January 10, 2016

Hii ndio habari ya Martial wa Man United inayoweza kuwagharimu wenye gazeti …

Gazeti la The Sun lilimuweka kwenye headlines mkali wa kucheka na nyavu wa Man United, baada ya kumuandika kuhusu stori za usaliti wa... thumbnail 1 summary


Gazeti la The Sun lilimuweka kwenye headlines mkali wa kucheka na nyavu wa Man United, baada ya kumuandika kuhusu stori za usaliti wa mapenzi. Mastaa wa soka huwa wanaingia kwenye headlines za usaliti wa mapenzi aliwahi kuingia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Gareth Bale kamkaribisha Zinedine Zidane kwa kuwafunga hat-trick Deportivo La Coruna (+Pichaz&Video)

January 9 ni siku ya mapumziko kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi, kwa sasa ni michuano mikubwa pekee kwa  Tanzania  inayoendelea, ... thumbnail 1 summary
January 9 ni siku ya mapumziko kwa michuano ya Kombe la Mapinduzi, kwa sasa ni michuano mikubwa pekee kwa Tanzania inayoendelea, baada ya Ligi Kuu Tanzania bara kusimama ili kupisha michuano hiyo. Mtu wangu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vitu vitano vinavyoweza kukushangaza Zanzibar, kuna hoteli huwezi kulala hata uwe tajiri vipi …

Mtu wangu wa nguvu wakati Kombe la Mapinduzi likiwa limesimama kwa mapumziko ya siku moja kabla ya Jumapili ya January 10 kuendelea kat... thumbnail 1 summary

Mtu wangu wa nguvu wakati Kombe la Mapinduzi likiwa limesimama kwa mapumziko ya siku moja kabla ya Jumapili ya January 10 kuendelea katika hatua ya nusu fainali. Ripota wa millardayo.com alipata nafasi ya kutembelea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Mbwana Samatta alivyoitembeza tuzo yake mtaani akiwa na Waziri Nape

Jan 9 2016 mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora Afrika  Mbwana Samatta  aliungana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo  Na... thumbnail 1 summary
Jan 9 2016 mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora Afrika Mbwana Samatta aliungana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari The Lady Boss Awakosha Mashabiki wa Penzi lake na Diamond Kwa Picha Hizi

Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake akiwa kijijini k... thumbnail 1 summary
Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ amewakosha mashabiki wa penzi lake na Diamond ‘Baba Tiffah’ baada ya kubandika picha zake akiwa kijijini kwao pamoja na watoto wake na kuonekana anafanya kazi zote zan nyumbani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video ya ‘Mbabe wa Unga El Chapo’ Alivyonaswa Huko Mexico na Polisi Miezi 6 Baada ya Kutoboa Gereza..

Jamaa aliteka sana vichwa vya habari kubwa duniani, jina lake halisi ni Joaquin Guzman a.k.a ‘El Chapo‘ ni jamaa ambaye ana kesi za kuji... thumbnail 1 summary
Jamaa aliteka sana vichwa vya habari kubwa duniani, jina lake halisi ni Joaquin Guzman a.k.a ‘El Chapo‘ ni jamaa ambaye ana kesi za kujihusisha na dawa za kulevya, kajikuta mikononi mwa Polisi miezi sita baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: