March 03, 2014

KUFANYA MAPENZI OFISINI HUVURUGA SAIKOLOJIA YA MTU.

  Kula nanasi kunahitaji nafasi, wengi wamekuwa wakishawishika kufanya mapenzi katika eneo la kazi kutokana na kupendana ... thumbnail 1 summary



 
Kula nanasi kunahitaji nafasi, wengi wamekuwa wakishawishika kufanya mapenzi katika eneo la kazi kutokana na kupendana ama vishawishi mbali mbali

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HILI NDILO SULUHISHO LA TATIZO LA KUFIKA KILELENI MAPEMA

. Ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi hivi sasa,zifuatazo ni sababu na jinsi ya kutatua tatizo hilo. thumbnail 1 summary


.

Ni tatizo linalowasumbua wanaume wengi hivi sasa,zifuatazo ni sababu na jinsi ya kutatua tatizo hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIO SABABU ILIYOMZUIA MLELA KUJIHUSISHA NA BONGO MOVI KWA MDA MREFU

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu Bongo, Yusuf Mlela amefunguka kuwa ukimya huo umesababishwa na malezi ya mwanaye. thumbnail 1 summary


BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu Bongo, Yusuf Mlela amefunguka kuwa ukimya huo umesababishwa na malezi ya mwanaye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STAMINA ,YOUNG D NA MASTAA KIBAO WA BONGO KUFUNIKA USIKU WA ZOTE KALI

VICHWA vya Hip Hop, Stamina na Young D kwa pamoja na wasanii wengine kibao wamefunguka kuwa wanatarajia kuangusha bonge la shoo thumbnail 1 summary


VICHWA vya Hip Hop, Stamina na Young D kwa pamoja na wasanii wengine kibao wamefunguka kuwa wanatarajia kuangusha bonge la shoo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKUBWA HAYA, HII NDIYO SABABU YA KAJALA KUNYWESHWA SUMU, MUME WA MTU AHUSISHWA

Kajala Wiki iliyopita muigizaji wa filamu nchini Kajala Masanja alikiri kuwekewa sumu wakati alipokuwa kwenye show thumbnail 1 summary


Kajala
Wiki iliyopita muigizaji wa filamu nchini Kajala Masanja alikiri kuwekewa sumu wakati alipokuwa kwenye show

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND ANAVYOIBEBA TAITO YA SUKARI YA WAREMBO

Nasibu Abdul ‘Diamond’ WALIOSEMA ujana ni maji ya moto hawakukosea. Mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni msanii ambaye... thumbnail 1 summary



WALIOSEMA ujana ni maji ya moto hawakukosea. Mkali wao kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni msanii ambaye ana idadi kubwa ya msururu wa wanawake  ambao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

REHEMA FABIAN LAIVU NA KIBABU CHA KIZUNGU

Stori: Shakoor Jongo KhAA! Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Reh... thumbnail 1 summary


Stori: Shakoor Jongo
KhAA! Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Rehema Fabian

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"NAMCHUKIA OSTAZ JUMA HATA SALAMU YANGU SIWEZI KUMPA"NEY WA MITEGO

Mkasa wa Ostaz Juma na PNC linaweza kutajwa kuwa moja kati ya matukio yaliyozungumzwa zaidi kwa wiki iliyopitwa kupitia mitandao ya kij... thumbnail 1 summary


Mkasa wa Ostaz Juma na PNC linaweza kutajwa kuwa moja kati ya matukio yaliyozungumzwa zaidi kwa wiki iliyopitwa kupitia mitandao ya kijamii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MRISHO NGASA AMWAGIA SIFA KEDEKEDE MCHEZAJI WA SIMBA

Kwa mara nyingine tena katika kipindi cha wiki mbili, winga machachari wa kla... thumbnail 1 summary































Kwa mara nyingine tena katika kipindi cha wiki mbili, winga machachari wa klabu ya Yanga Mrisho Khalfan Ngassa amemsifia mshambuliaji wa timu mahasimu Simba Mburundi Amiss Tambwe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAN CITY WAICHAPA SUNDERLAND 3 KWA 1 NA KUBEBA KOMBE LA CAPITAL ONE



Manchester City 3-1 Sunderland: 

Champions: Manchester City won the Capital One Cup after beating Sunderland 3-1 in the final

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIONGOZI WA UVCCM WASHAMBULIWA KWA RISASI

Poleni vijana.   Taarifa iliyotufikia hivi punde  inaeleza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga Kilimanjaro Ndugu Japhar Mghamba na... thumbnail 1 summary

Poleni vijana. Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mwanga Kilimanjaro Ndugu Japhar Mghamba na Katibu Msaidizi wa Mkoa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU AKIRI KUNENEPA SABABU YUPO KIMAPENZI NA MTU AMPENDAYE KULIKO WOTE

Jana katika Kipindi cha leo Tena Mwanadada Wema Sepetu Aliulizwa kwanini Siku hizi ananenepa sana kiumbo na Mwanadada huyo mrembo alijibu... thumbnail 1 summary

Jana katika Kipindi cha leo Tena Mwanadada Wema Sepetu Aliulizwa kwanini Siku hizi ananenepa sana kiumbo na Mwanadada huyo mrembo alijibu moja kwa moja kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA STAILI HII KWELI TUTAACHA MICHEPUKO NA KUKAA NJIA KUU .... MMMH TOA MAONI YAKO MDAU


Mhhhh Mweee Kwa staili hii kweli tutafika ?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHIRIKA LA UMEME TANESCO HATARINI KUFILISIWA

Dar es Salaam. Wakati Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) likipandisha bei ya umeme kwa zaidi ya asi... thumbnail 1 summary



















Dar es Salaam. Wakati Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) likipandisha bei ya umeme kwa zaidi ya asilimia 40, limetakiwa kulipa zaidi ya Sh844.8 bilioni, kwa kampuni zilizoifungulia kesi mbili tofauti kwa kukiuka mkataba wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWALIMU WA T.R.A ATIA AIBU BAADA YA KUFUMANIWA ... TAARIFA RASMI SOMA HAPA

Stori: Waandishi Wetu HII ni aibu kubwa! Mhadhiri wa Chuo cha Kodi ya Mapato Tanzania, Richard Donati amezuliwa timbwili la aina yake... thumbnail 1 summary


Stori: Waandishi Wetu
HII ni aibu kubwa! Mhadhiri wa Chuo cha Kodi ya Mapato Tanzania, Richard Donati amezuliwa timbwili la aina yake nyumbani kwake, hali iliyosababisha mtaa kufungwa, kisa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WOLPER ATESWA NA USAGAJI ... SOMA HAPA KUJUA KISA HICHO

Jacqueline Wolper. MWIGIZAJI Jacqueline Wolper, amesema anaumizwa sana na tetesi zinazozagaa kama moto wa kifuu kitaani kuwa anajihus... thumbnail 1 summary


Jacqueline Wolper.
MWIGIZAJI Jacqueline Wolper, amesema anaumizwa sana na tetesi zinazozagaa kama moto wa kifuu kitaani kuwa anajihusisha na vitendo vya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LUPITA NYONG'O TOKA KENYA ANYAKUA TUZO LA OSCAR HUKO MAREKANI ... HABARI KAMILI HAPA

Kama ilivyokuwa imetarajiwa na wengi mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscar la mwigizaji msaidi... thumbnail 1 summary


Kama ilivyokuwa imetarajiwa na wengi mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo la Oscar la mwigizaji msaidizi wa kike

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUUUH: KUTEKETEA KWA MALI ZA STEVEN KANUMBA INASIKITISHA SANA ... SOMA ZAIDI HAPA

MASKINI! Stori zilizozagaa mitaani kuhusu mali za aliyekuwa mkali wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba zinasema kuwa, ... thumbnail 1 summary


MASKINI! Stori zilizozagaa mitaani kuhusu mali za aliyekuwa mkali wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba zinasema kuwa, zimeuzwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SNOOP DOGG NA OPRAH WINFREY BEEF LAISHA LILIDUMU MIAKA 7 ... SOMA HAPA

Mwaka 2007 malkia wa talk show Opray Winfrey alimshutumu rapper Snoop Dogg kuwa anahamasisha chuki dhidi ya wanawwake (misogyny) katik... thumbnail 1 summary


oprah n snoop

Mwaka 2007 malkia wa talk show Opray Winfrey alimshutumu rapper Snoop Dogg kuwa anahamasisha chuki dhidi ya wanawwake (misogyny) katika nyimbo zake, kitu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: