May 20, 2016

PREZZO Amvisha Pete ya Uchumba Mrembo Huyu [ +PICHAZ ]

Rapa kutoka Kenya Prezzo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola ambaye hivi karibuni amekuwa karibu sana na staa huyu.  thumbnail 1 summary
Rapa kutoka Kenya Prezzo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Michelle Oyola ambaye hivi karibuni amekuwa karibu sana na staa huyu. 
Prezzo aliwahi kufikia hatua hii na wanawake wawili ambaye ni mama mtoto wake Daisy na marehemu Goldie, kwa sasa mitandao ya kijamii Kenya imeshikwa na taarifa hizi kuwa huyu atakuwa mke wa Prezzo. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments