June 09, 2014

CHID BENZ AZENGUA MAISHA CLUB DODOMA,AWASHA BANGI JUKWAANI, BAUNSA ATAKA KUMSHUSHIA KIPIGO

Chini benz Jana Jumapili wakati anafanya show New maisha Club Dodoma alifanya kitendo ambacho baadhi ya mashabiki walimwona kweli jamaa ... thumbnail 1 summary

Chini benz Jana Jumapili wakati anafanya show New maisha Club Dodoma alifanya kitendo ambacho baadhi ya mashabiki walimwona kweli jamaa sasa ameshaanza kuwa chizi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAY C SASA ANAKUJA NA TAARABU, ASEMA KHADIJA KOPA ATASUBIRI SANA, APANIA KUMPOTEZA

Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kudai kuwa ujio wake mpya kwenye muziki atakuja pia na nyimbo za taarab, huku... thumbnail 1 summary

Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kudai kuwa ujio wake mpya kwenye muziki atakuja pia na nyimbo za taarab, huku akimtaka Khadija Kopa ajiandae.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUENDELEZO: MAHABA NIUE, Jamaa Ameamua Kujichora TATOO!!!.....Jina la Mama La Mama

Hii ni muendelezo wa ile ya Ndugu yetu anaeitwa MZIWANDA alie FOLUINILOVE kwa Mama La Mama SHILOLE[ SOMA HAPA ]....Jamaa amekuwa akitum... thumbnail 1 summary

Hii ni muendelezo wa ile ya Ndugu yetu anaeitwa MZIWANDA alie FOLUINILOVE kwa Mama La Mama SHILOLE[SOMA HAPA]....Jamaa amekuwa akitumia ukurasa wake wa INSTAGRAM kuelezea swala zima la mahusiano yake na SHILOLE, kwa mfano hivi karibuni aliweka picha shilole na kuandika hivi;

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PHOTOS – S3xy Side of Hon.Catherine Magige

Huyu ni Mbunge (Viti Maalumu), anaitwa Catherine Magige...Mbali na siasa Kiukweli huyu ni MREMBO....Sasa pata kuona urembo wake katika ... thumbnail 1 summary

Huyu ni Mbunge (Viti Maalumu), anaitwa Catherine Magige...Mbali na siasa Kiukweli huyu ni MREMBO....Sasa pata kuona urembo wake katika picha hizi....... Jionee mwenyewe!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MILLEN MAGESE: WATU WAREFU NA WEUSI TUNANYANYASIKA VIWANJA VYA NDEGE

Kukamatwa kwa baadhi ya watanzania katika nchi mbalimbali wakihusishwa na ubebaji wa dawa za kulevya kumeathiri idadi kubwa ya w... thumbnail 1 summary

Kukamatwa kwa baadhi ya watanzania
katika nchi mbalimbali wakihusishwa na
ubebaji wa dawa za kulevya kumeathiri
idadi kubwa ya wasafiri wanaotumia
hati ya kusafiria ya Tanzania kutokana
na kukaguliwa kupita kiasi....
Mmoja wa waathirika wa ukaguzi huo
ni Miss Tanzania wa mwaka 2001,
Happines ( Millen ) Magese ambaye
alisema kukamatwa kwa watanzania

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHADEMA YASAMBARATIKA CHUO KIKUU CHA SAUT MWANZA,MAMIA YA WANACHAMA WAKIMBILIA NA KUJIUNGA CCM

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepeleKa 'msiba' Chadema, baada ya kusomba wanac... thumbnail 1 summary

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM,
Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepeleKa
'msiba' Chadema, baada ya kusomba
wanachama wa chama hicho wanaosoma
katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine
(Saut), tawi la Mwanza, wakiongozwa na
Rais wa Serikali ya Wanafunzi (Sautso),
Philbert Saimon.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHANZO CHA UGONJWA WA WA WASICHANA KUANGUKA MASHULENI CHATAJWA

kusababishwa na maambukizi ya hofu inayosababisha mwili kupata dalili za magonjwa yasiyokuwepo. Mtaalamu wa saikolojia na theolojia, ... thumbnail 1 summary

kusababishwa na maambukizi ya hofu
inayosababisha mwili kupata dalili za
magonjwa yasiyokuwepo.
Mtaalamu wa saikolojia na theolojia,
Mchungaji John Rowse kutoka taasisi ya
The Uhakika Christian Education Trust Fund

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ni hatari sana dada hyu aanika maziwa yake njenje kisa pombe na pia ni baada ya kuibiwa simu yake azusha timbwili la adabu.

    ...Akizua timbwili kwa wananchi waliokuwa eneo hilo. TIMBWILI! Mrembo wa haja ambaye jina halikupatikana mara moja, amenaswa akiwa ... thumbnail 1 summary

 


 ...Akizua timbwili kwa wananchi waliokuwa eneo hilo.

TIMBWILI! Mrembo wa haja ambaye jina halikupatikana mara moja, amenaswa akiwa matiti ‘nido’ nje baada ya kulewa tilalila mchana kweupe na kulizwa mkoba wake kisha kuzua varangati ‘hevi’, Ijumaa Wikenda lina mkanda kamili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKAVU LIVE: Leo Kwa Irene Uwoya........Kutoka TeamUkwelinaUwazi

Daaah hawa watu ni NOUMA, TeamUkwelinaUwazi ni AKAUNTI ambayo ipo kwenye mtandao wa INSTAGRAM...kazi yao kubwa ni kufunguka kila kitu kwa u... thumbnail 1 summary
Daaah hawa watu ni NOUMA, TeamUkwelinaUwazi ni AKAUNTI ambayo ipo kwenye mtandao wa INSTAGRAM...kazi yao kubwa ni kufunguka kila kitu kwa ukweli na wanavyo jisikia wao...Sasa hii ya leo no kwa IRENE UWOYA..nimependa kushare nanyi kama ifuatavyo;

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UZURI SI KINGA YA MAPENZI KUNA KITU KINGINE CHA ZIADA .... NJOO NIKUJUZE HAPA

WAKATI akili yangu ikianza kupata ufahamu, nilikuwa natatizika na kuwaza kitu gani hasa katika mapenzi kinaweza kumfanya mtu atulie ndan... thumbnail 1 summary


WAKATI akili yangu ikianza kupata ufahamu, nilikuwa natatizika na kuwaza kitu gani hasa katika mapenzi kinaweza kumfanya mtu atulie ndani ya penzi lake. Niliamini kuwa na fedha ndiyo dawa ya mtu kumtuliza mpenzi wake au kwa mwanamke kuwa mzuri na mwenye sifa zote, ndiyo dawa ya kumfanya mpenzi wako atulie.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

INATISHA!!! MAMA AJIFUNGUA MTOTO MWENYE KICHWA CHA NYANI, TAZAMA HAPA LIVE

Ajifungua mtoto mwenye kichwa cha nyani Tukio la aina yake na lakushangaza limetokea huko nchini Nigeria baada ya Mwanamke mmoja mkazi w... thumbnail 1 summary
Ajifungua mtoto mwenye kichwa cha nyani Tukio la aina yake na lakushangaza limetokea huko nchini Nigeria baada ya Mwanamke mmoja mkazi wa Kaduna,ambaye jina lake halikuweza kutambuliwa mara moja ameripotiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIFO CHA RECHO HAULE KIMEMFANYA JACKLINE WOLPER AFUTE MIPANGO YAKE YA KUZAA AKIHOFIA KUFA

Staa wa kike wa filamu za kibongo, Jackline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa hana wazo kabisa la kubeba mimba kwani staili ya kifo cha Re... thumbnail 1 summary
Staa wa kike wa filamu za kibongo, Jackline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa hana wazo kabisa la kubeba mimba kwani staili ya kifo cha Recho Haule inamuumiza sana kichwa....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FLORA MBASHA KWA MARA YA KWANZA AJITOKEZA MTANDAONI, TIZAMA ALICHOKIPOST BAADA YA SAKATA LA MME WAKE

Baada ya kutokea sakata la mdogo wa Flora Mbasha Kubakwa na thumbnail 1 summary
Baada ya kutokea sakata la mdogo wa Flora Mbasha Kubakwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU NA NANDO BBA MAMBO HADHARANI...MMH. SOMA HAPA WAO WAFUNGUKA

Stori: Musa Mateja na Mayasa Mariwata Mambo hadharani! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, thumbnail 1 summary
Stori: Musa Mateja na Mayasa Mariwata

Mambo hadharani! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIJANA ALIYEPOTEA KATIKA MAZINGIRA YA KISHIRIKINA AONEKANA AKIWA NA SURA YA KUTISHA, TAZAMA HAPA

Kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Nyambogo wilayani Rorya mkoani Mara, ambaye anadaiwa kupotea nyumbani kwa imani za kishirikina hatimaye... thumbnail 1 summary
Kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Nyambogo wilayani Rorya mkoani Mara, ambaye anadaiwa kupotea nyumbani kwa imani za kishirikina hatimaye amepatikana huku akiwa katika hali ya kutisha bila kujitambua na mwili wake ukiwa umejaa tope jingi, tukio ambalo limevuta mamia ya wananchi wa kijiji hicho.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKUBWA HAYA: DAKTARI ACHAPWA MKONO KWA UZEMBE WA KAZI, "WAGONJWA" SASAHIVI NI HATARI

Stori: Dustan Shekidele,Morogoro Timbwili! Katika hali ya kusikitisha mgonjwa Yasin Jailan (15) aliyekuwa wodini a... thumbnail 1 summary


Stori: Dustan Shekidele,Morogoro

Timbwili! Katika hali ya kusikitisha mgonjwa Yasin Jailan (15) aliyekuwa wodini anadaiwa kukata roho huku dokta akizichapa kavukavu na wagonjwa, Ijumaa Wikienda limenasa kisa cha ajabu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DK.KINGWANGALA ATAFAKARI URAIS 2015

Mbunge wa jimbo la Nzega Mkoani Tabora kupitia CCM, Hamis Kigwangala, ametanabaisha kuwa anatafakari kama anaweza kugombea U... thumbnail 1 summary
Mbunge wa jimbo la Nzega Mkoani Tabora kupitia CCM, Hamis Kigwangala, ametanabaisha kuwa anatafakari kama anaweza kugombea Urais kwenye uchaguzi mkuu ujao kupitia chama cha mapinduzi CCM.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII KALI SASA MAKAHABA WAVUA NGUO NA KUPIGANIA MTEJA BAR, MABIKI NA TAIT NJE NJE TU, TAZAMA HAPA

LOL hali si nzri kabisa kwa wadada hawa wanao semekana makahaba waamua kpigana vilivyo thumbnail 1 summary



LOL hali si nzri kabisa kwa wadada hawa wanao semekana makahaba waamua kpigana vilivyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAHA!! MAHABA NINYONGE NIGARAGAZE....SOMA ALICHOPOST 'NUHU MZIWANDA' KUMHUSU SHILOLE..

Nuhu Mziwanda ambaye ni mwanamuziki chipukizi wa Bongofleva anaonekana kukolea vilivyo kwenye penzi la Shilole ambaye pia ni mwanamuzik... thumbnail 1 summary

Nuhu Mziwanda ambaye ni mwanamuziki chipukizi wa Bongofleva anaonekana kukolea vilivyo kwenye penzi la Shilole ambaye pia ni mwanamuziki na actress, 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: