December 11, 2015

Achana na headlines za Ronaldo kuvunja rekodi yake ya UEFA, hizi ndio rekodi zake 10 za soka zinazo sisimua …

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo, usiku wa December 8 katika mch... thumbnail 1 summary

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo, usiku wa December 8 katika mchezo dhidi ya Malmoe FFwa kuhitimisha mechi za Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya alivunja rekodi yake mwenyewe aliyoiweka msimu uliyopita,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Cheki TBT Pichaz za utoto za mastaa wa soka Maradona, Pele, Pato na Peter Cech …

Kama ilivyo ada mtu wangu imekuwa ni kawaida kwa watu mbalimbali kupost picha zao kwenye mitandao ya kijamii kama kumbukumbu ya kule wa... thumbnail 1 summary

Kama ilivyo ada mtu wangu imekuwa ni kawaida kwa watu mbalimbali kupost picha zao kwenye mitandao ya kijamii kama kumbukumbu ya kule walipotokea. Alhamisi imekuwa kama siku maalum ya kuweka hizo picha mitandaoni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CUF WAZUNGUMZA TAARIFA ZA KUFARIKI MAALIM SEIF,WATOA MSIMAMO WAO KUHUSU UCHAGUZI ZANZIBAR

Chama cha Wananchi (CUF) kimekanusha vikali taarifa zilizosambazwa na watu ambao hawajajulikana kwenye mitandao ya kijamii kuwa Katibu Mk... thumbnail 1 summary
Chama cha Wananchi (CUF) kimekanusha vikali taarifa zilizosambazwa na watu ambao hawajajulikana kwenye mitandao ya kijamii kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HABARI YA MJINI:RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI 18

Ndugu waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla, ninawasalimu sana. Nawakaribisha katika kikao hiki cha kutangaza baraza la mawaziri.  thumbnail 1 summary
Ndugu waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla, ninawasalimu sana. Nawakaribisha katika kikao hiki cha kutangaza baraza la mawaziri. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: