May 20, 2016

Mwanadada AIKA Asema Hahitaji Kulipiwa Mahari na NAHREEL

Aika na mpenzi wake, Nahreel.Wiki hii tunaye mwanadada anayeunda Kundi la Navy Kenzo anayefahamika kwa jina la Aika Mariale. Huyu ni mpen... thumbnail 1 summary
Aika na mpenzi wake, Nahreel.Wiki hii tunaye mwanadada anayeunda Kundi la Navy Kenzo anayefahamika kwa jina la Aika Mariale. Huyu ni mpenzi wa mwanamuziki na prodyuza aitwaye Nahreel. Amefunguka mambo mengi kuhusu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ne-Yo Atua Dar Akiwa Kwenye Ulinzi Mkali, Warembo Wajiachia Hotelini! [ PICHAZ & VIDEOS ]

Warembo waliohudhuria kwenye hafla ya Meet and Greet ya Ne-Yo. Staa wa Marekani, Ne-Yo jana usiku alitua jijini Dar es Salaam akitokea ... thumbnail 1 summary
Warembo waliohudhuria kwenye hafla ya Meet and Greet ya Ne-Yo.
Staa wa Marekani, Ne-Yo jana usiku alitua jijini Dar es Salaam akitokea Marekani akiwa na ulinzi mkali.
Muimbaji huyo wa ‘Miss Independent’ alitua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere mida ya saa tano kasoro usiku. Staa huyo aliyekuwa amevaa nguo zote nyeusi na kofia ambayo alikuwa ameifunika na hood

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Moto wa Rais MAGUFULI Wawaka Kila Kona... Vigogo Wawarudisha Tanzania Watoto Wao Waliokua Ughaibuni!

Rais Dk John Pombe Magufuli.Dar es Salaam: BAADHI ya vigogo ambao ni watumishi wa muda mrefu serikalini, wameamua kuwarudisha nyumbani ... thumbnail 1 summary

Rais Dk John Pombe Magufuli.Dar es Salaam: BAADHI ya vigogo ambao ni watumishi wa muda mrefu serikalini, wameamua kuwarudisha nyumbani watoto wao waliokuwa wakisoma nje, ili waendelee na masomo kutokana na staili ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Photos: Corazon Breaks The Internet with these Hot Photos

Corazon Break The Internet with these Hot Photos....Corazon Kwamboka is a lawyer who graduated from the University of Nairobi in 2013.The... thumbnail 1 summary
Corazon Break The Internet with these Hot Photos....Corazon Kwamboka is a lawyer who graduated from the University of Nairobi in 2013.The socialite gives new meaning to the word bootylicious and is not afraid to put her

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ben Pol: Najiogopa Nikivaa Hereni na Kuchora Tatoo, Hivi Kwangu Ni HAPANA

Ben Pol ni mmoja kati ya wasanii wachache kwenye muziki wa Bongo Fleva wasiokuwa na makuu. ‘Moyo Mashine’ ni moja kati ya nyimbo zinazo... thumbnail 1 summary
Ben Pol ni mmoja kati ya wasanii wachache kwenye muziki wa Bongo Fleva wasiokuwa na makuu.
‘Moyo Mashine’ ni moja kati ya nyimbo zinazofanya vizuri kwenye TV na redio na kufanikiwa kuweka rekodi ya kuwa na views nyingi kwa muda mfupi kuzidi nyimbo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mambo 5 Yanayoleta Uadui Kwa Wapenzi !

Rafiki, bila shaka ipo wazi kwamba kila mmoja anapenda kuwa na mpenzi ambaye mbali na kumpenda kwa moyo wake wote, atapenda kum fanya a... thumbnail 1 summary
Rafiki, bila shaka ipo wazi kwamba kila mmoja anapenda kuwa na mpenzi ambaye mbali na kumpenda kwa moyo wake wote, atapenda kum
fanya awe kama ndugu, rafiki au zaidi ya hapo. Atakayekuwa tulizo la moyo, kivuli kwenye jua kali, maji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Penzi La Harmonize Na Jacqueline Wolper Lazidi Kukua Jionee Mwenyewe (Pichaz)

Mwanzo walianza kama kick lakini kwasasa wanaonekana kama wapo serious.Harmonize mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB ambaye kwa sasa an... thumbnail 1 summary
Mwanzo walianza kama kick lakini kwasasa wanaonekana kama wapo serious.Harmonize mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka WCB ambaye kwa sasa anatoka kimapenzi na Jacqueline Wolper ambayeni x wa Diamond Platnumz. Picha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EXCLUSIVE:KIFO CHA KIBA CHAKARIBIA...DAHH

Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kuto... thumbnail 1 summary
Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kutoboa kimataifa.. Jambo ambalo mashabiki wake wanashindwa kuelewa ni kuwa huo unaweza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lady Jaydee Kumweka Wazi Mrithi wa Gardner Leo, Ipo Hapa

Mkongwe wa Bongo Fleva kwa zaidi ya miaka kumi na tano, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee au Jide’, anatarajia kumuanika mrithi wa aliyek... thumbnail 1 summary
Mkongwe wa Bongo Fleva kwa zaidi ya miaka kumi na tano, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee au Jide’, anatarajia kumuanika mrithi wa aliyekuwa mumewe, Mtangazaji wa Kituo cha Radio CloudsFM, Gardner G. Habash ndani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MIRUNGI KILO 500 YAKAMATWA,JE KUGAWIWA??

Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia wakazi wawili wa Mtaa wa Nyegezi, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za kusafiri... thumbnail 1 summary

Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia wakazi wawili wa Mtaa wa Nyegezi, Wilaya ya Nyamagana, Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond kwenye headlines nyingine na Wizkid, AKA, Drake, Beyonce na Rihanna

May 20 2016 Tanzania imeamka na habari nyingine njema za Diamond Platnumz kuchaguliwa tena kushiriki kwenye tuzo za kituo maarufu cha T... thumbnail 1 summary

May 20 2016 Tanzania imeamka na habari nyingine njema za Diamond Platnumz kuchaguliwa tena kushiriki kwenye tuzo za kituo maarufu cha TV Marekani kiitwacho BETambapo Platnumz amekua na mwaka mwingine mfululizo wa kuwa nominated na sasa ni kwenye tuzo za BET Awards 2016.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Breaking News: Baba wa Mfalme wa Muziki wa Pop Duniani, MICHAEL JACKSON Afariki Dunia!

Michael Jackson's father has Died at 87 years old. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde! thumbnail 1 summary
Michael Jackson's father has Died at 87 years old.
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PREZZO Amvisha Pete ya Uchumba Mrembo Huyu [ +PICHAZ ]

Rapa kutoka Kenya Prezzo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola ambaye hivi karibuni amekuwa karibu sana na staa huyu.  thumbnail 1 summary
Rapa kutoka Kenya Prezzo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola ambaye hivi karibuni amekuwa karibu sana na staa huyu. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tyga rebounds with 21 year old model(Photo)

Tyga was spotted with his rebound and Kylie look-alike,Demi Rose.He posed and got cozy with her in thumbnail 1 summary
Tyga was spotted with his rebound and Kylie look-alike,Demi Rose.He posed and got cozy with her in

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jux Chilling and Working on a Private Owned Studio

The Bongo RnB Singer, Juma Jux Shared This Handsome Picture of His in this Good Looking Studio thumbnail 1 summary
The Bongo RnB Singer, Juma Jux Shared This Handsome Picture of His in this Good Looking Studio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAY WA MITEGO Ampa za Uso Mdada GIGY MONEY!

MKALI wa Ngoma ya Saka Hela, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameamua kumfungukia muuza nyago kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘G... thumbnail 1 summary
MKALI wa Ngoma ya Saka Hela, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameamua kumfungukia muuza nyago kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu Afunguka Haya Huhusu Alikiba

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa msanii Alikiba ni mtu wa kumuacha kutokana na uwezo wake wa kuimba na namna... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa msanii Alikiba ni mtu wa kumuacha kutokana na uwezo wake wa kuimba na namna ambavyo anaweza kuipangilia sauti yake kwenye muziki.Wema Sepetu amezidi kuonyesha mapenzi aliyonayo kwenye kazi za msanii Alikiba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Msichana mwingine kati ya wale 276 waliotekwa na Boko Haram apatikana

Baada ya miaka miwili tangu kutekwa kwa wasichana zaidi ya 276 wa shule na kupatikana kwa mmoja May 18 2016 msichana mwingine Serah Luka ... thumbnail 1 summary
Baada ya miaka miwili tangu kutekwa kwa wasichana zaidi ya 276 wa shule na kupatikana kwa mmoja May 18 2016 msichana mwingine Serah Luka amepatikana kaskazini mashariki mwa jimbo la Borno.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 20, 2016 kwenye, Hardnews na michezo

May 20 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hard... thumbnail 1 summary
May 20 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PENGINE HUJAWAHI KUMUONA DEMU WA MWANAMIELEKA JOHN CENA, MTAZAME HAPA.

Najua unaweza ukawa miongoni mwa watu ambao hawajawahi kumuona ‘Kiburudisho’ cha star wa mieleka Duniani John Cena. thumbnail 1 summary
Najua unaweza ukawa miongoni mwa watu ambao hawajawahi kumuona ‘Kiburudisho’ cha star wa mieleka Duniani John Cena.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JUX AJA NA MUONEKANO TOFAUTI, CHEKI PICHA ZAKE HAPA KAPENDEZA AU LAAH!!

Jux amebadilisha muonekano wake na kuna na style mpya ya nywele. Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ amesokota nywele zake na kuziweka kwa... thumbnail 1 summary
Jux amebadilisha muonekano wake na kuna na style mpya ya nywele. Muimbaji huyo wa ‘Looking For You’ amesokota nywele zake na kuziweka kwa mtindo kama wa wasanii wa kundi la zamani la hip hop. Kris Kros.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA SEPETU AMWAGIA SIFA KEDEKEDE ALIKIBA BAADA YA WIMBO WA "AJE" NA DILI HILI JIPYA LA KIBA

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa msanii Alikiba ni mtu wa kumuacha kutokana na uwezo wake wa kuimba na namna a... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa msanii Alikiba ni mtu wa kumuacha kutokana na uwezo wake wa kuimba na namna ambavyo anaweza kuipangilia sauti yake kwenye muziki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA MKATABA NA SONY ALIKIBA NDANI YA DILI JIPYA NA SHIRIKA HILI LA CHAKULA

Huu ni mwaka wa Alikiba. Baada ya kusaini mkataba mnono na Sony Music itakayomshuhudia akienda rasmi kimataifa, staa huyo amepewa dili ji... thumbnail 1 summary
Huu ni mwaka wa Alikiba. Baada ya kusaini mkataba mnono na Sony Music itakayomshuhudia akienda rasmi kimataifa, staa huyo amepewa dili jingine la kufanya kazi na taasisi ya Jamie Oliver Food Foundation.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SERENGETI BOYS WATAKATA INDIA, WATINGA NUSU FAINALI

Timu ya soka ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo Mei 19, 2016 imetinga hatua ya Nusu Fainali baada ya... thumbnail 1 summary
Timu ya soka ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo Mei 19, 2016 imetinga hatua ya Nusu Fainali baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na Korea Kusini katika mfululizo wa michuano maalumu ya kimataifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

New Video: Alikiba Ft M.I - Aje | Itazame Hapa

Mkali wa Bongo flava Ali Kiba tayari ameiachia Youtube video ya ngoma yake mpya Aje. thumbnail 1 summary
Mkali wa Bongo flava Ali Kiba tayari ameiachia Youtube video ya ngoma yake mpya Aje.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LADY JAYDEE ATOA UJUMBE HUU BAADA YA MAMBO YOTE YALIOTOKEA JUU YAKE!

Msani Lady jaydee ambaye anatarajia kufanya onyesho kubwa mwishoni mwa wiki hii, amesema kuwa mafanikio yake makubwa aliyonayo kwenye m... thumbnail 1 summary

Msani Lady jaydee ambaye anatarajia kufanya onyesho kubwa mwishoni mwa wiki hii, amesema kuwa mafanikio yake makubwa aliyonayo kwenye muziki, yametokana na nidhamu yake kwenye muziki, ambao anauona ni sehemu ya maisha yake. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Feza Kessy Anahisi Makampuni Yanapenda Kuwapa Endorsement Mastaa Wenye Skendo!

Feza Kessy amesema anashangaa jinsi ambavyo makampuni nchini yameshindwa kuwatumia mastaa mbalimbali kwenye kazi za ubalozi kama zilivyo ... thumbnail 1 summary
Feza Kessy amesema anashangaa jinsi ambavyo makampuni nchini yameshindwa kuwatumia mastaa mbalimbali kwenye kazi za ubalozi kama zilivyo nchi zingine Afrika. 
Akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds FM Jumanne hii, mtangazaji huyo wa Choice FM alisema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magari Ya Washa Washa Kugeuzwa ya Zimamoto!

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Yusufu Hamad Masauni, amesema Serikali iko katika mchakato wa kuangalia uwezekano wa kubadili matum... thumbnail 1 summary
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Yusufu Hamad Masauni, amesema Serikali iko katika mchakato wa kuangalia uwezekano wa kubadili matumizi magari ya polisi ya kuzuia ghasia kwa kurusha maji ya kuwasha maarufu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

See This Amazing Throwback Photo of These Bongo Flava Artist

Pictured Above are The Former TMK wanaume Members Temba and Chege Together with Fid Q (Ngosha The Don) and Nay wa Mitego. Looking Good ... thumbnail 1 summary

Pictured Above are The Former TMK wanaume Members Temba and Chege Together with Fid Q (Ngosha The Don) and Nay wa Mitego. Looking Good Together...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vanessa Mdee, Taking Things in a Calm Manner, See What She Posted Here

I Really Like this Girl's Move, Keeping Quite Like Nothing Has Happened, Yeah Its Better That Way... Don't Give People "Sh!t... thumbnail 1 summary
I Really Like this Girl's Move, Keeping Quite Like Nothing Has Happened, Yeah Its Better That Way... Don't Give People "Sh!t" to talk about... Let Them Mind Their Own Businesses.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ndege ya kivita ya Marekani yaanguka Guam

Ndege za B-52 zimetumiwa na Marekani kwa miaka 60 Ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-52 imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka kwe... thumbnail 1 summary
Ndege za B-52 zimetumiwa na Marekani kwa miaka 60
Ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-52 imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka kwenye kambi ya taifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: