July 23, 2014

Umemuona yule model wa video ya Ice Cream alivyobadilika baada ya kupata matibabu ya dawa za kulevya

Doreen video model wa Ice cream by Noorah alijikuta kwenye hali mbaya baada ya kuathirika na dawa za kulevya lakini Ray C akiwa na founda... thumbnail 1 summary

RAY
Doreen video model wa Ice cream by Noorah alijikuta kwenye hali mbaya baada ya kuathirika na dawa za kulevya lakini Ray C akiwa na foundation yake walimchukua na kumpeleka kupata matibabu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Real Madrid yamsajili mkali wa mabao James Rodriguez

Real Madrid wamekamilisha usajili wa mshindi wa kiatu cha dhahabu katika michuano ya World cup ndani ya Brazil 2014. James Rodriguez thumbnail 1 summary

rodr
Real Madrid wamekamilisha usajili wa mshindi wa kiatu cha dhahabu katika michuano ya World cup ndani ya Brazil 2014. James Rodriguez

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Davido kuambiwa anajionyesha na mali zake kwenye instagram..amejibu hivi.

Msanii staa wa Nigeria Davido ni mtu ambae huwa anaonyesha kwenye mitandao vitu vingi anavyonunua mfano saa za Rolex za dhahabu, magari ya... thumbnail 1 summary

dadivoMsanii staa wa Nigeria Davido ni mtu ambae huwa anaonyesha kwenye mitandao vitu vingi anavyonunua mfano saa za Rolex za dhahabu, magari ya kifahari, nyumba na vitu vingine ambapo baada ya kuulizwa kuhusu ishu hii ya kupenda kuonyesha mali

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA ACTORS 10 WALIOTAJWA NA FORBES KWA KULIPWA PESA NYINGI 2014..SHUKA NAYO

Forbes.com kwa wakati huu wametoa list ya mastaa 10 wa kiume ambao wamelipwa pesa nyingi zaidi kwenye kazi zao za... thumbnail 1 summary

2
Forbes.com kwa wakati huu wametoa list ya mastaa 10 wa kiume ambao wamelipwa pesa nyingi zaidi kwenye kazi zao za filamu. Muigizaji mweusi ni Will

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RIHANA ANAMUONEA WIVU KARRUECHE KUTOKA NA CHRISS BROWN.

Rihanna is reportedly not impressed with Karrueche Tran and her recent BET interview in which she opened up about he... thumbnail 1 summary

Karrueche Tran, Chris Brown SelfieRihanna is reportedly not impressed with Karrueche Tran and her recent BET interview in which she opened up about her relationship with Chris Brown.
Karrueche dropped the star’s name, and plenty of interesting pieces of gossip, on Just Keke,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZINATISHA SANA_KIJANA APIGWA SHOKA LA KICHWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU

Baada ya madaktari wa hospitali ya rufaa ya Bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa aliyefumaniwa na mke wa mtu ... thumbnail 1 summary

Baada ya madaktari wa hospitali ya rufaa ya Bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa aliyefumaniwa na mke wa mtu huko Mwanza hatimaye wamefanikiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABY MADAHA, SHILOLE WATIFUANA , WAINGIA KWENYE BIFU ZITO

  Stori: Gladness Mallya MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Baby Madaha baada ya kurushian... thumbnail 1 summary

Stori: Gladness Mallya
MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Baby Madaha baada ya kurushiana vijembe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAY C SASA AMVALIA NJUGA CHIDI AAMUA KUMFANYA AOZEE JELA

  Stori: Musa Mateja NYOTA wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye hivi karibuni aliripotiwa kupokea kipigo cha maana kutoka kwa... thumbnail 1 summary
 Stori: Musa Mateja
NYOTA wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye hivi karibuni aliripotiwa kupokea kipigo cha maana kutoka kwa msanii mwenzake, Rashid Makwilo almaarufu Chid Benz, ameibuka na kudai kuwa atahakikisha rapa huyo anaozea jela kwa kitendo hicho alichomfanyia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAARIFA RASMI YA MTOTO ALIYENYONGWA NA KUTUPWA KISIMANI WILAYANI KAHAMA

Mtoto wa kike anayekadiriwa kuwa na wiki tatu amekutwa amefariki dunia baada ya kunyongwa na kutupwa na mama yake katika kisima kili... thumbnail 1 summary

Mtoto wa kike anayekadiriwa kuwa na wiki tatu amekutwa amefariki dunia baada ya kunyongwa na kutupwa na mama yake katika kisima kilichopo mtaa wa Nyasubi wilayani Kahama katika Mkoa wa Shinyanga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: