May 25, 2016

Tiwa Savage asainishwa na Roc Nation

Jay Z ameripotiwa kukubali kusainishwa kwa msanii wa Nigeria, Tiwa Savage kwenye label yake, Roc Nation. Kwa mujibu wa ripoti ya Urban ... thumbnail 1 summary
Jay Z ameripotiwa kukubali kusainishwa kwa msanii wa Nigeria, Tiwa Savage kwenye label yake, Roc Nation.
Kwa mujibu wa ripoti ya Urban View ya Nigeria, Jay Z ameshawishiwa na uwezo wa Tiwa na alikubali kusainiwa kwake May 24. Imedaiwa kuwa deal lilisimamiwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wolper aeleza yaliyomkuta mpaka akampiga chini Mkongo, adai Mkongo alimpiga picha za uchi ili asimuache

Msanii wa filamu Jacqueline Wolper amefunguka na kuzungumzia sababu ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake ambaye alimvalisha pete ya uchumba... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu Jacqueline Wolper amefunguka na kuzungumzia sababu ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake ambaye alimvalisha pete ya uchumba pamoja na kwenda kwao kwa ajili ya maandalizi ya kumtolea mahari ili amuoe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli ampa shavu hili Mizengo Pinda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzani... thumbnail 1 summary
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT).
Rais Magufuli amefanya uteuzi huo wa Mizengo Pinda kuchukua nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkuu wa chuo hiko,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Gabo Zigamba adai yeye ni mkali wa kuigiza zaidi ya Ray Kigosi

Msanii wa filamu Gabo Zigamba, amefunguka kwa kusema kuwa yeye ni mkali wa kuigiza kumshinda mkongwe Ray Kigosi. Akizungumza katika kipin... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu Gabo Zigamba, amefunguka kwa kusema kuwa yeye ni mkali wa kuigiza kumshinda mkongwe Ray Kigosi.
Akizungumza katika kipindi cha ENewz cha East Africa Television, Gambo Zigamba amesema wasanii wapya wamekuja kuleta changamoto kwa wasanii wakongwe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Iko Siku na Mimi Ntaitwa Mama – Wema Sepetu Afunguka

Wema Sepetu ana kila kitu anachokitaka duniani, fedha, magari na vingine lakini amekosa kitu kimoja tu muhimu – mtoto. Na Miss Tanzania h... thumbnail 1 summary
Wema Sepetu ana kila kitu anachokitaka duniani, fedha, magari na vingine lakini amekosa kitu kimoja tu muhimu – mtoto.
Na Miss Tanzania huyo wa zamani anataka watu wajue kuwa suala la mtoto si kitu anachokichukulia poa hata kidogo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TALIBAN WAMTEUA KIONGOZI MPYA AFGHANISTAN.

la wapiganaji wa Taliban nchini Afghanistan limemteua kiongozi mpya baada ya kuuawa kwa Mullah Mansour. thumbnail 1 summary
la wapiganaji wa Taliban nchini Afghanistan limemteua kiongozi mpya baada ya kuuawa kwa Mullah Mansour.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Martin Kadinda: Petit Bado ni Mfanyakazi wa Endless Fame

Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema kuwa petit Man bado yupo Endless Fame Films. Hivi karibuni kumeonekana kutokea ugomvi kat... thumbnail 1 summary
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema kuwa petit Man bado yupo Endless Fame Films.

Hivi karibuni kumeonekana kutokea ugomvi kati ya Petit na Mirror. Taarifa zimedai kuwa ugomvi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Licha ya Wabunge kucheka lakini Mbunge Ally Kessy kaufikisha ujumbe kwa style yake

Bado tunaendelea kuzipata stori za Bungeni Dodoma, May 25 2016 Bunge limeendelea na kuijadili bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii amb... thumbnail 1 summary
Bado tunaendelea kuzipata stori za Bungeni Dodoma, May 25 2016 Bunge limeendelea na kuijadili bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo leo inafikia siku ya pili tangu ilipowasilishwa jana na Wizara kuiomba Serikali

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video : Hili Ndilo Jumba la Idris Sultan Analokaa Licheki Ndani na Nje

Wiki chache zilizopita kupitia kituo kimoja cha Tv huko nchini Kenya Idris Sultan alikiri kua kuna kipindi alifulia kabisa akawa anakosa ... thumbnail 1 summary
Wiki chache zilizopita kupitia kituo kimoja cha Tv huko nchini Kenya Idris Sultan alikiri kua kuna kipindi alifulia kabisa akawa anakosa hata hela ya matumizi. Watu wengi baada ya kuona vile walijiuliza maswali mengi je zile milioni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mateso ya Mrembo Jackline Wolper Mpaka Kujikuta Anatoka na Harmonize!

Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movi au mastaa weng wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba. ... thumbnail 1 summary
Nimekua mda mrefu nikiwachukia wanawake wa bongo movi au mastaa weng wa kike hapa nchini kutokana na tabia zao zenye ishara ya ukahaba.
Jack Wolper nae ametokea kunifanya ni mwone ovyo baada ya kuanza kutoka na mtoto mdogo Harmonize

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kua wa Kwanza Kusikiliza Kionjo Cha Wimbo wa Ommy Dimpoz Aliomshirikisha Ali Kiba

Wengi watakumbuka kua Ommy Dimpoz na Diamond walikua washkaji ile mbaya ila wakaja kutofautiana na kwa inavyosemekana kwa sasa hawaongele... thumbnail 1 summary
Wengi watakumbuka kua Ommy Dimpoz na Diamond walikua washkaji ile mbaya ila wakaja kutofautiana na kwa inavyosemekana kwa sasa hawaongeleshani wala hawawasiliani kabisa. Kwa muda kidogo Ommy Dimpoz alikua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hiki Ndicho Alichokisema Wema Sepetu Kama Anamchukia Diamond

Sasa tangu mastaa wawili wakubwa hapa bongo, Wema na Diamond Platnumz watemane. Na kila mmoja kwa sasa kaendelea na maisha yake, kwa Diam... thumbnail 1 summary
Sasa tangu mastaa wawili wakubwa hapa bongo, Wema na Diamond Platnumz watemane. Na kila mmoja kwa sasa kaendelea na maisha yake, kwa Diamond Platnumz akiwa na mtoto mmoja huku kwa upande wa Wema akiwa na Boyfriend

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Jackline Wolper kuwa na Harmonize, kataja jina analomuita Diamond kwa sasa

Kwa sasa headlines nyingi katika upande wa mastaa Tanzania ni stori kuhusu penzi la muigizaji Jackline Wolper na msanii wa Bongo fleva ku... thumbnail 1 summary
Kwa sasa headlines nyingi katika upande wa mastaa Tanzania ni stori kuhusu penzi la muigizaji Jackline Wolper na msanii wa Bongo fleva kutoka Wasafi Classic Baby (WCB)Harmonize ndio Topic kubwa town.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ukiachana na mabasi yaendayo haraka, China wametengeneza basi linalopita juu ya magari mengine

Kadri Teknolojia inavyozidi kukua kila siku katika upande wa usafirishaji ndivyo ufumbuzi wa baadhi ya changamoto zinavyozidi kupatiwa ma... thumbnail 1 summary
Kadri Teknolojia inavyozidi kukua kila siku katika upande wa usafirishaji ndivyo ufumbuzi wa baadhi ya changamoto zinavyozidi kupatiwa majibu, kama ilivyo kwa Tanzania ilivyoleta mabasi yaendayo haraka ili kuepuka foleni, ndivyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 25, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

May 25 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews il... thumbnail 1 summary
May 25 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Teknolojia inavyochukua headlines, nyumba kujengwa chini ya mwamba, Swimming pool juu yake

Teknolojia kila siku inazidi kuchukua headlines, nyumba kujengwa chini ya mwamba!!! halafu bwawa la kuogelea ndio linakuwa kama paa vile,... thumbnail 1 summary
Teknolojia kila siku inazidi kuchukua headlines, nyumba kujengwa chini ya mwamba!!! halafu bwawa la kuogelea ndio linakuwa kama paa vile, stori kutoka kutoka CNN kuhusu nyumba hiyo ambayo itakuwa ya kwanza Duniani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: