December 20, 2015

Mabibi na Mabwana Ommy Dimpoz katuletea hii video mpya ‘Achia Body’

Ni time ya kuitazama hii video ya single mpya ya  Ommy Dimpoz  iitwayo   Achia Body . Hii ndio video ya single mpya ya  Ommy Dimpoz... thumbnail 1 summary

Ni time ya kuitazama hii video ya single mpya ya Ommy Dimpoz iitwayo  Achia Body. Hii ndio video ya single mpya ya Ommy Dimpoz baada ya kushine na video yake yaWanjera. Enjoy hapa mtu wangu video yenyewe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video)

Jumamosi ya December 19 zimechezwa mechi saba za Ligi Kuu  Uingereza , michezo ambayo ilikuwa inatajwa kuwa na mvuto zaidi ni mchez... thumbnail 1 summary
Jumamosi ya December 19 zimechezwa mechi saba za Ligi Kuu Uingereza, michezo ambayo ilikuwa inatajwa kuwa na mvuto zaidi ni mchezo kati ya Chelsea dhidi yaSunderland. Huu ulikuwa na mvuto kwa sababu ndio mchezo wa kwanza wa Chelseakucheza bila kuwepo kwa aliyekuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanaofanana na wanasoka, anachukua warembo kwa kufanana na Ronaldo, mwingine alimuweka Messi kwenye headlines

Kwa upande wa Tanzania tumezoea kuona team ya XXL ya Clouds FM kuandaa show ya mwisho wa mwaka kwa ajili ya wanafunzi kuenjoy baada ya ku... thumbnail 1 summary
Kwa upande wa Tanzania tumezoea kuona team ya XXL ya Clouds FM kuandaa show ya mwisho wa mwaka kwa ajili ya wanafunzi kuenjoy baada ya kupata muda wa kupumzika kutoka shule au chuo, show hii huwa inaitwa After School Bash, huwa ina vitu vingi, tukiachana na Perfomance za wasanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MBUNGE PETER MSIGWA AMRUSHIA DONGO MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA

Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dogo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda..Ni Baada ya Picha Amkimfunga Kamba za Viatu Ridhiwani Kuzagaa thumbnail 1 summary
Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dogo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda..Ni Baada ya Picha Amkimfunga Kamba za Viatu Ridhiwani Kuzagaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TCRA IMETOA MIEZI SITA HADI JUNE 16.2016 KUZIFUNGIA SIMU ZOTE FEKI KWA TANZANIA,HAKIKISHA SIMU YAKO HAPA KUWA NI ORIGINAL AU FEKI

TCRA imetoa miezi Sita hadi June 16, 2016 kuzifunga simu zote feki Tanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: