June 06, 2014

MSANII WA FILAMU SALMA JABU(NISHA) ASHANGAZA KWA MAUZO YAKE SOKO LA FILAMU TANZANIA

Salma jabu nisha awafungasha wenzake sokoni yasemekana msanii bora kunako tasnia ya filamu tanzania awafungasha tela wasanii wenzake so... thumbnail 1 summary

Salma jabu nisha awafungasha wenzake sokoni yasemekana msanii bora kunako tasnia ya filamu tanzania awafungasha tela wasanii wenzake sokoni sasa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKATI ANASUBIRI TUZO ZA MTV, DIAMOND AMEWEKA REKODI NYINGINE TWITTER, SOMA HAPA

Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo MTV, ameongeza sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti ya... thumbnail 1 summary


Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo MTV,
ameongeza sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BATA BATANI DIAMOND PLATNUM AWA MFALME SOUTH, WAZUNGU WAMTUMIKIA KAMA BOSS, TAZAMA HAPA

Demu wa kizungu wa MTV ndio anamuendesha Diamond South Afrika leo….Cheki  picha yake,noma sana!Wakati Diamond Platnumz akiwa Afrika ... thumbnail 1 summary


Diamond-Platnumz-na-Babutale-vibe-co-tz
Demu wa kizungu wa MTV ndio anamuendesha Diamond South Afrika leo….Cheki 
picha yake,noma sana!Wakati Diamond Platnumz akiwa Afrika Kusini Tayari kabisa  kwa tuzo za MTV MAMA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI PICHA TATU ZA LULU NA JOTI ZINANIPA WASIWASI, KUNA KITU KATI YAO?? TAZAMA HAPA

Kuna msemo mmoja wa waswahili husema, Panapofuka Moshi malizia mwenyewe______________ Mastaa hawa wawili wamekuwa wakizurura wenyew... thumbnail 1 summary


Kuna msemo mmoja wa waswahili husema, Panapofuka Moshi malizia mwenyewe______________ Mastaa hawa wawili wamekuwa wakizurura wenyewe kila mahali katika kusaka Vipaji na Team nzima ya TmT, sasa swali ni kwamba upigaji picha huu wa kila saa na kuzitumbukiza Insta

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HILI NI LINGINE KUBWA KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ NA DAVIDO, MTV MAMA AWARDS HUKO SOUTH AFRIKA..SOMA HAPA

Inawezekana hufaamu kinachoendelea mpaka sasa tangia Diamond Platnumz asafiri kuelekea South Afrika kwenye Tuzo za MTV MAMA AWARDS. H... thumbnail 1 summary

Inawezekana hufaamu kinachoendelea mpaka sasa tangia Diamond Platnumz asafiri kuelekea South Afrika kwenye Tuzo za MTV MAMA AWARDS. Hapo jana Majira ya usiku hivi katika Wall ya MTV huko Insta walishare baathi ya Picha kama kuna tukio kubwa linaloendelea kati ya Diamond na Davido... ni jambo la kushukuru sana kuona mziki wa Bongo Fleva unaanza kuwa wa kimataifa zaidi. wakali hawa kama unakumbuka walikutana tu mkwenye tamasha kubwa la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AGE IS JUST A NUMBER: JAMAA ATHIBITISHA HILO!!!!

Kutoka katika Gazeti la THE MIRROR: Kijana Kyle Jones, 31, kutoka Augusta, Georgia amekuwa na mahusiano ya KIMAPENZI  na wabibi wenye... thumbnail 1 summary

Kutoka katika Gazeti la THE MIRROR: Kijana Kyle Jones, 31, kutoka Augusta, Georgia amekuwa na mahusiano ya KIMAPENZI  na wabibi wenye miaka kati ya  71, 63, 61, 52 na 50.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OMMY DIMPOZ HATARINI KUFULIA , KAMA ATAENDELEA KUFANYA MAMBO YAFUATAYO..

UNAPOTAKA kutaja majina ya vijana chipukizi, ambao sasa wanaogelea katika bahari ya ustaa , basi huwezi kuliweka mbali jina la Ommy Dimpoz ... thumbnail 1 summary

http://4.bp.blogspot.com/-SO0bJceFiM8/UukEr5Ts4pI/AAAAAAAArqA/BM3f7BcNRRY/s1600/1.jpgUNAPOTAKA kutaja majina ya vijana chipukizi, ambao sasa wanaogelea katika bahari ya ustaa , basi huwezi kuliweka mbali jina la Ommy Dimpoz , mkali wa vibao vikali vya Baadaye na Tupogo. Hizi ngoma mbili zimekimbiza sana na nadhani ndizo zinazompa shoo nyingi , ndani na nje ya nchi , ingawa pia hivi karibuni aliingiza mtaani kazi yake nyingine inayokwenda kwa jina la Ndagushima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UMAARUFU NOMA SANAAA: CHECK PICHA ALIZOTUPIA LUPITA NYONG'O ... JAMANI KAMA DUM.. SIJASEMA KITU MIMI

Akiwa Mapumzikoni , Paparazi Bila ya Ajizi walifanikiwa kumfotoa thumbnail 1 summary



Akiwa Mapumzikoni , Paparazi Bila ya Ajizi walifanikiwa kumfotoa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DEMU WA YOUNG KILLER MSODOKI AAMUA KUPIGA PICHA NA KICH**P NA KUTUPIA INSTAGRAM CHECK ZINGINE HAPA

  Baada ya kugeuza noti za buku 10 kuwa shuka mrembo wa rapper wa  ‘Mrs Supastaa’ Young Killer aitwaye Halimaty ameendelea kumake ... thumbnail 1 summary

 
Baada ya kugeuza noti za buku 10 kuwa shuka mrembo wa rapper wa
 ‘Mrs Supastaa’ Young Killer aitwaye Halimaty ameendelea kumake headlines

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

S3xy Photos za Vera Sidika!!! ......Ni balaaa tupu

Huyo ni TOP SOCIALITE kwa hapa Africa...Amepanda BEI sana....Safari zake nyingi HUKOOO MAMTONIII..... thumbnail 1 summary

Huyo ni TOP SOCIALITE kwa hapa Africa...Amepanda BEI sana....Safari zake nyingi HUKOOO MAMTONIII.....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Masogange na Nywele za Rihana......Nishidaa

Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM mwanadada Agnes Gerald aka   Masogange , Bila kuandika chochote ameweka picha kuonyesha mtindo wa... thumbnail 1 summary


Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM mwanadada Agnes Gerald aka  Masogange, Bila kuandika chochote ameweka picha kuonyesha mtindo wa nywele za mwanadada RIHANA na kisha kuweka mtindo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE KIUNOAAMUA KUWEKA KILA KITU WAZI KUHUSU MAMBO YAKE YA NDANI

Ni msanii mwenye ups and downs nyingi sana , kama unatafuta role model hapa bongo basi muite Shilole. Alianzia kwenye movie lakini kab... thumbnail 1 summary

Ni msanii mwenye ups and downs nyingi sana , kama unatafuta role model hapa bongo basi muite Shilole. Alianzia kwenye movie lakini kabla ya movie alishawahi kuuza chakula na biashara mbali mbali in order to survive.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NI MPYA KWAKO MDAU!! KAMA KULIFAIDI PENZI LA MWANADADA "IRENE UWOYA", HAYA NDIYO MASHARTI ALIYOTOA

Sina uhakika kama mapenzi ni machaguo au ni zali na hayana formula, of course mimi sio mtaalam wa saikolojia na mahusiano. Ila naamini k... thumbnail 1 summary


Sina uhakika kama mapenzi ni machaguo au ni zali na hayana formula, of course mimi sio mtaalam wa saikolojia na mahusiano. Ila naamini kati ya hayo kuna jibu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIPINDI CHA TV KINACHOONYESHA WANAWAKE WAKIJIFUNGUA PORINI LIVE CHECK HAPA

Kampuni ya Lifetime ya nchini Marekani imetangaza kipindi kipya cha  Televisheni kitakachoonyesha wazazi vijana wakijifungua por... thumbnail 1 summary

Kampuni ya Lifetime ya nchini Marekani imetangaza kipindi kipya cha 
Televisheni kitakachoonyesha wazazi vijana wakijifungua porini bila msaada wa madaktari wakati

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAFUNZI HUYU WA KIDATO CHA PILI KUPIGA HII PICHA NI FASHION AU UTUMBOOOOO

Maoni yako ni muhimu kwa ili linalondelea ...kumekuwa na wimbi la wasichana weng wa  vyuo,sekondari na hata shule za msingu kupiga pi... thumbnail 1 summary
Maoni yako ni muhimu kwa ili linalondelea ...kumekuwa na wimbi la wasichana weng wa vyuo,sekondari na hata shule za msingu kupiga picha za kimahaba na kuziweka mtandaoni je hii ni sahihi ......tutaweka wazi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA: JAMANI PESA NI HATARI KABISA, MWANAUME AFANYA MAPENZI NA WASICHANA WATATU TENA KITANDA KIMOJA.

Angalia huyu kijana wa Kinigeria alivyonadharau , anafanya mapenzi na wasichana wakari  watatu na kutawanya pesa hovyohovyo kitandan... thumbnail 1 summary

naija boy in bed with three women

Angalia huyu kijana wa Kinigeria alivyonadharau , anafanya mapenzi na wasichana wakari watatu na kutawanya pesa hovyohovyo kitandani. Anawakunja mmoja mmoja kwa zamu. Jeuri ya pesa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BALAAA MKE WA MTU AMFUMANIA MUMEWE NA KUZIDIWA NGUVU HADI KUJERUHIWA

UBABE! Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa mfumaniwaji huwa mpole, kibao kimebadilika, mfanyakazi wa ndani aliyejulikana kwa jina la N... thumbnail 1 summary
UBABE! Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa mfumaniwaji huwa mpole, kibao kimebadilika, mfanyakazi wa ndani aliyejulikana kwa jina la Niachie amegeuka mbogo na kumchoma bisibisi bosi wake, Amina ‘Mama Zai’ aliyemfumania akiwa na mumewe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII WA VICHEKESHO APATA AJALI WAKATI AKIELEKEA KWENYE MSIBA SOMA HAPA KISA CHOTE

STAA wa vichekesho, Sherry Magali ambaye pia ni mtoto wa msanii wa filamu Charles Magali amepata ajali na kuvunjika mguu alipokuwa njiani... thumbnail 1 summary
STAA wa vichekesho, Sherry Magali ambaye pia ni mtoto wa msanii wa filamu Charles Magali amepata ajali na kuvunjika mguu alipokuwa njiani akielekea kwenye msiba wa George Otieno ‘Tyson’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MATUKIO MANNE KWENYE MSIBA WA TYSON .... CHECK HAPA

MWILI wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ usiku wa Jumanne iliyopita ulifikishwa nyumbani kwake Mbezi Makonde jijini Dar kwa ajili ya ndugu... thumbnail 1 summary
MWILI wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ usiku wa Jumanne iliyopita ulifikishwa nyumbani kwake Mbezi Makonde jijini Dar kwa ajili ya ndugu zake ambao kesho yake (Jumatano) wasingeweza kufika Viwanja vya Leaders Club kuuaga, wafanye hivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAMUZIKI WAPIGWA NA BUTWAA: MADAHA ASEMA AAMINI MPAKA AONE MAKABURI KISA KAMILI HAPA

MSANII  wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye kwa sasa yuko Kenya amesema kuwa, haamini kama kweli wasanii wa filamu Recho... thumbnail 1 summary
MSANII wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye kwa sasa yuko Kenya amesema kuwa, haamini kama kweli wasanii wa filamu Recho Haule na Adam Kuambiana wamefariki dunia mpaka siku atakapoyaona makaburi yao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI HUJUNI SANA: MTOTO WA TYSON NI KAMA AAMINI KILICHOTOKEA SOMA ZAIDI HAPA

KAULI  ya mtoto wa marehemu George Otieno ‘Tyson’, Sonia George Otieno aliyoitoa wakati akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mw... thumbnail 1 summary
KAULI ya mtoto wa marehemu George Otieno ‘Tyson’, Sonia George Otieno aliyoitoa wakati akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa baba yake, iliamsha huzuni na vilio kwa  ndugu, jamaa na wadau walioshuhudia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI MFANO KWA MARAISI WOTE KUKUZA VIPAJI VYA WASANII: KIKWETE AMCHONGEA DILI DIAMOND ... SHAVU HILOOO

Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete anatajwa rais pekee anayetoa s... thumbnail 1 summary
Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete anatajwa rais pekee anayetoa sapoti kwa wasanii ambapo safari hii amempa ulaji staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA UNAKUMBUKA STORI YA TRAFIKI HUYU KUVUMA NA SKETI YAKE HIYO, SASA KAJA NA KALI NYINGINE SOMA HAPA

Yule trafiki wakike wa Kenya ambae kwa sasa Wakenya wengi wanamuita Koplo Linda Okelo ameingia tena kwenye headlines huko huko Kenya na k... thumbnail 1 summary
TZA AFISA WA POLISI KENYAYule trafiki wakike wa Kenya ambae kwa sasa Wakenya wengi wanamuita Koplo Linda Okelo ameingia tena kwenye headlines huko huko Kenya na kwa sasa ameamua kwenda mahakamani kupinga hatua ya kamati ya kinidhamu iliyowekwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHABIKI ANUNUA NYUMBA YA MAREHEMU WHITNEY HOUSTON

Mapenzi yaliyopitiliza ya shabiki wa muziki wa Marehemu Whitney Houston yamemfanya kununua nyumba ya mwanamuziki huyo na kuahidi kuitun... thumbnail 1 summary
fan
Mapenzi yaliyopitiliza ya shabiki wa muziki wa Marehemu Whitney Houston yamemfanya kununua nyumba ya mwanamuziki huyo na kuahidi kuitunza kwa ajili yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MREMBO MZIMA AIBU TUPU BAADA YA FUNDI WA SIMU YAKE KUVUJISHA PICHA ZAKE ZA UTUP,JIONEE HAPA

mdada huyu ambaye ni gumzo ya kitaa kwa urembo wake na maringo kwani sasa hana soko tena na nyodo zote kwisha habari maana uzembe... thumbnail 1 summary

mdada huyu ambaye ni gumzo ya kitaa kwa urembo wake na maringo
kwani sasa hana soko tena na nyodo zote kwisha habari maana uzembe wake umemponza,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASIKINI C.RONALDO HATA CHEZA KOMBE LA DUNIA, MGANGA TOKA GHANA NDIYE ANAMROGA, SOMA MANENO MAKALI YA MGANGA HUYO HAPA

Mbwembwe na matukio ya kushangaza yanazidi kuonekana kati ya nchi zinazopeleka timu zao Brazil kwa ajili ya Kombe la Dunia. Mganga ... thumbnail 1 summary

Mbwembwe na matukio ya kushangaza yanazidi kuonekana kati ya nchi zinazopeleka timu zao Brazil kwa ajili ya Kombe la Dunia.
Mganga wa kienyeji wa Ghana anaejulikana kwa jina la Nana Kwaku Bonsam

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: