January 08, 2014

HIVI NDIVYO RIHANNA ALIVYO KATIZA KITAA AKIWA NDANI YA KIVAZI CHA AJABU BILA AIBU...COMFORTABLY!! TAZAMA HAPA

Mpe zake sifa Rihanna, hakika yeye ni mtalamu wa kuunganisha muonekano wake na nguo anazozivaa kuwa za kivyake vyake, japo wengine w... thumbnail 1 summary


Mpe zake sifa Rihanna, hakika yeye ni mtalamu wa kuunganisha muonekano wake na nguo anazozivaa kuwa za kivyake vyake, japo wengine wanaweza kupinga na kuwa tofauti kimtazamo ila kiukweli anavutia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAKUNA HALI YA UMASKINI INAYODUMU MILELE-SOMA KISA HICHI CHA KUTIA MOYO

Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri. ... thumbnail 1 summary


Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri.

Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi aliopewa na ndugu kuwa ni vibaya kuoa ukiwa huna kazi.


Kila mwezi yule binti alimpa mmewe mshahara wake wote wa 800,000 baada ya kutoa fungu la kumi kwa ajili ya kanisani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

First Eleven Yanga hii hapa

Charles Mkwasa(katikati). Na Sweetbert Lukonge SIKU chache baada ya Charles Mkwa... thumbnail 1 summary

Charles Mkwasa(katikati).
Na Sweetbert Lukonge
SIKU chache baada ya Charles Mkwasa kujiunga na Yanga akitokea Ruvu Shooting, amekianika kikosi chake cha kwanza ambacho inaonyesha ndicho atakachokitumia.
Kikosi cha kwanza, maarufu kama First Eleven chini ya Mkwasa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BONGO MUVI SIYO SKENDO, MAKUNDI, VISASI!

Uongozi wa Bongo Muvi, kutoka kulia: Katibu Mkuu, William Mtitu, Mwenyekiti, Steven ... thumbnail 1 summary
Uongozi wa Bongo Muvi, kutoka kulia: Katibu Mkuu, William Mtitu, Mwenyekiti, Steven Mengere a.k.a Steve Nyerere, Katibu Msaidizi Bi. Devotha Mbaga, Mweka hazina Mkuu, Issa Mussa Cloud pamoja na Makamu Mwenyekiti, Mahsein Awadh maarufu kama Dk Cheni katika picha ya pamoja baada ya kuchaguliwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HOFU YA KIFO YATAWALA MASTAA BONGO

Stori: Shani Ramadhani na Deogratius Mongela HOFU ya kifo imetawala kwa mastaa Bong... thumbnail 1 summary
Stori: Shani Ramadhani na Deogratius Mongela
HOFU ya kifo imetawala kwa mastaa Bongo ikiwa ni siku chache baada ya gazeti hili toleo la Jumamosi iliyopita kutoka na habari ya utabiri wa Hussein Yahaya, ikieleza kuwa mwaka huu vifo zaidi vitaendelea kwa wasanii wa filamu, muziki, waandishi wa habari, viongozi wa dini na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKWELI WAFICHUKA...ZITTO NJIA PANDA..SOMA ZAIDI HAPA.... HUU NDIO UKWELI...ZITTO NJIA PANDA..SOMA ZAIDI HAPA....

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.(Picha na GPL) MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameuweka njia panda uanachama wake ... thumbnail 1 summary

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.(Picha na GPL)
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameuweka njia panda uanachama wake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kukubali pingamizi lake la kuizuia Kamati Kuu (CC) ya chama hicho isimjadili hadi kesi yake ya msingi itakapokuwa imesikilizwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI NOUMA....JOHARI APOMBEKAKUFURAHIA RAY KUPIGWA CHINI...!SOMA ZAIDI HAPA...

Blandina Chagula ‘Johari’. STAA wa kitambo kwenye filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amenaswa akipiga mitungi kwa sa... thumbnail 1 summary

Blandina Chagula ‘Johari’.
STAA wa kitambo kwenye filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amenaswa akipiga mitungi kwa sana ikiwa ni sehemu ya kufurahia uongozi mpya wa Klabu ya Bongo Movie Unity.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMAA...DAKTARI NGULI WA KUTOA MIMBA ANASWA DAR...!SOMA ZAIDI HAPA...

MWAKA umeanza, mambo mapya pia yapo! Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers imeingia kazini kwa kasi zaidi. Safari hii im... thumbnail 1 summary


MWAKA umeanza, mambo mapya pia yapo! Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers imeingia kazini kwa kasi zaidi. Safari hii imemnasa daktari anayejulikana kwa jina moja la Mambo maarufu sana kwa jina la Dokta Mambo katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UTAJIRI WA DAMU - 02

ILIPOISHIA  Nilikuwa nimeshika tawi la mti huohuo ambao maiti ilikuwa imening’inizwa kumbe Inspekta Ado akagundua natetemeka baada ya ... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA
 Nilikuwa nimeshika tawi la mti huohuo ambao maiti ilikuwa imening’inizwa kumbe Inspekta Ado akagundua natetemeka baada ya kuona majani yakitikisika, aligeuka na kuniangalia kwa macho makali.
“Wewe msichana kwa nini unatetemeka na unaitwa nani?” aliniuliza Inspekta Ado.
“Naitwa Chepriska Ajigale…”
“Kwa nini unatetemeka?”
SONGA NAYO…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASTARA ANENA MAZITO...!!!"NATAKA KUOLEWA NA BILIONEA"

IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastar... thumbnail 1 summary


IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji lazima

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE UKO MBALI NA MPENZI WAKO NA UMEM-MISS..???JUA JINSI YA KURIDHISHANA KIDIGITALI

Mapenzi ni k2 cha ajabu sana katika hii dunia maana kuna njia nyingi sana za kufanya mapenzi na bila kuingiza uume wala mwanamke kuingiziw... thumbnail 1 summary

Mapenzi ni k2 cha ajabu sana katika hii dunia maana kuna njia nyingi sana za kufanya mapenzi na bila kuingiza uume wala mwanamke kuingiziwa uume kwenye uchi wake na akaridhika kabisa, kwa mfano kuchezeana sehemu za siri mpaka wote mkakojoa kama vile kunyonyana,au mwanamke kuyabana maziwa yake na mwanaume kuingiza uume wake na kuanza kusugua mpaka akojoe,lakini hayo yote kwa leo hayatuhusu bali nataka tuangalie jinsi ya kufanya mapenzi kwa kutumia simu mpaka mkapizi wote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mimba ya Jini- 3

ILIPOISHIA: “Basi bosi kapumzishe akili utajua pete umeiweka wapi.” Mustafa alirudi ofisini kwake na kukaa kitini, alijitazama vidol... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA:
“Basi bosi kapumzishe akili utajua pete umeiweka wapi.”
Mustafa alirudi ofisini kwake na kukaa kitini, alijitazama vidole vyake asiamini kama kweli hakuja na pete. Akiwa bado anavishangaa vidole vyake simu yake iliita, alipoangalia alikuta ni Shehna. Aliipokea:     SASA ENDELEA...“

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: