December 15, 2016

Nedy Music ataja sababu ya Ommy Dimpoz kutomweka wazi mpenzi wake

Msanii Nedy Music amefunguka sababu ya bosi wake wa lebo ya PKP, Ommy Dimpoz kutomuweka wazi mpenzi wake kwa mashabiki. thumbnail 1 summary


Msanii Nedy Music amefunguka sababu ya bosi wake wa lebo ya PKP, Ommy Dimpoz kutomuweka wazi mpenzi wake kwa mashabiki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ushindi wa Man United dhidi ya Crystal Palace December 14 2016

Usiku wa December 14 2016 michezo nane ya Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 ilichezwa katika viwanja mbalimbali England, Man United... thumbnail 1 summary


Usiku wa December 14 2016 michezo nane ya Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 ilichezwa katika viwanja mbalimbali England, Man United ambao bado hawapo katika kiwango kizuri kwa misimu wa hivi karibuni walikuwa wageni wa Crystal Palace katika uwanja wa Selhurst Park.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Muda utaongea iwapo nitashindwa au ntaweza kumrudisha Lord Eyez – Barakah Da Prince

Uamuzi wa Barakah The Prince kumsainisha Lord Eyez kwenye label yake mpya aliyoianzisha, umepokelewa kwa hisia tofauti. Rapper Bonta aliamb... thumbnail 1 summary
Uamuzi wa Barakah The Prince kumsainisha Lord Eyez kwenye label yake mpya aliyoianzisha, umepokelewa kwa hisia tofauti. Rapper Bonta aliambia Bongo5 kuwa ni aibu kwenye hip pop.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

New Video: Spicy x Lady Jaydee – Together Remix

Video ya wimbo wa Spicy akiwa na Lady Jaydee ‘Together Remix.’ Ilifanyika Zanzibar na kuongozwa na Justin Campos. thumbnail 1 summary
Video ya wimbo wa Spicy akiwa na Lady Jaydee ‘Together Remix.’ Ilifanyika Zanzibar na kuongozwa na Justin Campos.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

New Music: Nay wa Mitego – Sijiwezi

Baada ya nyimbo zake kadhaa zilizopita kuwa controversial, Nay wa Mitego ametuliza mpira kidogo na kuandika wimbo wa mapenzi, thumbnail 1 summary
Baada ya nyimbo zake kadhaa zilizopita kuwa controversial, Nay wa Mitego ametuliza mpira kidogo na kuandika wimbo wa mapenzi,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: