May 23, 2016

GIGGY MONEY: NAMPENDA MATONYA KWA KUWA ANAHONGA VIZURI SANA.

Mwanadada chakaramu mitandaoni na mwanamuziki Giggy Money, amesema anampenda sana mpenzi wake wa sasa ambae pia ni msanii wa Bongo flava ... thumbnail 1 summary
Mwanadada chakaramu mitandaoni na mwanamuziki Giggy Money, amesema anampenda sana mpenzi wake wa sasa ambae pia ni msanii wa Bongo flava Seif ‘Matonya’ Shaaban kwa kuwa ni muhongaji mzuri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hamisa Mobetto has shared a lovely Message with Us...Read what she wrote

Model Hamisa Mobetto shared a lovely pic and on her post she wrote a lovely message! Read what she wrote! Jiamini, Wewe Ni Bora, Uwep... thumbnail 1 summary
Model Hamisa Mobetto shared a lovely pic and on her post she wrote a lovely message!
Read what she wrote!
Jiamini, Wewe Ni Bora, Uwepo Wako Hapa Duniani Una Umuhimu Mkubwa Sana Kwa Wanaokuzunguka, Hata Akitokea Mtu Akakudharau Usihuzunike Na Kujiona Huwezi,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bifu Kali Kati ya Diamond na Clouds Media ....

Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani. Hii ni kutokana na media hiyo k... thumbnail 1 summary
Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani.
Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu Diamond kwa muda sasa ikiwemo hata nyimbo mpya anazokuwa anatoa. Hii ni tofauti na mpinzani wake alikiba kwan yeye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Usiyoyajua Kuhusu Bia ya Tanzania Iliyopachikwa Jina la Utani la ‘Ukawa’

“Nipatie Ukawa hapo”, “lete Ukawa chapu chapu” hayo ni maneno utakayoyasikia siku hizi ukiingia baa mbalimbali za mtaani jijini Dar es Sa... thumbnail 1 summary
“Nipatie Ukawa hapo”, “lete Ukawa chapu chapu” hayo ni maneno utakayoyasikia siku hizi ukiingia baa mbalimbali za mtaani jijini Dar es Salaam.
Mbali na maneno hayo pia utawasikia vijana wakisema, “Naenda kujiunga, najiunga cha buku (Sh1, 000) halafu nakuja”. Kama huelewi wanachozungumza wanywaji hao,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanawake Mbele ya Pesa, Mimba na Ukimwi ni Matokeo Tu

Kama ulikuwa huwafamu vizuri hawa ndugu zetu, mama zetu. Usitenge muda kuwafahamu, sababu utaweza kuwa chizi Pesa wananusa kama sisim... thumbnail 1 summary
Kama ulikuwa huwafamu vizuri hawa ndugu zetu, mama zetu.
Usitenge muda kuwafahamu, sababu utaweza kuwa chizi
Pesa wananusa kama sisimizi anavyo nusa sukari ipo wapi
Ukiwa na pesa ya kutosha utaweza kuwachanganya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jinsi Ya Kuwavutia Wanawake Bila Kutamka Neno

Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakin... thumbnail 1 summary
Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye. Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 23, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

May 23 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews il... thumbnail 1 summary
May 23 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya kutwaa Laliga, FC Barcelona wametwaa Kombe la pili leo May 23 2016

Baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Hispania kumalizika kwa klabu ya FC Barcelona yaHispania kufanikiwa kuibuka na Mabingwa, usiku wa May 22... thumbnail 1 summary
Baada ya kumalizika kwa Ligi Kuu Hispania kumalizika kwa klabu ya FC Barcelona yaHispania kufanikiwa kuibuka na Mabingwa, usiku wa May 22 2016 walifanikiwa kutwaa taji la pili baada ya kufanikiwa kuifunga Sevilla katika mchezo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kauli ya Van Gaal iliyodhihirisha anaondoka Man United wakati akitoka katika hotel ya timu

Kuna uwezekano mkubwa sana ndani ya wiki hii uongozi wa Man United uliyokuwa umekaa kimya kwa muda mrefu, ukatoa taarifa rasmi kuhusu hat... thumbnail 1 summary
Kuna uwezekano mkubwa sana ndani ya wiki hii uongozi wa Man United uliyokuwa umekaa kimya kwa muda mrefu, ukatoa taarifa rasmi kuhusu hatma ya kocha wao Louis van Gaal, kwani kuna dalili kubwa kocha huyo akaondoka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huddah Monroe Shares her lovely pics shows Off her $exy Body

Kenyan Socialite Huddah Monroe has put on display her lovely yellow min gown as she poses on swimming pool, Huddah with $exy body has sho... thumbnail 1 summary
Kenyan Socialite Huddah Monroe has put on display her lovely yellow min gown as she poses on swimming pool, Huddah with $exy body has shown to be proud being Kenyan

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Beauty Queen Hamisa Mobetto Flaunting "Curvy Shape" with Special Message

The Everlasting Beauty Doll had Dressed to Impress during the Lady Jaydee Concert...She Had to Write this with the above Pic " Once ... thumbnail 1 summary
The Everlasting Beauty Doll had Dressed to Impress during the Lady Jaydee Concert...She Had to Write this with the above Pic " Once You had the best baby you can't do better

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Put some respeck on his name-Birdman's daughter graduates from college(Photo)

He may be the butt of jokes for his ''Put some respeck on my name'' comment, however,Birdman's daughter, Bria thumbnail 1 summary
He may be the butt of jokes for his ''Put some respeck on my name'' comment, however,Birdman's daughter, Bria

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: