August 21, 2015

Wema Sepetu Adaiwa Kuvunja Ndoa ya Esma Platnumz na Petit Man

HALI si shwari kwenye familia ya Kampuni ya Endless Fame Productions kufuatia madai mazito yanayomgusa mkurugenzi wake, Wema Isaac Sepetu... thumbnail 1 summary
HALI si shwari kwenye familia ya Kampuni ya Endless Fame Productions kufuatia madai mazito yanayomgusa mkurugenzi wake, Wema Isaac Sepetu akihusishwa na kuvunjika kwa ndoa ya mdogo wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ almaarufu kwa jina la Esma Platnumz aliyeolewa na Hamad Manungwa ‘Petit Man’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hali Tete Bunda, Viongozi CHADEMA Wajiuzulu...Kisa Ester Bulaya

SIKU chache baada ya mgombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Bulaya kuteuliwa ... thumbnail 1 summary
SIKU chache baada ya mgombea ubunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Bulaya kuteuliwa na chama hicho na kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo, hali ndani ya chama hicho wilayani Bunda imekuwa tete.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu Ndo Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo baada ya Kitila Mkumbo Kukataa

Hatimaye Chama cha ACT – Wazalendo kimempitisha mwenyekiti wake, Anna Mghwira (56) kuwania urais baada ya mshauri wake, Profesa Kitila Mk... thumbnail 1 summary
Hatimaye Chama cha ACT – Wazalendo kimempitisha mwenyekiti wake, Anna Mghwira (56) kuwania urais baada ya mshauri wake, Profesa Kitila Mkumbo aliyekuwa amechukuliwa fomu kukataa kubeba jukumu hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wasanii Wazindua Kampeni Kuipigia Debe CCM na Tamasha la 'Mama Ongea na Mwanao'

WASANII ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameandaa Tamasha kubwa kuzunguka nchi nzima kwa pamoja na kukinadi chama hicho tawa... thumbnail 1 summary
WASANII ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameandaa Tamasha kubwa kuzunguka nchi nzima kwa pamoja na kukinadi chama hicho tawala pamoja na Sera zake ili kiweze kushinda Uchaguzi Mkuu onaotarajia kufanyika Oktoba Mwaka huu (2015).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz Noma Sana..Amdaka NEYO Nairobi na Kufanya Nae Collabo Moja Matata...Kiba Je ?

Huwa nawashangaa sana wanao semega eti Diamond ni freemanson wakati juhudi zake za kupita kiasi zinaonekana ..Unaambiwa Neyo amekuja kufa... thumbnail 1 summary
Huwa nawashangaa sana wanao semega eti Diamond ni freemanson wakati juhudi zake za kupita kiasi zinaonekana ..Unaambiwa Neyo amekuja kufanya Coke Studio na Kiba ila Diamond hapo hapo akachukua fursa bila kupoteza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mgombea Urais 2015 kutoka chama cha TLP naye arejesha fomu katika ofisi za NEC….(Picha)

Ni mwaka 2015 na headlines zake za uchaguzi mkuu Tanzania ambapo leo baadhi ya wagombea Urais wamefika kwenye ofisi ya tume ya taifa ya u... thumbnail 1 summary
Ni mwaka 2015 na headlines zake za uchaguzi mkuu Tanzania ambapo leo baadhi ya wagombea Urais wamefika kwenye ofisi ya tume ya taifa ya uchaguzi Dar es salaam kurejesha fomu za kuwania Urais ambapo Macmillan Lyimo wa TLP ni mmoja wao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni time ya Dkt John Pombe Magufuli na mgombea mwenza kurejesha fomu katika ofisi za NEC….

Baada ya Lowassa kurejesha fomu ya kugombea Urais 2015 katika ofisi za NEC, sasa ni time ya mgombea kutoka kwenye Chama cha Mapinduzi (C... thumbnail 1 summary
Baada ya Lowassa kurejesha fomu ya kugombea Urais 2015 katika ofisi za NEC, sasa ni time ya mgombea kutoka kwenye Chama cha Mapinduzi (CCM) , Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Collabo ya Ice Prince na Ali Kiba, mafanikio ya Jua Kali, Ali Kiba na alichokipata kwa Neyo..255 (Audio)

255 leo inatokea Kenya..Kulikua na tukio la uzinduzi wa Coke studio msimu wa tatu.. mastaa mbalimbali wa Afrika walikuwepo, leo Ice Princ... thumbnail 1 summary
255 leo inatokea Kenya..Kulikua na tukio la uzinduzi wa Coke studio msimu wa tatu.. mastaa mbalimbali wa Afrika walikuwepo, leo Ice Prince amezungumza na kusema amefurahi sana kushirikishwa kwenye tukio hilo kwa kuwa amejifunza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hapa Ronaldo pale Neymar kwenye style tofauti za nywele zao zilizowahi kuvutia wengi… Pichaz)

Ukizungumzia Ligi ya Hispania wapo nyota wakubwa ambao wanapendwa zaidi na mashabiki wa soka duniani, sio tu kwa ukali wao kwenye soka ... thumbnail 1 summary

Ukizungumzia Ligi ya Hispania wapo nyota wakubwa ambao wanapendwa zaidi na mashabiki wa soka duniani, sio tu kwa ukali wao kwenye soka wao uwanjani bali pia wamekuwa midomoni mwa mashabiki wao mara kwa mara kutokana na mvuto wao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Unakaribishwa kucheki na hizi barabara zenye uwezo wa kuchaji gari linalotembea… (Pichaz)

Teknolojia imefanikiwa kuleta mambo mapya karibu kwenye kila kitu, tumezoea kuona magari yanatumia petrol na diesel, yakagunduliwa maga... thumbnail 1 summary

Teknolojia imefanikiwa kuleta mambo mapya karibu kwenye kila kitu, tumezoea kuona magari yanatumia petrol na diesel, yakagunduliwa magari yanayotumia gesi, sasahivi yapo mpaka yanayotumia umeme !!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ile collabo tuliyokuwa tukiisubiri iko njiani, Mafikizolo na Diamond Platnumz kurekodi “Tell Every One”

Baada ya kuweka headlines siku ya jana kwa kufanya collabo na superstaa kutoka Marekani   Ne-Yo , staa wa  Bongo Flava   Diamond Plat... thumbnail 1 summary
dia
Baada ya kuweka headlines siku ya jana kwa kufanya collabo na superstaa kutokaMarekani Ne-Yo, staa wa Bongo Flava Diamond Platnumz yupo njiani kuelekea South Africa kufanya ile collabo tuliyoisikia kwa muda mrefu sana na Mafikizolo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mgombea Urais Edward Lowassa alivyosindikizwa kurudisha Fomu za kugombea Urais 2015 katika ofisi za NEC…

Edward Lowassa akiwa katika Ofisi za NEC, huku akiwa na baadhi ya Viongozi wa UKAWA August 21 2015 ndio siku ambayo Tume ya Taifa ya Uc... thumbnail 1 summary
Edward Lowassa akiwa katika Ofisi za NEC, huku akiwa na baadhi ya Viongozi wa UKAWA
August 21 2015 ndio siku ambayo Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania NEC ilitangaza kwamba Wagombea wote wa Urais wanatakiwa kurudisha Fomu zao Makao Makuu ya Ofisi za Tume hiyo, Posta Dar es Salaam Tanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: