September 16, 2014

PETIT MAN ATHIBITISHA MPANGO WAKE WA KUFUNGA NDOA NA DADA WA DIAMOND PLATNUM

Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na... thumbnail 1 summary

Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VUNJA MBAVU. ETI HIZI NDIZO GHARAMA ZA KUOA IFIKAPO 2017

Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio kwa sababu wanawake watakuwa wameisha,LA hasha! thumbnail 1 summary
Ikifika mwaka 2017 na bado hujaoa basi ujue
Possibility ya wewe kuoa ni ndogo sana.Sio
kwa
sababu wanawake watakuwa wameisha,LA
hasha!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ASKARI WA USALAMA BARABARANI AGONGWA NA DALADALA SIKU YA JANA, MBAGALA DAR

Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala Mbagala Rangi T... thumbnail 1 summary

Askari wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, akiwa hoi baada ya kugongwa na daladala Mbagala Rangi Tatu, jana asubuhi. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANAYEDAIWA MCHAWI ADONDOKEA KANISANI

NIkweli imetokea! Ni kwenye Kanisa la Paradise Internation Ministries lililoko Karakata Ukonga jijini Dar, mwanamke mmoja (pichani) anayeda... thumbnail 1 summary
NIkweli imetokea! Ni kwenye Kanisa la Paradise Internation Ministries lililoko Karakata Ukonga jijini Dar, mwanamke mmoja (pichani) anayedaiwa mchawi alidondoka usiku wa saa saba na kujikuta hawezi kutembea.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA YAKE AMTUPA, KISA MGONJWA

MTOTO  Sauda Mohamed (6) mkazi wa Kigogo, Dare s Salaam ameokotwa na wasamaria wema baada ya kutupwa na mama yake ambaye hajafahamika. thumbnail 1 summary
MTOTO Sauda Mohamed (6) mkazi wa Kigogo, Dare s Salaam ameokotwa na wasamaria wema baada ya kutupwa na mama yake ambaye hajafahamika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAKOBE ALIWAHI KUWA MWANAMUZIKI

Mjue huyu ni safu mpya ambayo  itakuwa  inahusisha watu maarufu ambao watakuwa wakihojiwa na waandishi wetu wakielezea historia yao tangu w... thumbnail 1 summary
Mjue huyu ni safu mpya ambayo  itakuwa  inahusisha watu maarufu ambao watakuwa wakihojiwa na waandishi wetu wakielezea historia yao tangu wakiwa wadogo hadi kuwa maarufu. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: