnail 1 summary



Tangu gazeti dada la The Citizen lichapishe mwishoni mwa wiki habari za upotevu wa Sh480 bilioni katika Wizara ya Fedha, Serikali imekaa kimya kama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AIBUU: WOLPER NA MASOGANGE WAAMBULIA MATUSI MAZITO INSTAGRAM ..JIONEE MWENYEWE

Instagram ndiyo sehemu ambayo maumbea yote ya mjini yanapatikana huko hasa kwa wasanii.. Kuna vitu vingi thumbnail 1 summary



Instagram ndiyo sehemu ambayo maumbea yote ya mjini yanapatikana huko hasa kwa wasanii.. Kuna vitu vingi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HALI YA AFYA YA MSANII IRENE UWOYA SIYO NZURI, AMELAZWA HOSPITALINI

 Taarifa zilizosemwa na rafiki wa karibu wa msanii Irene Uwoya ni  kuwa yupo katika hali mbaya zaidi na kufikia thumbnail 1 summary



 Taarifa zilizosemwa na rafiki wa karibu wa msanii Irene Uwoya ni  kuwa yupo katika hali mbaya zaidi na kufikia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA FUNUNU KUWA LIL KIM NI MJAMZITO, MTOTOT ATAKAYEZALIWA AFAHAMIKA ... KIVIP SOMA HAPA

Baada ya stori ya Lil Kim ambae ni rapper mkongwe wa Marekani kuonekana mjamzito, boyfriend wake ambae pia ni rapper  Mr. Papers kwen... thumbnail 1 summary


Screen Shot 2014-02-19 at 7.22.18 AM
Baada ya stori ya Lil Kim ambae ni rapper mkongwe wa Marekani kuonekana mjamzito, boyfriend wake ambae pia ni rapper Mr. Papers kwenye interview ya hii ishu, amesema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MARUFUKU KWA MWANAMKE YEYOTE KUVAA NGUO ZA NUSU UCHI UGANDA ... SOMA NA TAZAMA PICHA HAPA

Taarifa ikufikie kwamba imepigwa marufuku kwa jinsia ya kike kuvaa nguo fupi (ki-mini) nchini Uganda na tayari Rais wa nchi hiyo Yo... thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-02-19 at 8.27.49 AM


Taarifa ikufikie kwamba imepigwa marufuku kwa jinsia ya kike kuvaa nguo fupi (ki-mini) nchini Uganda na tayari Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni amesaini rasmi sheria hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAFISADI SABA WALIOFICHA FEDHA NCHI ZAA NJE WATAJWA ... SOMA HAPA

Seven Tanzanians have about $40 million (TSh64 billion) stashed in offshore accounts in British Virgin Islands and Jersey, The Citize... thumbnail 1 summary



Seven Tanzanians have about $40 million (TSh64 billion) stashed in offshore accounts in British Virgin Islands and Jersey, The Citizen can reveal today.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABY MADAHA AAMUA KUACHA MZIKI NA FILAMU..SKENDO NA PRESHA ZIMEMCHOSHA

Baby Madaha Amehabrisha kuwa Ameamua kuacha fani ya mziki na ya Uigizaji kwa kila ... thumbnail 1 summary



























Baby Madaha Amehabrisha kuwa Ameamua kuacha fani ya mziki na ya Uigizaji kwa kila anachosema kuwa kuna maisha ya Presha ,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JUMA NATURE AKANUSHA UVUMI KUWA KAMPONDA DIAMOND KWENYE WIMBO WAKE MPYA

Hatimaye Juma Nature, amezungumzia utata ulioibuka kwenye wimbo wake mpya Kama Jana, unaohusiana na kama kweli amemdiss Diamond. thumbnail 1 summary


Hatimaye Juma Nature, amezungumzia utata ulioibuka kwenye wimbo wake mpya Kama Jana, unaohusiana na kama kweli amemdiss Diamond.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OMMY DIMPOZ AMPIGA KIJEMBE KIKALI DIAMOND KUPITIA TWITTER

Diamond Platnumz ali-tweet kupitia ukurasa wake wa Twitter kuhusu mambo ya mapenzi na mahusiano … thumbnail 1 summary



Diamond Platnumz ali-tweet kupitia ukurasa wake wa Twitter kuhusu mambo ya mapenzi na mahusiano …

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHADEMA WATOA SIKU TATU KWA RAIS KIKWETE..SOMA ZAIDI HAPA...

Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kufuta kauli yake ya kuwataka wana CCM kuacha unyonge na kujibu mapigo dhidi ya upinzani na ame... thumbnail 1 summary


Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kufuta kauli yake ya kuwataka wana CCM kuacha unyonge na kujibu mapigo dhidi ya upinzani na ametakiwa kuomba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMA SAANA: SUKA ANASWA LIVE AKINGONOKA NA CHANGUDOA NDANI YA GARI YA KAMPUNI ...SOMA ZAIDI HAPA

Yelewiii!  Dereva ‘suka’ wa kampuni moja binafsi yenye makao yake makuu Kurasini jijini Dar (jina halikupatikana) Jumapili iliyopita al... thumbnail 1 summary

Yelewiii!  Dereva ‘suka’ wa kampuni moja binafsi yenye makao yake makuu Kurasini jijini Dar (jina halikupatikana) Jumapili iliyopita alinaswa akifanya mapenzi na changudoa  ndani ya gari la kampuni hiyo, kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kilishuhudia tukio hilo laivu.

Dereva huyo akiwa na mwenzake walifika maeneo ya Mbagala Zakhem saa 7 usiku wa Februari 16, mwaka huu bila kujua kama OFM ilikuwa katika maeneo hayo kwa ajili ya kufanya oparesheni tokomeza machangudoa. 

OFM ilimshuhudia dereva huyo na mwenzake wakishuka ndani ya gari aina ya Toyota Hilux (isiyokuwa na ‘pleti’ namba upande wa  mbele) mali ya kampuni  hiyo, wakiingia kwa fujo katika moja ya madanguro maarufu na kupaki gari  kisha wakashuka kuelekea kwenye danguro la machangudoa. 

Baada ya muda, mmoja wao alirejea akiwa na changudoa maarufu kwa jina la Waluwalu na kujifungia ndani ya gari hilo. 

Kama kawaida yake OFM iliwataarifu askari wa Kituo cha Kizuiani waliokuwa doria katika eneo hilo ambao kwa pamoja walilivamia gari na kumuamuru dereva  ashuke. 

Hata hivyo, suka huyo alikuwa mbishi akaamua kufunga milango na kupandisha vioo ili asiweze kubughudhiwa na kile alichokuwa akikifanya ndani ya gari. 

Askari waliokuwa na silaha wakalizunguka gari hilo na dereva huyo alipoona mambo yamekuwa magumu alifungua mlango na kutimua mbio lakini hakufika mbali kabla ya kuwekwa chini ya ulinzi sambamba na changudoa aliyekuwa naye. 

Akizungumza kwa hofu dereva huyo alisema, yeye na mwenzake ni madereva wa kampuni... (jina tunalo) na walikuwa maeneo hayo kwa bahati mbaya na si kama walifika kuwanunua machangu hao. 

Dereva huyo alipotakiwa atoe sababu za kujifungia ndani ya gari hilo na changudoa kisha kutoa pleti namba ya mbele ya gari, alijitetea kwa kusema kuwa pleti namba ilidondoka barabarani tangu mchana, hivyo walikuwa wakimtafuta fundi ili awatengenezee. 

Alipohojiwa changudoa waliyekuwa naye, hakuwa na lolote la kusema zaidi ya kuangua kilio na kuomba aachiwe huku akilaumu ukali wa maisha kama sababu ya kujiingiza katika biashara ya kujiuza.
Wahusika hao walifikishwa Kituo cha Polisi cha Kizuiani kabla ya kesho yake (Jumatatu) kupelekwa Mahakama ya Jiji kusomewa makosa yanayowakabili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKUBWA: SIRI NJE NJE MSANII LINAH APIGWA MIMBA NA MDOSI, AFUNGUKA KIHIVI ... SOMA ZAIDI HAPA

MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya, Estelinah Sanga maarufu kama Linah, anadaiwa kupewa ujauzito na kijana mmoja wa Kihindi a... thumbnail 1 summary


MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya, Estelinah Sanga maarufu kama Linah, anadaiwa kupewa ujauzito na kijana mmoja wa Kihindi anayejulikana kwa jina moja la Nagar.
Estelinah Sanga 'Linah'.
 Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa msichana huyo aliyeibukia kutoka kituo cha kukuza vipaji cha THT, amekuwa karibu na Mhindi huyo anayedaiwa kuishi Mbezi jijini Dar es Salaam kwa muda mrefu sasa na kwamba mimba hiyo imeonekana kumfurahisha sana msanii huyo.

 “Huyu Nagar ni mpenzi wake wa muda mrefu na inaonekana hii mimba ameipenda sana. Kila siku anamsifu huyo mpenzi wake,” kilisema chanzo hicho kilichodai kuwa wawili hao wamekuwa wakiambatana pamoja katika sehemu mbalimbali za starehe.
 Chanzo hicho kilisema Linah alikutana na mdosi huyo katika harakati zake za kimuziki na kwamba jamaa ameoza mno kwa binti huyo, mkali wa albamu ya Atatamani.
 Linah alipopigiwa simu mara ya kwanza hakupokea, lakini baada ya kutumiwa ujumbe mfupi wa maneno na kuulizwa kuhusu suala hilo, alipiga simu na kukanusha vikali tuhuma hizo.
 “Nani kakwambia kama nina mimba? Hakuna kitu kama hicho, hayo ni maneno ya watu wanasambaza mtaani, mimi hata sijui wananitaka nini,” alisema.
 Alipoulizwa kama hata yeye amewahi kusikia habari hizo, alisema anazisikia na kusisitiza kuwa siyo za kweli. Lakini alipotakiwa kusema kama anamfahamu Nagar, alimtaka mwandishi kuachana na habari hizo.
 “Wewe si umeuliza habari za mimba? Sasa hayo mengine yanatoka wapi, ulichotaka kujua nimekujibu, hayo mambo mengine achana nayo,” alisema bila kufafanua zaidi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAPANA CHEZEA LADY JAYDEE, SASA AANZA KUJIFUNZA KARATE. TAZAMA HIZI PICHA ZAKE AKIFANYA MAZOEZI

 Mwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalo kuwa lakijinga... thumbnail 1 summary

 Mwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalo kuwa lakijinga mbele yake ili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DK. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA NYUMBA 851

Dk. Magufuli akipata maelezo kutoka Mwakalinga ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania. thumbnail 1 summary


Dk. Magufuli akipata maelezo kutoka Mwakalinga ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINSI MANCHESTER CITY WALIVYOSIMAMISHWA NYUMBANI NA BARCELONA FC

Wachezaji wa Barcelona, Fabregas na Iniesta wakimpongeza Messi baada ya kufunga bao la kwanza. thumbnail 1 summary


Wachezaji wa Barcelona, Fabregas na Iniesta wakimpongeza Messi baada ya kufunga bao la kwanza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: