June 10, 2016

Wanandoa waliodumu muda mrefu kuanza kupewa Tuzo Tanzania

Imezoeleka kwamba ndoa za kikatoliki zikifungwa zimefungwa lakini pamoja na sharti hilo idadi ya ndoa zinazovunjika inaendelea kuongezeka... thumbnail 1 summary
Imezoeleka kwamba ndoa za kikatoliki zikifungwa zimefungwa lakini pamoja na sharti hilo idadi ya ndoa zinazovunjika inaendelea kuongezeka ambapo sasa kanisa katoliki limekuja na hii ya kuanzisha tuzo maalumu kwa Wanandoa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chege awashukia wanaoiamishia Ramadhani instagram

Msanii wa Bongo fleva Chege Chigunda amefunguka dhidi ya watu wanaouhamishia mwezi wa Ramadhan katika mitandao ya kijamii. Akizungumza na... thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo fleva Chege Chigunda amefunguka dhidi ya watu wanaouhamishia mwezi wa Ramadhan katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza na Enewz Chege alisema kuwa kwa Bongo watu wanakuwa wanapoteza maadili ya dini kwasababu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huu Ndio Umuhimu wa Kuhonga Katika Mapenzi

1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI: Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo ... thumbnail 1 summary
1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI:
Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo karibu yake na unamjali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nay aamua kuwachana "wakwaruaji wa bongo muvi"

Star wa Bongo Fleva Nay wa Mitego bado anaendelea kuwapa makavu live wasanii wa Bongo Muvi hasa wakwaruaji wanaosubiri vijana wa bongo fl... thumbnail 1 summary
Star wa Bongo Fleva Nay wa Mitego bado anaendelea kuwapa makavu live wasanii wa Bongo Muvi hasa wakwaruaji wanaosubiri vijana wa bongo fleva wawe juu ndipo watokenao kimapenzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Fahamu Faida za Kutokuvaa Chupi Zipo Nyingi Sana na Pia Muhimu.

Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa ... thumbnail 1 summary
Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi. Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19 baada ya uvumbuzi wa viwanda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

G Nako awajibu mashabiki

Msanii wa Bongo fleva G Nako amefunguka dhidi ya wanaodai kuwa hafananii na video aliyoenda kuishuti kwa Hascana baada ya kuikataa iliyokuw... thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo fleva G Nako amefunguka dhidi ya wanaodai kuwa hafananii na video aliyoenda kuishuti kwa Hascana baada ya kuikataa iliyokuwa imefanywa na Nisha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Namba binafsi zingetozwa hata milioni 20 -Ngonyani

Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Hillary Ngonyani 'Maji Marefu' amesema anaunga mkono hatua ya serikali kuongeza kodi kwa watu wot... thumbnail 1 summary
Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Hillary Ngonyani 'Maji Marefu' amesema anaunga mkono hatua ya serikali kuongeza kodi kwa watu wote wanaoweka majina yao kama 'Plate Number' ili fedha hizo zisaidie wananchi wengine.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zaidi ya Bilioni1 kulipa wafanyakazi hewa Dodoma

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh.Jordan Rugimbana amesema kuwa kwa mwezi wa Tatu na wa nne wamebaini kuwa shillingi bilioni Moja na millioni mia n... thumbnail 1 summary
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh.Jordan Rugimbana amesema kuwa kwa mwezi wa Tatu na wa nne wamebaini kuwa shillingi bilioni Moja na millioni mia nane zimetumika kuwalipa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Adhabu ya kusimamishwa kucheza tennis kwa miaka 2 itamgharimu Maria Sharapova $50m

Nyota wa tennis, Maria Sharapova amesimamishwa kucheza mchezo huo kwa miaka miwili na shirikisho la kimataifa, ITF kwa kubainika kutumia ... thumbnail 1 summary
Nyota wa tennis, Maria Sharapova amesimamishwa kucheza mchezo huo kwa miaka miwili na shirikisho la kimataifa, ITF kwa kubainika kutumia madawa ya kuongeza nguvu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video : Jionee wizi mpya wa mpesa na tigo pesa, jamaa kaibiwa 720,000

Utapeli umekua mwingi sana hapa mjini, watu wengi wanatapeliwa kila siku. Kutapeliwa ni kutapeliwa tu haijalishi ujanja utakaotumika ni wa ... thumbnail 1 summary
Utapeli umekua mwingi sana hapa mjini, watu wengi wanatapeliwa kila siku. Kutapeliwa ni kutapeliwa tu haijalishi ujanja utakaotumika ni wa sasa au wa zamani. Ila siku za karibuni kumetokea aina mpya ya utapeli ambao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ufaransa kufungua mashindano ya Euro 2016

Mashindano ya mataifa ya ulaya maarufu kama Euro, yanaanza leo Jun 10/2016 huko nchini Ufaransa. Wenyeji wa michuano hii Ufaransa watafungu... thumbnail 1 summary
Mashindano ya mataifa ya ulaya maarufu kama Euro, yanaanza leo Jun 10/2016 huko nchini Ufaransa. Wenyeji wa michuano hii Ufaransa watafungua pazia kwa kushuka dimbani kuwakabili Romania katika mechi ya kundi A mchezo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rich Mavoko: Diamond anapromote kazi za wasanii wake kuliko hata zake mwenyewe (Video)

Kwa mujibu wa Rich Mavoko, Diamond ni msanii mwenye moyo wa pekee. Mavoko anadai kuwa bosi wake huyo hupigia debe kazi za wasanii wa labe... thumbnail 1 summary
Kwa mujibu wa Rich Mavoko, Diamond ni msanii mwenye moyo wa pekee.
Mavoko anadai kuwa bosi wake huyo hupigia debe kazi za wasanii wa label yake kuliko hata zake mwenyewe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 10, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

June 10 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na har... thumbnail 1 summary
June 10 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NI SABABU 10 MUHIMU ZA WEWE KULA TENDE KILA SIKU...!!!

Je unajua kwamba tende ndio tunda pekee lenye kuupatia mwili vitu vinne kwa wakati mmoja, vitamin, protini, wanga na mafuta?.  Mbal... thumbnail 1 summary


Je unajua kwamba tende ndio tunda pekee lenye kuupatia mwili vitu vinne kwa wakati mmoja, vitamin, protini, wanga na mafuta?. 
Mbali na utamu wake tende ambazo hulika sana mwezi wa ramadhan zina faida nyingi sana kwa mwili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Raymond wa ‘WCB’ aringishia mabunda ya hela instagram

Wakati mtaani raia wakilalamika kuhusu ukata wa hela toka Rais Magufuli aingie madarakani, mkali wa wimbo ‘Kwetu’ kutoka WCB, Raymond ‘Ra... thumbnail 1 summary
Wakati mtaani raia wakilalamika kuhusu ukata wa hela toka Rais Magufuli aingie madarakani, mkali wa wimbo ‘Kwetu’ kutoka WCB, Raymond ‘Rayvanny’ ameamua kuringisha mabunda ya hela kupitia ukurasa wake wa instagram.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Birthday ya mwaka mmoja ya Tiffah kufanyika Mlimani City

Ana followers 623,049 Instagram, ni mtoto wa Diamond na Zari the Bosslady, unahitaji nini zaidi kukubali kuwa Tiffah ni supastaa mtoto kuli... thumbnail 1 summary
Ana followers 623,049 Instagram, ni mtoto wa Diamond na Zari the Bosslady, unahitaji nini zaidi kukubali kuwa Tiffah ni supastaa mtoto kuliko wote Afrika?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Niliachana na Naj kitambo hivyo sina tatizo kabisa na Barakah Da Prince – Mr Blue

Mr Blue amekanusha tetesi zilizowahi kuwepo kwamba ana tofauti na Barakah Da Prince kwasababu muimbaji huyo wa ‘Siwezi’ sasa ana uhusiano... thumbnail 1 summary
Mr Blue amekanusha tetesi zilizowahi kuwepo kwamba ana tofauti na Barakah Da Prince kwasababu muimbaji huyo wa ‘Siwezi’ sasa ana uhusiano na Naj aliyewahi kuwa mpenzi wa Kabasyer.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: