July 31, 2015

Utapenda kuona matembezi aliofanya VeeMoney Johannesburg South Africa. (Pichaz)

Vee Money kwenye studio za TZA (millardayo.com) Vanessa Mdee (Vee Money) ni msanii wa Bongo Fleva anaeipeperusha bendera ya Tz viz... thumbnail 1 summary

Vee Money kwenye studio za TZA (millardayo.com)

Vanessa Mdee (Vee Money) ni msanii wa Bongo Fleva anaeipeperusha bendera ya Tz vizuri kwenye nchi mbalimbali za Kiafrika. Akiwa anatamba na single yake mpya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Watoto wa mastaa wa soka waliofuata nyayo za baba zao (picha & video) zipo hapa

Huwa ni kawaida sana kwa watoto kupenda kufanya kazi wanazofanya wazazi wao, kwa maana nyingine haishangazi kuona baba akiwa Doctor n... thumbnail 1 summary
1416316096_extras_noticia_foton_7_1
Huwa ni kawaida sana kwa watoto kupenda kufanya kazi wanazofanya wazazi wao, kwa maana nyingine haishangazi kuona baba akiwa Doctor na mtoto akaja kuwa Doctor au mzazi polisi na mtoto akaja kuwa polisi hii inaweza isitokane na maamuzi ya mtoto wala shinikizo la mzazi kwani mazingira anayokulia humfanya aanze kufuata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hatimaye kaka Yake Zari Amchumbia Mwanamuziki Linah Sanga....

Hatimaye staa wa Bongo Fleva ambaye ni zao la Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amechumbiwa rasmi na yule jamaa wa... thumbnail 1 summary
Hatimaye staa wa Bongo Fleva ambaye ni zao la Nyumba ya Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amechumbiwa rasmi na yule jamaa wake, Wiliam Bugene ‘Boss Mtoto’ ambaye ni kaka kiukoo wa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanadada Mwingine Mtanzania Akamatwa na Madawa ya Kulevya Indonesia..Alikuwa Ameyaficha Tumboni Kama Pipi

Dada wa Kitanzania kakamatwa na madawa ya kulevya Indonesia. Alikamatwa alipotua uwanja wa ndege Jakarta wa Soekarno-Hatta baada ya m... thumbnail 1 summary
Dada wa Kitanzania kakamatwa na madawa ya kulevya Indonesia.

Alikamatwa alipotua uwanja wa ndege Jakarta wa Soekarno-Hatta baada ya maofisa wa usalama kumshuku.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa ndio wakali wengine watano Ligi ya Uingereza wenye utajiri mkubwa zaidi, na pichaz zao…

Mastaa wa soka wana utajiri wao wa kutosha tu, unaambiwa kutokana na kazi nzuri wanayoifanya hata thamani yao inaongezeka vilevile, ukisi... thumbnail 1 summary
Mastaa wa soka wana utajiri wao wa kutosha tu, unaambiwa kutokana na kazi nzuri wanayoifanya hata thamani yao inaongezeka vilevile, ukisikia staa wa soka kanunuliwa kwa pound. Mil 100 Uingereza basi uwe na jibu kabisa kwamba YES jamaa ni jembe la kazi !!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Cheki mastaa wapya wa Liverpool walivyoipania ligi kuu…(Pichaz)

Agosti 8 pazia la ligi kuu ya Engaland linafunguliwa rasmi. Klabu zote zimeonekana kujipanga vyema ili kukabiliana na mikiki ya lig... thumbnail 1 summary

Agosti 8 pazia la ligi kuu ya Engaland linafunguliwa rasmi.

Klabu zote zimeonekana kujipanga vyema ili kukabiliana na mikiki ya ligi hiyo, lakini wachezaji wapya wa Liverpool Christian Benteke na kiungo Mbrazil Firmino wameonyesha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ngao ya Jamii Ligi Kuu England ni Chelsea Vs Arsenal Jumapili hii,wengine je?..

Kipenga cha kuanza kwa ligi kuu ya England msimu mpya kinatarajia kupulizwa jumapili hii wakati mabingwa Chelsea watakapovaana na Arsen... thumbnail 1 summary

Kipenga cha kuanza kwa ligi kuu ya England msimu mpya kinatarajia kupulizwa jumapili hii wakati mabingwa Chelsea watakapovaana na Arsenal katika mchezo wa ngao ya jamii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Obama hakubeba zawadi yoyote aliyopewa nyumbani kwao Kenya.. Sababu ni hii (+Pichaz)

Mgeni Rais  Obama  alivyoenda kwao Kenya, walijipanga na zawadi kibao ili mtu wao arudi nazo kwa ajili ya Kumbukumbu Marekani… alienj... thumbnail 1 summary
BO UK
Mgeni Rais Obama alivyoenda kwao Kenya, walijipanga na zawadi kibao ili mtu wao arudi nazo kwa ajili ya Kumbukumbu Marekani… alienjoy vingi Kenya ikiwemo dance ya nguvu na wakali wa Sauti Sol, lakini kumbe zile zawadi hata hakuondoka nazo !!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA MARA YA KWANZA NO MABOMU MAANDAMANO YASIO RASMI YA CHADEMA,BARABARA ZAFUNGWA,POLISI WATIA DORIA KILA KONA

Imekua kama desturi maandamano ya wapinzani kumbana na mabomu ya polisi lakini kwa mara ya kwanza jana maandamano yasio rasmi ya wapinzani ... thumbnail 1 summary
Imekua kama desturi maandamano ya wapinzani kumbana na mabomu ya polisi lakini kwa mara ya kwanza jana maandamano yasio rasmi ya wapinzani hayakupigwa mabomu pale

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MH LOWASA AONGEZEWE ULINZI WA KUMLINDA NA KILA KONA ILI AWE SALAMA NA KUTIMIZA LENGO

Mh. Laigwanan Edward Ngoyai Moringe Lowassa anastahili ulinzi wa ziada ili kumlinda na wabaya wake kwani hawakawii kumfanyia kitendo cha ... thumbnail 1 summary
Mh. Laigwanan Edward Ngoyai Moringe Lowassa anastahili ulinzi wa ziada ili kumlinda na wabaya wake kwani hawakawii kumfanyia kitendo cha kigaidi ili kutotimiza lengo lake la kuchukua nchi kutoka chama Tawala...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NORA AWANANGA WANAODAI AMESHAZEEKA ADAI YEYE AJAGALAGAZWA OVYO KAMA HAO WENGINE

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomp... thumbnail 1 summary
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, mkali wa sanaa ya uigizaji hapa Bongo, Nora amefunguka haya kwa wale wote wanaomponda eti amezeeka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA KILICHOMTOKEA MUME WA ZARI BAADA YA KUBAMBIKWA MIMBA

Wakati staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ajifungue mtoto ... thumbnail 1 summary
Wakati staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akisubiri mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ajifungue mtoto wa kike ‘taimu’ yoyote

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIMBUNGA CHA LOWASSA CHALETA BALAA- MGOMBEA UBUNGE WA CCM AHAMIA CHADEMA SHINYANGA

Ndugu Charles Shigino akizungumza na waaandishi wa habari mkoa wa Shinyanga wakati akitangaza kukatiza safari yake ya Ubunge kupitia CCM ... thumbnail 1 summary
Ndugu Charles Shigino akizungumza na waaandishi wa habari mkoa wa Shinyanga wakati akitangaza kukatiza safari yake ya Ubunge kupitia CCM na kuhamia CHADEMA leo Julai 30,2015-Picha na Kadama Malunde- Malunde1 blog Shinyanga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HALI YAANZA KUWA MBAYA GHAFLA KWA DR MAGUFULI JUU YA NDOTO YA URAISI NA HIKI NDO CHANZO

Kitendo cha ENL kuikacha CCM limekuwa pigo sana kwa wana CCM (Yaani wana System) na hasa Magufuli ambaye alishajua kwamba kuwa ukishapiti... thumbnail 1 summary

Kitendo cha ENL kuikacha CCM limekuwa pigo sana kwa wana CCM (Yaani wana System) na hasa Magufuli ambaye alishajua kwamba kuwa ukishapitishwa na CCM kiujanja ujanja, basi ndo ushaukwaa Urais. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA BASATA KUMFUNGIA SHILOLE AFUNGUKA MAZITO LEO

Kama hii stori ilikupita niliiweka kwenye post zilizopita hapa ambapo kwa ufupi ni kwamba Baraza la sanaa Tanzania BASATA limemfungia ... thumbnail 1 summary

Kama hii stori ilikupita niliiweka kwenye post zilizopita hapa ambapo kwa ufupi ni kwamba Baraza la sanaa Tanzania BASATA limemfungia msanii wa bongofleva Shilole kutojihusisha na kazi yeyote ya mziki kwa mwaka mmoja kutokana na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE AFUNGIWA NA BASATA KWA MUDA WA MWAKA MMOJA KUFANYA SANAA

Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuh Mziwanda. Baraza la... thumbnail 1 summary

Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake Nuh Mziwanda.
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limemfungia Shilole kutojihusisha na kazi yoyote ya sanaa kwa muda wa mwaka mmoja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

July 30, 2015

Mapokezi ya Lowassa kuchukua Fomu na alivyosindikizwa mpaka Ofisini kwake…

July 30 2015 inakuwa siku ya tatu toka utolewe uthibitisho rasmi na Waziri Mkuu wa Zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba a... thumbnail 1 summary

July 30 2015 inakuwa siku ya tatu toka utolewe uthibitisho rasmi na Waziri Mkuu wa Zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba anajitoa CCM na kujiunga CHADEMA…. Tayari kafika Makao Makuu ya Ofisi za CHADEMA,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtazamo wa Dj Khaled kuhusu ma Dj’s kupeana support kimuziki. (Audio)

Mvutano wa watu kutokupeana support kwenye game ya muziki haipo tu kwa wasaniiTanzania, hali hiyo ipo hata kwa wasanii wa Marekani pia ... thumbnail 1 summary

Mvutano wa watu kutokupeana support kwenye game ya muziki haipo tu kwa wasaniiTanzania, hali hiyo ipo hata kwa wasanii wa Marekani pia tena kwa wao hata ma DJ’s kupeana support kwenye kazi zao sometimes inakuwa ngumu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jerson Tegete haichezei tena Yanga, kaongea leo

Baada ya kucheza kwa muda mrefu katika klabu ya Dar Es Salaam Young AfricanJerson Tegete ameachana na timu ya Yanga na sasa ni mchezaji h... thumbnail 1 summary
Baada ya kucheza kwa muda mrefu katika klabu ya Dar Es Salaam Young AfricanJerson Tegete ameachana na timu ya Yanga na sasa ni mchezaji huru, team ya millardayo.com ilimtafuta iliiweze kufahamu Tegete atacheza wapi msimi ujao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sheria mpya kwa wafungwa kulishwa chakula wakileta mgomo…

Bunge la Israeli, limepitisha sheria ya kuwalisha kwa lazima wafungwa ambao wanashiriki mgomo na kususia kula. Sheria hiyo ambayo ili... thumbnail 1 summary
Bunge la Israeli, limepitisha sheria ya kuwalisha kwa lazima wafungwa ambao wanashiriki mgomo na kususia kula.

Sheria hiyo ambayo ilikubaliwa na idadi kubwa ya wabunge, inawaruhusu mahakimu kuhakikisha kuwa wafungwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wadada Tubadilike Tabia ya Kuomba omba Kwa Wanaume si Nzuri inatuzalilisha

Wadada tubadilike jamani kuomba omba sana utazoeleka hata siku ukipata shida ya serious mtu atashindwa kukusaidia coz ni kawaida yako, Hi... thumbnail 1 summary
Wadada tubadilike jamani kuomba omba sana utazoeleka hata siku ukipata shida ya serious mtu atashindwa kukusaidia coz ni kawaida yako, Hii tabia ndio inafanya mnamegwa ovyo ovyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BIBI YAKE OBAMA ATOBOA ZAWADI ALIYOMPA OBAMA WAKATI ALIPOKUWA KENYA>>>>HII HAPA>

President Barack Obama’s step grand-mother, Mama Sarah, has revealed that she presented him a special gift of a traditional Luo stool duri... thumbnail 1 summary
President Barack Obama’s step grand-mother, Mama Sarah, has revealed that she presented him a special gift of a traditional Luo stool during his recent visit to the country. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Tazama alichokifanya Kanye West huko Canada Baada ya Mic Kupata Hitilafu Akiwa Jukwaani

Hakuna kitu kinachokera kwa msanii awapo jukwaani , kama mitambo kuleta hitilafu ambazo zitasababisha ashindwe kutoa burudani nzuri , au ... thumbnail 1 summary

Hakuna kitu kinachokera kwa msanii awapo jukwaani , kama mitambo kuleta hitilafu ambazo zitasababisha ashindwe kutoa burudani nzuri , au wakati mwingine kufanya aonekane amefanya show mbaya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Akina Dada huu utaalamu utawacost sana: hivi inakuwajue unaweka viungo sehemu za siri kama pilau?

Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa Joyce Kiria Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana.....nawashwa sana sehem... thumbnail 1 summary

Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa Joyce Kiria
Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana.....nawashwa sana sehemu za siri (uken). nilienda baadhi ya hospitali wanasema ni fungus nikatumia dawa baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mume wa Mtu Mbona Haniachi Jamani Miaka Sita Sasa Ameniganda Kama Ruba....

Habar ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpaka sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano cjawahi kuwa na mahusian... thumbnail 1 summary
Habar ndugu zangu, Nashindwa kuelewa mpaka sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano cjawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tafadhali: MWANAUME Anayeuliza Maswali Haya Mawili ni wa Kumuepuka Kama Ukoma

Kama we mwanamke umekuwa na mwanaume ambaye hamjawahi kusex hata mara moja lakini ndio mnaanza uhusiano then katika chatting za hapa na pal... thumbnail 1 summary
Kama we mwanamke umekuwa na mwanaume ambaye hamjawahi kusex hata mara moja lakini ndio mnaanza uhusiano then katika chatting za hapa na pale mwanaume akakuuliza haya maswali mawili ujue mbovu wa wabovu, hajui kugegeda na anakibamia. Mkimbie kabisa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni kweli Tyga anakwepa kulipa kodi ya nyumba?!

Msanii maarufu wa Hip Hop Marekani Tyga ameingia kwenye headlines baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii huyo yupo matatani kufukuzwa kw... thumbnail 1 summary

Msanii maarufu wa Hip Hop Marekani Tyga ameingia kwenye headlines baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii huyo yupo matatani kufukuzwa kwenye nyumba yake iliopo Calabasas kwa kukwepa kulipa kodi ya nyumba hiyo kwa miezi miwili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nimempata Tundu Lissu, kaongelea kwanini hakuwepo wakati Lowassa anapokelewa CHADEMA

Mbunge  Tundu Lissu  ambaye pia ni Mwanasheria wa  CHADEMA  alikutana na ripota Fredy Mwakikato  wa  TZA  ( millardayo.com  &  AyoT... thumbnail 1 summary
LissuMbunge Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA alikutana na ripotaFredy Mwakikato wa TZA (millardayo.com & AyoTV) na kuzungumzia ishu kadhaa ikiwemo ya Lowassa kujiunga na CHADEMA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vituko vya Maradona haviishi!! safari hii kamtuhumu mke wake kumwibia fedha

Mkongwe wa soka duniani Diego Maradona amerudi kwenye headlines tena baada ya kumtuhumu mke wake wa zamani Claudia Villafane kuwa amemu... thumbnail 1 summary

Mkongwe wa soka duniani Diego Maradona amerudi kwenye headlines tena baada ya kumtuhumu mke wake wa zamani Claudia Villafane kuwa amemuibia fedha kwenye akaunti yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAWA NDIO MASTAA WALIOMFWATA LOWASA UKAWA>>> YUPO NEY WA MITEGO,WEMA SEPETU NA WENGINE KIBAO

Staa wa Bongo fleva, Emmanuel Elibsriki, ‘Nay wa Mitego’. NI shidaah! Siku chache baada ya Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Ngoyai Lowassa... thumbnail 1 summary
Staa wa Bongo fleva, Emmanuel Elibsriki, ‘Nay wa Mitego’.
NI shidaah! Siku chache baada ya Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Ngoyai Lowassa (pichani) kukaribishwa katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, mastaa mbalimbali Bongo wameamua na wengine kushawishiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO IPO HAPA YA MH NDUNGAI ALIYETAKA KUMUUWA MGOMBEA MWENZAKE KWA KUMPIGA KWA GONGO KICHWANI

Hatimaye Mheshimiwa Ndugai amechimbia kaburi la kisiasa baada ya kumshambulia Mgombea mwenzake aitwae Dr Joseph Elieza Chilongani kwa gon... thumbnail 1 summary
Hatimaye Mheshimiwa Ndugai amechimbia kaburi la kisiasa baada ya kumshambulia Mgombea mwenzake aitwae Dr Joseph Elieza Chilongani kwa gongo katika mkutano wa kuomba kupigiwa kura za maoni CCM Hayo yametokea leo mnamo saa saa 10 jioni katika kitongoji cha ugogoni mjini Kongwa. Katika kile kinachoonekana ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA SASA!!! CCM WAMJIBU LOWASSA MARA BAADA YA KUHAMIA CHADEMA

Kulikuwa na tangazo ambalo lilienea sana mitandaoni kuanzia July 28 2015 ikiwa na taarifa kwamba CCM watafanya Kikao chao Makao Makuu... thumbnail 1 summary


Kulikuwa na tangazo ambalo lilienea sana mitandaoni kuanzia July 28 2015 ikiwa na taarifa kwamba CCM watafanya Kikao chao Makao Makuu Madogo July 29 2015 Lumumba Dar.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Beyonce Starring In ‘The Wiz’ On NBC?

Ring the alarm! Beyonce is reportedly in talks to join NBC’s production of ‘The Wiz.’ Who would she be starring as? Find out! thumbnail 1 summary
Ring the alarm! Beyonce is reportedly in talks to join NBC’s production of ‘The Wiz.’ Who would she be starring as? Find out!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kim Kardashian Fights Fake Pregnancy Rumors By Showing Off Big Bump — New Pic

Take that, haters! Kim Kardashian slammed fake pregnancy rumors on July 29 by posting a picture of her big baby bump on Instagram. And th... thumbnail 1 summary
Take that, haters! Kim Kardashian slammed fake pregnancy rumors on July 29 by posting a picture of her big baby bump on Instagram. And the look in her eyes says it all — don’t mess with mama bear. See the photo here!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taylor Swift & Calvin Harris: She’d Say Yes In A Heartbeat To A Proposal

A new report claims that Calvin Harris is proposing to Taylor Swift, with a ring worth $500,000. So, would she marry the hunky DJ? A sour... thumbnail 1 summary
A new report claims that Calvin Harris is proposing to Taylor Swift, with a ring worth $500,000. So, would she marry the hunky DJ? A source tells HollywoodLife.com EXCLUSIVELY why the superstar’s reaction to the big question may surprise you.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

July 27, 2015

Edward Lowassa ni Msafi, Lakini Kwanini Aliitwa Fisadi?

Kwa nini lowasa aliitwa fisadi, hii ni kwa sababu yeye kama waziri mkuu, msimamizi mkuu wa serikali alitakiwa akemee inshu zote za richmo... thumbnail 1 summary
Kwa nini lowasa aliitwa fisadi, hii ni kwa sababu yeye kama waziri mkuu, msimamizi mkuu wa serikali alitakiwa akemee inshu zote za richmond, lakini, yeye alipata shinikizo kutoka kwa Mkulu. Ndiyo maana Kuepuka Mkulu asianguke ilibidi Lowasa ajiuzuru. Vinginevyo Mkulu angetawala Miaka mitatu tu, Na serikari

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ushahidi wa Lowassa Kujiunga Chadema:Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA thumbnail 1 summary
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

July 26, 2015

Ubunge Viti Maalum: Wakati Wema Sepetu Analia, Mwanamuzki Albino Keisha Anacheka

Msanii Keisha ambae ni mlemavu wa ngozi ameshida kura za maoni ubunge viti maalum Dodoma, wakati thumbnail 1 summary
Msanii Keisha ambae ni mlemavu wa ngozi ameshida kura za maoni ubunge viti maalum Dodoma, wakati

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uchawi Wa Naigeria Ndio Siri Ya Mafanikio ya Mwanamuziki Diamond...Lakini Sio Uwezo Wake

Nimekutana na hii Mahali nikaona sio mbaya kushare na ninyi Wadau wangu ..Nanyi mtoe Mtazamo .. Katika Bara La Afrika.Nigeria Ndo Nje... thumbnail 1 summary
Nimekutana na hii Mahali nikaona sio mbaya kushare na ninyi Wadau wangu ..Nanyi mtoe Mtazamo ..

Katika Bara La Afrika.Nigeria Ndo Nje Inayoongoza Kwa Uchawi Na Vitendo Vya Kishirikina.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Team Lowassa Wazidi Kupigwa Chini Ubunge CCM!

Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni thumbnail 1 summary
Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WanaCCM, na Wafuasi wa Lowassa, Mamilioni Kuhamia CHADEMA wiki ijayo

Sijui CCM itaponea wapi, yaani Nguvu ya CHADEMA, UKAWA + Lowassa ni hatari tupu kwa CCM, CCM inaenda kunyongwa wiki ijayo... Hizi ni ha... thumbnail 1 summary
Sijui CCM itaponea wapi, yaani Nguvu ya CHADEMA, UKAWA + Lowassa ni hatari tupu kwa CCM, CCM inaenda kunyongwa wiki ijayo...

Hizi ni habari za uhakika, tukae kimya hadi mtakapoona Wana CCM mamilioni wafuasi wa Lowassa kwa makundi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tukio Lisilo la Kawaida MALAIKA Aanguka Nchini UINGEREZA..Watu Wamiminika Kushuhudia

Tukio lisilo la kawaida limetoa huko Uingereza.... MALAIKA aanguka nchini UINGEREZA na kuifadhiwa sehemu maalum ambapo watu wameanza ku... thumbnail 1 summary
Tukio lisilo la kawaida limetoa huko Uingereza....
MALAIKA aanguka nchini UINGEREZA na kuifadhiwa sehemu maalum ambapo watu wameanza kumiminika kwenda kumshuhudia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii Ndio List ya Marais Wanaolipwa Mishahara Mikubwa zaidI, Je, Kikwete Ameshika Nafasi ya Ngapi?, Ingia Hapa

Rais wa Tanzania – Jakaya Mrisho Kikwete Kwa mujibu wa mtandao wa “Africa Review ” wa Afrika kusini, umetoa orodha ya maraisi 10 wa Afr... thumbnail 1 summary
Rais wa Tanzania – Jakaya Mrisho Kikwete
Kwa mujibu wa mtandao wa “Africa Review ” wa Afrika kusini, umetoa orodha ya maraisi 10 wa Afrika ambao wanaingiza pesa ndefu zaidi, Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwete ameshika namba 4,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magufuli Awataka Wananchi Wachague Wabunge Wachapakazi wa CCM Ili Iwe Rahisi Kwake Kuunda Baraza Zuri la Mawaziri

MGOMBEA urais mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amewaomba wananchi wa mkoa wa Morogoro na mingine nchini, kuchagua w... thumbnail 1 summary
MGOMBEA urais mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amewaomba wananchi wa mkoa wa Morogoro na mingine nchini, kuchagua wabunge wachapakazi kama yeye wanaotokana na CCM.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: