January 12, 2014

NI NOMAAA...!!! JAMAA AFUMANIWA AKILA URODA NA MKE WA RAFIKI YAKE...!! JIONEE MAPICHA HAPA

Mwaka ulianza vibaya kwa jamaa huyu aliyefumaniwa na mke warafiki yake kipenzi huko mbeya kwenye gesti fulani ambako w... thumbnail 1 summary


Mwaka ulianza vibaya kwa jamaa huyu aliyefumaniwa na mke warafiki yake kipenzi huko mbeya kwenye gesti fulani ambako walikaa huko siku nzima,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHAMA KIPYA CHAJA...WALIOFUKUZWA UPINZANI WAHUSISHWA

  WAKATI fukuto la kufukuzwa uanachama kwenye Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) likiwa bado bichi, chama kipya cha si... thumbnail 1 summary

 
WAKATI fukuto la kufukuzwa uanachama kwenye Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) likiwa bado bichi, chama kipya cha siasa kimeanzishwa na watu wanaodaiwa kuwa ni muungano wa wanachama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMKE ANAITAJI NINI KWA MWANAUME?? ...... PATA UJUZI HAPA

alama na hivyo kuyafanya mapenzi yao kudumu kwa muda mrefu. Wanaume wa siku hizi wamekuwa hawafahamu ni vitu gani ambavyo wanawake wa... thumbnail 1 summary

alama na hivyo kuyafanya mapenzi yao kudumu kwa muda mrefu. Wanaume wa siku hizi wamekuwa hawafahamu ni vitu gani ambavyo wanawake wanapenda kuvipata kutoka kwao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VYAKULA 10 AMBAVYO MWANAUME ANATAKIWA KULA ILI KUONGEZA UWEZO WAKATI WA TENDO LA NDOA.

CHAZA NA PWEZA Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayo yanatajwa kusaidia uzali... thumbnail 1 summary


CHAZA NA PWEZA
Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayo yanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPENZI YETU YANA MUDA WA WIKI 2 CHA AJBU MPENZI WANGU ANANIULIZA NINA MPANGO GANI WA NDOA ..PLEASE NISAIDIENI NIFANYEJE??

Habari ya mwaka ndugu,naam kama ilivyo ada tena kwa mara nyingi ni true story Kuna mdada nina date naye week ya pili sasa ,ta... thumbnail 1 summary


Habari ya mwaka ndugu,naam kama ilivyo ada tena kwa mara nyingi ni true story
Kuna mdada nina date naye week ya pili sasa ,tangia nimemjua kwa ukaribu its about mwezi na nusu ,jana ameanza kubadilika tofauti na alivyokua mwanzo,baada ya kumuulizia (just inquisitive) sana amekuja na swali Nina mpango gani na yeye?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TANZANIA JOINS FORCES WITH BRITAIN'S NO. 1 SCHOOL TO UNEARTH FOOTBALL TALENT

Eton Coach, Glen Pierce speaking at the press conference on Friday 10 Jan 2014 a... thumbnail 1 summary
Eton Coach, Glen Pierce speaking at the press conference on Friday 10 Jan 2014 at Tanzania House London. 
By Jestina George,
“Tanzania has taken the first step towards producing their first Premier League player – thanks to Eton College, England’s premier public school.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS KIKWETE ATANGAZA JUMATATU JANUARI 13, 2014 SIKU YA MAPUMZIKO

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jak... thumbnail 1 summary
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni Siku ya Mapumziko (Public Holiday) kwa Watanzania wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais Kikwete ameutangaza uamuzi huo mjini Zanzibar ambako leo ameungana na Watanzania na Wazanzibari wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, mwaka 1964.
Mapinduzi hayo yaliyoongozwa na mwasisi wa Zanzibar na Taifa la Tanzania, Hayati Abeid Amaan Karume yalifanikiwa kuung’oa madarakani utawala dhalimu wa Sultan na kuwawezesha kwa mara ya kwanza katika historia Waafrika walio wengine kujitawala ndani ya nchi yao wenyewe.
Yalikuwa ni Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofungua njia ya kuzaliwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar – miezi mitatu baada ya Mapinduzi hayo – Aprili 26, 1964.  
Naye Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein ametangaza kuwa kesho itakuwa Siku ya Mapumziko Tanzania Visiwani kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Shein alitangaza mapumziko hayo wakati alipohutubia wananchi kwenye Uwanja wa Michezo wa Amaan mjini Zanzibar katika kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni Siku ya Mapumziko (Public Holiday) kwa Watanzania wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais Kikwete ameutangaza uamuzi huo mjini Zanzibar ambako leo ameungana na Watanzania na Wazanzibari wote kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 12, mwaka 1964.
Mapinduzi hayo yaliyoongozwa na mwasisi wa Zanzibar na Taifa la Tanzania, Hayati Abeid Amaan Karume yalifanikiwa kuung’oa madarakani utawala dhalimu wa Sultan na kuwawezesha kwa mara ya kwanza katika historia Waafrika walio wengine kujitawala ndani ya nchi yao wenyewe.
Yalikuwa ni Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofungua njia ya kuzaliwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar – miezi mitatu baada ya Mapinduzi hayo – Aprili 26, 1964.  
Naye Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein ametangaza kuwa kesho itakuwa Siku ya Mapumziko Tanzania Visiwani kusheherekea miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Shein alitangaza mapumziko hayo wakati alipohutubia wananchi kwenye Uwanja wa Michezo wa Amaan mjini Zanzibar katika kusherehekea miaka 50 ya Mapinduzi.
Imetolewa na;
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS
Ikulu,
Dar es Salaam.
Januari 12, 2014

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU JACKLINE WOLPER .... SOMA HAPA UYAJUE MAZITO

Inawezekana ukawa unajua but in real sense unahitaji kujua zaidi na Vibe ipo kukupa exclusive, mkali wa movie kwa sasa Jackline Wolper , m... thumbnail 1 summary

jackline-wolper2Inawezekana ukawa unajua but in real sense unahitaji kujua zaidi na Vibe ipo kukupa exclusive, mkali wa movie kwa sasa Jackline Wolper , mwanadada hustler aliyezaliwa tarehe 6 December huko mjini A- town, ni ukweli usiofichika kwamba Wolper ndio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHAKIRA NA RIAHANA KUKUTANA KWENYE “CANT REMEMBER TO FORGET YOU”

Ushawahi kudhani kama hawa watu wawili wanaweza kuendana katika Track moja,huku shakira akiwa ni mwimbaji wa style tofauti kabisa na... thumbnail 1 summary


Rihanna_and_Shakira
Ushawahi kudhani kama hawa watu wawili wanaweza kuendana katika Track moja,huku shakira akiwa ni mwimbaji wa style tofauti kabisa na rihanna,kitu ambacho dunia nzima inasusubiri collabo hiyo ya wawili hao ambayo ipo jikoni soon kuwa released.mwaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR .... SOMA ZAIDI

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hii leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka ... thumbnail 1 summary
gwaride1-564x272
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hii leo inaadhimisha kumbukumbu ya miaka hamsini ya mapinduzi ambayo kwenye historia yanaonyesha yaliyomaliza utawala wa Kisultani visiwani humo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI MIEZI SITA SASA TANGU TUACHANE LAKINI AKINIONA NA MWANAUME MWINGINE ANAKASIRIKA ... SOMA KISA HIKI

  Toka nimeachana na huyu mwanaume ni miezi sita sasa lakini bado ana wivu uliopitiliza, kila akisikia niko na mwanume anampigi... thumbnail 1 summary


https://www.facebook.com/theclicktz 
Toka nimeachana na huyu mwanaume ni miezi sita sasa lakini bado ana wivu uliopitiliza, kila akisikia niko na mwanume anampigia simu na kumtukana sijui hata namba anapata wapi, yani ananikera kweli

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINSI YA KUMTOA MWANAMKE BIKRA BILA MAUMIVU ...... SOMA HAPA KIULAINI

Habari zenu wapendwa,last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa 1 of my female fans,aliituma kama wiki mo... thumbnail 1 summary

Habari zenu wapendwa,last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa 1 of my female fans,aliituma kama wiki moja iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira lakini kuna mtu ametokea kumpenda na anataka kupeana nae Raha na Utamu kwa mara ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAMBIRAMBI MSIBA WA MTANGAZAJI SULTAN SIKILO ...SOMA ZAIDI

Marehemu Sultan Sikilo (wa kwanza kulia) enzi za uhai wake akiwa na wanahabari Elius K... thumbnail 1 summary
Marehemu Sultan Sikilo (wa kwanza kulia) enzi za uhai wake akiwa na wanahabari Elius Kambili (katikati) na Isack Gamba (wa kwanza kushoto). (Picha na Maktaba Yetu)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMPUNI YA VIJANA WA KITANZANIA YA (CHINA WORD BUZ) KUWAKOMBOA WAFANYABIASHARA WADOGO NA WA KATI‏

Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na waandishi wa ... thumbnail 1 summary
2
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kwasili akitokea nchini China na ujumbe wa wafanya biashara wenzake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZANZIBAR PHOTOGARPHIC JOURNEY PRESENTED TO FORMER PRIME MINISTER EDWARD LOWASSA

Javed Jafferji, Tanzania top photogarpher and film maker had a pleasure to present a... thumbnail 1 summary
Javed Jafferji, Tanzania top photogarpher and film maker had a pleasure to present a copy of his new book, Zanzibar Photographic Journey - 50 years of the Revolution to former Prime Minister of United Republic of Tanzania, Edward Lowassa in

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAHAMU SIZE YA UUME INAYOPENDWA ZAIDI NA WANAWAKE WENGI...SOMA HAPA KUPATA MAUJANJA

JAMANI NAOMBEN TUSAIDIANE KUWATOA SHAKA HAWA WENZETU WANAO JIHISI KUWA NA UUME MFUPI KWA IMEKUWA KAWAIDA HUMU ... thumbnail 1 summary


Image
JAMANI NAOMBEN TUSAIDIANE KUWATOA SHAKA HAWA WENZETU WANAO JIHISI KUWA NA UUME MFUPI KWA IMEKUWA KAWAIDA HUMU JAMVINI WATU KUTAKA DAWA ZA KUONGEZA UUME INGAWA MIMI NAHISI KINACHO WATOA KUJIAMINI NI PAMOJA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SNURA MUSHI MAMA WA MAJANGA ANASHEHEREKEA BIRTHDAY YAKE KWA STAILI HII HAPA...

 Leo anazaliwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura mushi a.k.a mamaa... thumbnail 1 summary


 Leo anazaliwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura mushi a.k.a mamaa majanga katika kuifanikisha siku hii ameamua kula na kunywa na watoto yatima wa kituo cha wakuwama kilichopo sina maeneo ya meheda.tukiongea na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TETESI ZA MIMBA YA NICK MINAJ NI YA LIL WYNE..SOMA ZAIDI

Taarifa zinaendelea kusambaa kwenye mitandao mingi kwamba nicki minaj ana mimba. Na unaweza kujiuliza nani atakua baba? Sio mwingine ... thumbnail 1 summary

Taarifa zinaendelea kusambaa kwenye mitandao mingi kwamba nicki minaj ana mimba. Na unaweza kujiuliza nani atakua baba? Sio mwingine bali Lil Wayne. Nicki minaj alionekana akiwa na kitumbo kidogo  akitoka dinner tarehe 2 januari na akitumia maji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BATULI AWEKA WAZI "SIPO KWENYE MAHUSIANO YOYOTE I'M STILL SEARCHING"

Akizungumza na mtandao wa Swahiliworldplanet, Batuli amesema ingawa yupo ‘single’ mwaka huu anatarajia kwenda kusoma ili kuon... thumbnail 1 summary

Akizungumza na mtandao wa Swahiliworldplanet, Batuli amesema ingawa yupo ‘single’ mwaka huu anatarajia kwenda kusoma ili kuongeza maarifa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI NOMAA!!! HUYU JAMAA AJAOGA WALA KUGUSA MAJI KWA MIAKA 60

Amoo Hadji, an 80-year-old Iranian man, has not taken bath for 60 years, according to the city website Bavanat.com. His skin i... thumbnail 1 summary

Amoo Hadji, an 80-year-old Iranian man, has not taken bath for 60 years, according to the city website Bavanat.com.

His skin is scaly, you can barely see his

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"DIAMOND NI WA "HAPA HAPA" MIMI WA INTERNATIONAL"...!!! BABY MADAHA AFUNGUKA..SOMA ZAIDI HAPA

Baby Madaha amesema kamwe hawezi kucheza ligi moja na Diamond Platnumz. Akiongea na kipindi cha Hot Mix cha EAT... thumbnail 1 summary

Baby Madaha amesema kamwe hawezi kucheza ligi moja na Diamond Platnumz. Akiongea na kipindi cha Hot Mix cha EATV Ijumaa hii, muimbaji na muigizaji huyo wa ‘The Gal Bladder’ amesema Diamond ni msanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWANINI WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA??? SOMA HAPA KUJUA SABABU HIZO

NI matumaini yangu muwazima na mlikuwa na wakati mzuri katika kumalizia weekend . Mimi niko poa kabisa tayari kuliendeleza libene... thumbnail 1 summary



NI matumaini yangu muwazima na mlikuwa na wakati mzuri katika kumalizia weekend. Mimi niko poa kabisa tayari kuliendeleza libeneke la kupeana mambo mawili matatu kuhusiana na maisha yetu ya kimapenzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAN UNITED YAZINDUKA, YAICHAPA 2-0 SWANSEA CITY

Valencia akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza thumbnail 1 summary

Ahead: Valencia celebrates after putting United 1-0 up just after the break at Old Trafford
Valencia akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHELSEA YAPANDA KILELENI, KUIFUNGA HULL CITY 2-0

Eden Hazard alifunga bao la kwanza Chelsea ikiilaza Hull City MSHAMBULIAJI Eden Hazard 'amelipa' ... thumbnail 1 summary

Eden Hazard alifunga bao la kwanza Chelsea ikiilaza Hull City
MSHAMBULIAJI Eden Hazard 'amelipa' fadhila kwa kocha Jose Mourinho baada ya kuifungia Chelsea bao katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Hull City na kupanda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PAMOJA NA KUOLEWA MTOTO WA WHITNEY HOUSTON AONEKANA AKIJIACHIA KIMAPENZI .... JIONEE HAPA

mt3
Stori inaamplfy kwamba mtoto wa mwimbaji staa Marehemu Whitney houston, Bobbi Kristina amevunja mapendekezo ya familia yake ya kutoolewa na kijana ambae ni kama kaka yake, mshkaji ambae

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hadithi .... Mimba ya Jini -07

ILIPOISHIA: “Samahani shoga sikuwa na maana hiyo bali kukujua tu,” Husna alijitetea. “Si nimekueleza utanijua wasiwasi wako nini?” “Ku... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA:
“Samahani shoga sikuwa na maana hiyo bali kukujua tu,” Husna alijitetea.
“Si nimekueleza utanijua wasiwasi wako nini?”
“Kuhusu ujauzito siwezi kuamini japokuwa nina dalili zote za ujauzito huenda ni malaria, mi nataka kupima ili nihakikishe.”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: