June 30, 2014

Mrembo aliyeteuliwa kuigiza maisha ya marehemu Aaliyah aikacha dili yenyewe.

Staa wa Disney channel Zendaya Coleman ameitosa dili ya kuigiza filamu ya maisha ya marehemu Aaliyah ambaye alikuwa nyota wa muziki wa R&... thumbnail 1 summary
zendayaStaa wa Disney channel Zendaya Coleman ameitosa dili ya kuigiza filamu ya maisha ya marehemu Aaliyah ambaye alikuwa nyota wa muziki wa R&B wa nchini Marekani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hivi ndivyo trend ya #Suarezing ilivyokuwa kubwa mtandaoni.

Baada ya kumng’ata mchezaji mwenzake, Luis Suarez amegeuka kuwa mchezaji anayetrend sana au anayezungumziwa sana kupitia mtandao wa Twitt... thumbnail 1 summary
suarezBaada ya kumng’ata mchezaji mwenzake, Luis Suarez amegeuka kuwa mchezaji anayetrend sana au anayezungumziwa sana kupitia mtandao wa Twitter kwa kutumia hashtag ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

E FM Radio Yaendelea Kunyakuwa Watangazaji Maarufu Bongo..Huyu Mwingine Wamemchukua

Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo amejiunga na Radio ya Efm ambayo imekwishaji... thumbnail 1 summary

Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya
Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a
Ssebo amejiunga na Radio ya Efm ambayo
imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini
Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana na staili
yake tofauti ya urushaji matangazo nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINSI YA KUJIFARIJI MWENYEWE KWENYE MATATIZO YANAYOKUKABILI.

KWA bahati mbaya watu wengi hawatambui kitu kinachofariji, ndiyo maana wanakimbilia kutegemea msaada. Lakini ukweli ni kwamba mawazo... thumbnail 1 summary

KWA bahati mbaya watu wengi
hawatambui kitu kinachofariji, ndiyo maana
wanakimbilia kutegemea msaada. Lakini
ukweli ni kwamba mawazo yetu ndiyo
faraja pekee ya maisha.
Tukijikubali, kujipenda na kujiwazia mema
hatutafadhaishwa na hali ya wenzetu
kutojali shida zetu, badala yake tutafurahia
matatizo yetu kwa tarajio la "yote

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MH! BABA LEVO AAMUA KUISHI NA MKE WA JAMAA WAKE KISA ANAMDAI LAPTOP

  Katika wasanii ambao pengine ukipata nafasi ya kukaa nao kwa karibu unaweza kujikuta toka mwanzo wa maongezi hadi mwisho unacheka tu ni ... thumbnail 1 summary
 baba levo
Katika wasanii ambao pengine ukipata nafasi ya kukaa nao kwa karibu unaweza kujikuta toka mwanzo wa maongezi hadi mwisho unacheka tu ni pamoja na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI FULL USHENZI:LULU AFUNGUKA MANENO MAZITO KWA WANAUME WOTE....

Wakati wanawake wengine wakionekana kubembeleza penzi na kujinyenyekeza kwa wapenzi wao ili wasiachike, Lulu Michael ana... thumbnail 1 summary
Wakati wanawake wengine wakionekana kubembeleza penzi na kujinyenyekeza kwa wapenzi wao ili wasiachike, Lulu Michael anasema hana muda huo kwani uzuri wake unatosha kuwavuta wanaume wa kila aina kutoka katika kila kona

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JB AJITAPA KUWA YEYE NI STRAIKA HATARI ZAIDI YA AKINA MESSI NA RONALDO, MCHEKI HAPA

TAMBO!  Bonge la Bwana, Jacob Steven ‘JB’ amejitapa kuwa licha ya mwili wake kutoonekana wa mazoezi lakini yeye ni bonge la straika. thumbnail 1 summary

TAMBO! Bonge la Bwana, Jacob Steven ‘JB’ amejitapa kuwa licha ya mwili wake kutoonekana wa mazoezi lakini yeye ni bonge la straika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAFUNZI WA SEKONDARI TANGA ATOA VIDEO YA KIMAHABA INAYOELEZA JUU !!!...BOFYA HAPA UIONE BILA CHENGA

Mwanafunzi mmoja wa sekondari mashuhuri sana iliyopo mkoani Tanga, ambaye pia ni mzawa na mwenyeji wa jiji la mahaba, Tanga, ameamua kuf... thumbnail 1 summary
Mwanafunzi mmoja wa sekondari mashuhuri sana iliyopo mkoani Tanga, ambaye pia ni mzawa na mwenyeji wa jiji la mahaba, Tanga, ameamua kufunguka ya kwake juu ya tendo la ndoa:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIST YOTE YA WASHINDI YA TUZO ZA BET 2014 HII HAPA, BEYONCE AKOMBA 3, PHARRELL, AUGUST, LUPITA WAPATA 2 KILA MMOJA,DOVIDO ANYAKUA YAKE, DIAMOND AANGUKIA PUA

Pharrell Williams na Missy Elliot wakifungua shoo ya utoaji tuzo za BET usiku wa kuamkia leo jijini Los Angeles. thumbnail 1 summary
Pharrell Williams na Missy Elliot wakifungua shoo ya utoaji tuzo za BET usiku wa kuamkia leo jijini Los Angeles.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND AFAIDIKA NA MENGI TUZO ZA BET

  DIAMOND ANENA HAYA............ Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu m... thumbnail 1 summary
Photo: Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi... kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi kupambana zaidi, kesho na keshokutwa Tasnia yetu nasi ifike kwenye kilele....! das me and my Boy Nelly at the @betawards red carpet... Wenyewe wa uswazi tunamuitaga "Nelly I love you" Mzee wa Plasta������... Cc @bet_intl
 DIAMOND ANENA HAYA............
Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SERIKALI:SIMU ZA MKONONI ZINA MADHARA MAKUBWA SANA...SOMA ZAIDI

SERIKALI imewataka Watanzania kununua simu zenye viwango kwa kuwa utafiti uliofanywa na taasisi mbalimbali za afya duniani, umebaini kuw... thumbnail 1 summary
phones
SERIKALI imewataka Watanzania kununua simu zenye viwango kwa kuwa utafiti uliofanywa na taasisi mbalimbali za afya duniani, umebaini kuwa mtumiaji akizungumza kwa simu kwa muda mrefu, anapata madhara.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO JINSI KILIVYONUKA:WIMBO MPYA WA BEN POL WALETA MTAFARUKU KATI YA ADAM MCHOMVU NA FETTY.

Baada ya kuutambulisha wimbo mpya wa Ben Pol "Upendo" exclusive kupitia kipindi cha XXL kinachoendeshwa na B12, Fetty n... thumbnail 1 summary


Baada ya kuutambulisha wimbo mpya wa Ben Pol "Upendo" exclusive kupitia kipindi cha XXL kinachoendeshwa na B12, Fetty na Adam Mchomvu, kumetokea na ubishani kati ya Adam na Fetty juu ya wimbo huo ambao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pale girlfriend wa Chris Brown alipokutana na @DiamondPlatnumz na kumuhoji kwenye red carpet

Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudh... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-06-30 at 4.32.15 AMKarrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo za BET 2014 ambazo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Davido na Diamond hotelini kuelekea kwenye tuzo za BET 2014 na ya moyoni mwa Ommy Dimpoz

Stori kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond ... thumbnail 1 summary
Diamond na Davido BET Awards 2014Stori kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond Platnumz pia alichaguliwa kushiriki, ni tuzo hiyo kutolewa saa kadhaa kabla ya zile tuzo za wasanii wa Marekani kutolewa….

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Linah amerudi Dar! ameongea kuhusu kolabo na Uhuru na Dj Malvado South Africa

Linah akiwa uwanja wa ndege Dar es salaam alipowasili akitokea Johannesburg South Africa ambako unaweza kwenda Jumatatu Jumatano na Iju... thumbnail 1 summary
DSC_0478 #1
Linah akiwa uwanja wa ndege Dar es salaam alipowasili akitokea Johannesburg South Africa ambako unaweza kwenda Jumatatu Jumatano na Ijumaa kupitia @fastjet

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kwanini Wanaojua Mapenzi ndiyo huachwa? Nini sababu? twende sawa

Habari Kaka J, Mimi ni Mwanamke mwenye umri wa kati wa Miaka 30, nimeolewa na nina watoto Wawili. Naishi Dar lakini kikabila ni Mnyamwezi... thumbnail 1 summary
Habari Kaka J, Mimi ni Mwanamke mwenye umri wa kati wa Miaka 30, nimeolewa na nina watoto Wawili. Naishi Dar lakini kikabila ni Mnyamwezi.
Hivi kwanini Makungwi wengi wameachika ikiwa wao ni mabingwa wa mambo ya Ndoa?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO SABA AMBAYO YANAMUUDHI MPENZI WAKO

MAMBO HAYA SABA YANAMUUDHI MPENZI WAKO 1. Mwanamke akivaa kwa ajili ya kutoka kwenda kwenye sherehe, kanisani , au mahali popote hau... thumbnail 1 summary

MAMBO HAYA SABA YANAMUUDHI
MPENZI WAKO
1. Mwanamke akivaa kwa ajili
ya kutoka kwenda kwenye
sherehe, kanisani , au mahali
popote haupaswi kumuuliza
"baby hicho ndo
unachovaa?" au " baby
utavaa nguo hizi?" maswali
haya huondoa mudi kabla ya
tukio , Mwanaaume
amejaliwa uwezo wa
kumfurahisha mwanamke

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mahari yazua balaa msibani.....Baba wa mtoto azuiwa kuzika, ngumi zafumuka.....Kaburi lafukiwa, mwili warudishwa Mochwari

FAMILIA mbili mjini Mpanda zimejikuta zikiingia katika uhasama mkubwa, kiasi cha kupigana fimbo na ngumi makaburini katika ugomvi wa... thumbnail 1 summary

FAMILIA mbili mjini Mpanda zimejikuta
zikiingia katika uhasama mkubwa, kiasi cha
kupigana fimbo na ngumi makaburini
katika ugomvi wa kugombea kuzika mwili
wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja
na nusu.
Sababu kubwa ya mpasuko huo imeelezwa
kuwa ni mahari, kwani wazazi wa upande
wa mama wa mtoto huyo walikuja juu na
kumzuia baba wa mtoto, Joseph Bacho
mkazi wa Mtaa wa Kawajense- Madukani
mjini hapa asishiriki katika shughuli zozote

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LADY JAY DEE AWEKA HISTORIA HUKO KENYA JANA,..HIKI NDICHO ALICHOFANYA.

Zilikuwa ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee Jaydee ilipofika zamu yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu, uw... thumbnail 1 summary

Zilikuwa ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee Jaydee ilipofika zamu yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu, uwanja mzima uliokuwa umefurika mashabiki, ulikuwa umeanza kupiga kelele zikisema yahayaa, ilikuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA: DIAMOND, MAFIKIZOLO, DAVIDO,TIWA SAVAGE NA FALLY IPUPA KWENYE BET-PRE AWARDS VIP

Diamond Platinumz anaiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za BET zitakazofanyika huko Los Angeles, Marekani thumbnail 1 summary

DAVID

Diamond Platinumz anaiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za BET zitakazofanyika huko Los Angeles, Marekani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

COSTA RICA YAPETA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MIKWAJU YA PENATI 5-3 DHIDI YA UGIRIKI

COSTA Rica wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la dunia kwa kuifunga Ugiriki kwa mikwaju ya penati 5-3 baada ya dakika za ... thumbnail 1 summary
COSTA Rica wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la dunia kwa kuifunga Ugiriki kwa mikwaju ya penati 5-3 baada ya dakika za kawaida na za nyogeza 30 kumalizika kwa sare ya bao 1-1.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI CALIFORNIA JUMAMOSI HII

Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California. thumbnail 1 summary
aJqvjF-KYDxpWDsgenB91QZQVv1Xb9kbW3GQFYU5ZSo,V2CQffLqZk05FaA1Ch2gAqYBUXqFm-4oK2YQT6zGyjI
Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROBBEN AMEKIRI KUJIANGUSHA

Arjen Robben amekiri kuwa alidanganya timu yake ikapewa penati. Mshambulizi wa Uholanzi Arjen Robben amekiri kuwa alidanganya timu... thumbnail 1 summary

Arjen Robben amekiri kuwa alidanganya timu yake ikapewa penati.

Mshambulizi wa Uholanzi Arjen Robben amekiri kuwa alidanganya timu yake ikapewa penalti ya ushindi lakini akasema alikuwa ametegwa .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: