August 18, 2014

KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA, DAR AKAMATWA

Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi. thumbnail 1 summary
Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UWOYA AZUNGUMZIA ISHU YA DIAMOND KUVUNJA NDOA YAKE, HIKI NDO ALICHOKISEMA

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka  katika ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live na kusema kuw... thumbnail 1 summary

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka  katika ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live na kusema kuwa yeye hajaachana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STEVE NYERERE AINGIA MITINI NA HELA ZA CLUB YA BONGO MOVIE, AKIMBIA KUULIZWA MASWALI.

KIMENUKA! Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa mad... thumbnail 1 summary

KIMENUKA! Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amechikichia mtonyo (fedha)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA HAPA PICHA 15 ZA YALIYOJIRI KWENYE BIRTHDAY PARTY YA DJ WA DIAMOND ROMY JONES

Kama umewahi kuhudhuria show kadhaa za Diamond Platnumz basi utakuwa umeshasikia jina la Romy Jones ingawa muda mwingine hufupishwa kwa k... thumbnail 1 summary

16rj
Kama umewahi kuhudhuria show kadhaa za Diamond Platnumz basi utakuwa umeshasikia jina la Romy Jones ingawa muda mwingine hufupishwa kwa kuitwa Dj RJ,Jumapili ya Aug 17 alikua akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA DIAMOND NA WEMA SEPETU SASA MWISHO NDIO UMEFIKA

Mwisho wa reli?  Lile penzi lenye taito na mbwembwe nyingi Bongo kati ya sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’... thumbnail 1 summary

Mwisho wa reli? Lile penzi lenye taito na mbwembwe nyingi Bongo kati ya sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ linadaiwa kufika mwisho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TANESCO KILIMANJARO WAFANYA MAREKEBISHO MITAMBO ILIYOUNGUA MOTO

Mafundi wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro wakitizama namna ya kuokoa mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye mtambo wa kupozea umeme. thumbnail 1 summary
Mafundi wa TANESCO mkoa wa Kilimanjaro wakitizama namna ya kuokoa mafuta yaliyokuwa yakimwagika toka kwenye mtambo wa kupozea umeme.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BILL GATES NAYE AJIMWAGIA NDOO YA MAJI BARIDI KUPAMBANA NA UGONJWA WA ALS

BILIONEA William Henry "Bill" Gates naye ameungana na mastaa mbalimbali katika kupambana na ugonjwa wa Amyotrophic Lateral Scle... thumbnail 1 summary
BILIONEA William Henry "Bill" Gates naye ameungana na mastaa mbalimbali katika kupambana na ugonjwa wa Amyotrophic Lateral Sclerosis (ALS), maarufu kama Lou Gehrig kupitia kampeni ya ‘Ice Bucket Challenge’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EPL: Matokeo na wafungaji wa mechi ya Liverpool vs Southampton

Ligi kuu ya England imeendelea tena leo hii kwa mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Southampton. thumbnail 1 summary

IMG_6455.PNG


Ligi kuu ya England imeendelea tena leo hii kwa mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Southampton.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EPL: Manchester City walivyoanza kuutetea ubingwa wao leo dhidi Newcastle

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Manchester City leo wameanza mbio za kutetea ubingwa wao kwa kucheza dhidi ya Newcastle ... thumbnail 1 summary

IMG_6456.JPG


Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Manchester City leo wameanza mbio za kutetea
ubingwa wao kwa kucheza dhidi ya Newcastle United.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NJEMBA YAZUA TAFRANI, NI BAADA YA KUJITOKEZA NA KUMPIGA MKWARA MSANII WASTARA

Mkwara mbuzi!  Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya njemba mmoja ambaye hakufahamika kujitoke... thumbnail 1 summary


Mkwara mbuzi! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya njemba mmoja ambaye hakufahamika kujitokeza na kumpiga mkwara asiendelee na shughuli za uzinduzi wa filamu yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOHARI Amrushia Dongo IRENE UWOYA… .Awachana Waigizaji wa Kike wanaojichia na Kupoteza Mvuto

Msanii Johari Blandina ‘Chagula’ ambaye ni star mkongwe Swahiliwood amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kuutunza muonekanio wake na... thumbnail 1 summary


Msanii Johari Blandina ‘Chagula’ ambaye
ni star mkongwe Swahiliwood amesema
kuwa anamshukuru Mungu kwa kuutunza
muonekanio wake na kuwa kama kijana
licha ya umri wake kuwa mkubwa tofauti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUNDAMANI MMH, ANASWA AKIWA AMEMPAKATA MSANII NYOTA NDOGO WA KENYA

Kabang!  Memba wa Kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na mwanamuziki wa nchi... thumbnail 1 summary


Kabang! Memba wa Kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na mwanamuziki wa nchini Kenya, Mwanaisha Abdallah ‘Nyota Ndogo’ wamenaswa laivu wakiwa kwenye pozi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: