Tarehe 27 mwezi May, mwaka 2014 siku ya Jamanne majira ya saa 4 asubuhi, kwenye kipindi cha maswali na majibu, Naibu waziri wa habari vij...
14:02
Tarehe 27 mwezi May, mwaka 2014 siku ya Jamanne majira ya saa 4 asubuhi, kwenye kipindi cha maswali na majibu, Naibu waziri wa habari vijana, utamaduni na michezo Juma Nkamia
Kutokana na Kasi ya Rais Magufuli yenye motto wa HapaKaziTu, watendaji wa taasisi mbali mbali wameanza kuamka kwenye usingizi wa uzemb...
14:01
Kutokana na Kasi ya Rais Magufuli yenye motto wa HapaKaziTu, watendaji wa taasisi mbali mbali wameanza kuamka kwenye usingizi wa uzembe na kuanza kufanya kazi.
Tutakachoshuhudia katika awamu hii ni kuibuliwa kwa madudu makubwa huku wakuu wa mashirika ya umma wakiwajibishwa kama mbuzi wa kafara la...
14:00
Tutakachoshuhudia katika awamu hii ni kuibuliwa kwa madudu makubwa huku wakuu wa mashirika ya umma wakiwajibishwa kama mbuzi wa kafara lakini vigogo walioko kwenye system wakipeta au wakikamatwa wale dagaa tu.
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litafanyia mabadiliko makubwa sheria za utumishi wa umma kwa kuondoa ajira za kudumu serikalini,...
13:59
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litafanyia mabadiliko makubwa sheria za utumishi wa umma kwa kuondoa ajira za kudumu serikalini, ili kuwezesha mabadiliko
Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani umeonya kuwa hali ya kisiasa Zanzibar na tukio la hivi karibuni la watu kukamatwa chini ...
13:58
Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) wa Marekani umeonya kuwa hali ya kisiasa Zanzibar na tukio la hivi karibuni la watu kukamatwa chini ya sheria mpya ya uhalifu mtandaoni yanaweza kuathiri vigezo vya kuiwezesha Tanzania kupata msaada.
Rose Ndauka Msanii Rose Ndauka amesema kitendo cha msanii Harmonize kujibu majibu yenye utata alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet...
13:57
Rose Ndauka
Msanii Rose Ndauka amesema kitendo cha msanii Harmonize kujibu majibu yenye utata alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Televisio, hakupendezwa nacho kwani kinazidi kuleta sintofahamu.
Mama wa staa wa muziki Bongo, Sanura Kassim ‘Sandra’.SINEMA limeanza! Sanura Kassim ‘Sandra’ ni mama mzazi wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasi...
13:57
Mama wa staa wa muziki Bongo, Sanura Kassim ‘Sandra’.SINEMA limeanza! Sanura Kassim ‘Sandra’ ni mama mzazi wa ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ hivi karibuni anadaiwa kuingia katika figisufigisu na
\ KUMEKUCHA! Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka...
13:56
\
KUMEKUCHA! Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya ‘unga, Muharami
Muigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake miezi miwili iliyopita, jana amemwandiki...
13:55
Muigizaji wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake miezi miwili iliyopita, jana amemwandikia ujumbe mzuri wa siku yake ya kuzaliwa kuonesha jinsi anavyompenda.
Bado watu wengi wanaogopa jiji la Paris Ufaransa kutokana na hali ya kiusalama kuaminika kuwa ndogo, Paris iliingia katika headlines Nove...
13:54
Bado watu wengi wanaogopa jiji la Paris Ufaransa kutokana na hali ya kiusalama kuaminika kuwa ndogo, Paris iliingia katika headlines November 13 2015 baada ya kufanyika shambulio