December 14, 2016

Baraka Da Prince Atangaza Music Label Yake, Itamsimamia Pia Lord Eyez na Naj.

Kwenye muziki, mdogo wako wa leo, anaweza kuwa bosi wako wa kesho. Kuanzia sasa, rapper mkongwe wa Nako 2 Nako na aliyekuwa mmoja wa memb... thumbnail 1 summary
Kwenye muziki, mdogo wako wa leo, anaweza kuwa bosi wako wa kesho. Kuanzia sasa, rapper mkongwe wa Nako 2 Nako na aliyekuwa mmoja wa members wa kundi la Weusi, Lord Eyez atakuwa chini ya usimamizi wa label mpya mjini – BANA, inayomilikiwa na Barakah The Prince.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu Ndiye Binti Mtanzania Aliyelipwa BILIONI 1 Ufaransa Kwa Kazi ya Siku 1 Tu.

Herieth Paul ni Binti Mtanzania mwenye umri wa miaka 20 tu lakini jina lake limekua kubwa kila kukicha nchini Marekani akiwa ni Mwanami... thumbnail 1 summary

Herieth Paul ni Binti Mtanzania mwenye umri wa miaka 20 tu lakini jina lake limekua kubwa kila kukicha nchini Marekani akiwa ni Mwanamitindo mwenye umri mdogo lakini amepiga hatua kubwa kwenye kazi ya Uwanamitindo, bonyeza play kufahamu zaidi. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Waliotesa Machinga Mwanza Kukiona

STANSLAUS Mabula, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana (CCM) amesema kuwa, atawatafutia wanasheria wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) kuwashita... thumbnail 1 summary
STANSLAUS Mabula, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana (CCM) amesema kuwa, atawatafutia wanasheria wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) kuwashitaki wakuu wa Wilaya za Nyamagana na Ilemela.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kanye West aeleza kwanini alikutana na Donald Trump

Kanye West ameendelea kutengeneza vichwa vya habari. Awamu hii ni baada ya kukutana na Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump jijini New Yor... thumbnail 1 summary
Kanye West ameendelea kutengeneza vichwa vya habari. Awamu hii ni baada ya kukutana na Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump jijini New York, Marekani.

Jamii ya watu weusi imemkosoa vikali kwa kitendo chake hicho. Hata hivyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa Kuhusu Maofisa wa TRA Waliofikishwa Mahakamani Kwa Rushwa ya Sh Milioni 66

Maofisa waandamizi wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Tawi la Kariakoo, Dar es Salaam na mfanyakazi mmoja, wamepandishwa kizim... thumbnail 1 summary
Maofisa waandamizi wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Tawi la Kariakoo, Dar es Salaam na mfanyakazi mmoja, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, wakikabiliwa na makosa ya kujipatia Sh milioni 66 kwa njia ya rushwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Waziri wa Mkapa Amtaka Magufuli Aifumue CCM

Waziri wa zamani wa Serikali ya Awamu ya Tatu, William Kusila (72) amemshauri mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli kukifumua chama hicho... thumbnail 1 summary
Waziri wa zamani wa Serikali ya Awamu ya Tatu, William Kusila (72) amemshauri mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli kukifumua chama hicho ili akisuke upya kwa lengo la kukirudisha kwenye misingi yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maneno ya Juma Abdul Baada ya Twite Kuondoka

Beki nyota wa Yanga, Juma Abdul, amesema ni vigumu kusahau mchango wa kiraka Mbuyu Twite ambaye ametupiwa virago ili kumpisha Mzambia, Ju... thumbnail 1 summary
Beki nyota wa Yanga, Juma Abdul, amesema ni vigumu kusahau mchango wa kiraka Mbuyu Twite ambaye ametupiwa virago ili kumpisha Mzambia, Justine Zulu, kwani alikuwa ni zaidi ya mchezaji kikosini mwao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bwana harusi na bibi harusi wazirai kanisani muda mchache kabla ya ndoa yao

Huko Kilimanjaro wilaya Moshi kuna moja kati ya matukio ya nadra kuwahi kutokea katika familia, baba mzazi wa mmoja wa maharusi mwishoni ... thumbnail 1 summary
Huko Kilimanjaro wilaya Moshi kuna moja kati ya matukio ya nadra kuwahi kutokea katika familia, baba mzazi wa mmoja wa maharusi mwishoni mwa wiki aliibuka kanisani saa chache kabla ya muda uliopangwa kufunga harusi, na kuweka pingamizi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ndio faini waliyopigwa Chelsea na Manchester City

Vilabu vya Chelsea na Manchester City baada ya wachezaji wao kuhusika katika vurugu uwanjani wakati wa mechi ya ligi ya Premia. thumbnail 1 summary
Vilabu vya Chelsea na Manchester City baada ya wachezaji wao kuhusika katika vurugu uwanjani wakati wa mechi ya ligi ya Premia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Haya ndio majengo 10 yenye thamani zaidi duniani

Kwa mujibu wa mtandao wa Construction Global, haya ndio majengo 10 yenye thamani zaidi duniani: 1. Abraj Al Bait, Mecca, Saudi Arabia... thumbnail 1 summary
Kwa mujibu wa mtandao wa Construction Global, haya ndio majengo 10 yenye thamani zaidi duniani:

1. Abraj Al Bait, Mecca, Saudi Arabia

Thamani yake ni dola bilioni 15


Likiwa na urefu wa mita 601, Abraj Al Bait ni hoteli ndefu zaidi duniani. Ina ukubwa wa mita za mraba, 1,500,000 na yenye uwezo wa kuchukua watu 100,000. Linajulikana pia kama Makkah Royal Clock Tower. Jengo hilo pia lina saa ndefu na kubwa zaidi duniani na linaweza kuonekana kutoka umbali wa kilomita 30.

2. Marina Bay Sands, Marina Bay, Singapore

Thamani yake ni dola bilioni 5.50


Kwa gharama ya dola bilioni 5.50, Marina Bay Sans ndio resort yenye thamani kubwa zaidi kuwahi kujengwa. Inajumuisha majengo matatu yenye ghorofa 50.

3. Resorts World Sentosa, Singapore

Thamani yake ni dola bilioni 4.93


4. Emirates Palace, Abu Dhabi, UAE

Thamani yake ni dola bilioni 3.90


5.Cosmopolitan of Las Vegas, Las Vegas, Marekani

Thamani yake ni dola bilioni 3.90


6. One World Trade Centre, New York, Marekani

Thamani yake ni dola bilioni 3.80


7. Wynn Resort, Las Vegas, Marekani

Thamani yake ni dola bilioni 2.70


8. Venetian Macau, Macau, China

Thamani yake ni dola bilioni 2.40


9. City of Dreams, Macau, China,

Thamani yake ni dola bilioni 2.40


10. Princess Tower, Dubai, UAE

Thamani yake ni dola bilioni 2.17

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ujumbe wa Alikiba baada ya kukutana na Yvonne Chaka Chaka SA

Hitmaker wa wimbo wa Aje, Alikiba amepata bahati ya kukutana na nguli wa muziki nchini Afrika Kusini, Mama Yvonne Chaka Chaka wiki hii waka... thumbnail 1 summary
Hitmaker wa wimbo wa Aje, Alikiba amepata bahati ya kukutana na nguli wa muziki nchini Afrika Kusini, Mama Yvonne Chaka Chaka wiki hii wakati alipokuwa mjini Johannesburg kwa ajili ya kutumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za Mkhaya Migrants Awards.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Salome ya Diamond ilimfanya Darassa asitishe mpango wa kumshirikisha Saida Karoli kwenye wimbo ‘Muziki’

Hit maker wa wimbo Muziki, Darassa amedai hapo awali alikuwa ana mpango wa kumshirikisha Saida Karoli kwenye wimbo wake ‘Muziki’ lakini b... thumbnail 1 summary
Hit maker wa wimbo Muziki, Darassa amedai hapo awali alikuwa ana mpango wa kumshirikisha Saida Karoli kwenye wimbo wake ‘Muziki’ lakini baada kuona Diamond ametoa wimbo ‘Salome’ ambao ndani yake amemtumia Saida Karoli akaamua kuusitisha mpango huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Floyd Mayweather amrushia matusi Conor McGregor

\Kama likitokea, pambano la Floyd Mayweather dhidi ya McGregor, linaweza kuwa la thamani zaidi katika historia ya masumbwi. thumbnail 1 summary
\Kama likitokea, pambano la Floyd Mayweather dhidi ya McGregor, linaweza kuwa la thamani zaidi katika historia ya masumbwi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Utaupenda muonekano mpya wa studio ya Man Walter ‘Kombinenga Sound’

Producer Man Walter amefanya marekebisho makubwa ya studio yake Combination Sounds pamoja na kupata muonekano mpya na wakuvutia. Komb... thumbnail 1 summary
Producer Man Walter amefanya marekebisho makubwa ya studio yake Combination Sounds pamoja na kupata muonekano mpya na wakuvutia.
Kombinenga Sound

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lupe Fiasco atangaza kuachana na Hip Hop

Rapper wa Chicago, Lupe Fiasco ametangaza rasmi kuachana na muziki. Kwenye ujumbe wa Twitter alioweka Jumanne hii, Lupe anadai kuwa frees... thumbnail 1 summary
Rapper wa Chicago, Lupe Fiasco ametangaza rasmi kuachana na muziki.
Kwenye ujumbe wa Twitter alioweka Jumanne hii, Lupe anadai kuwa freestyle yake ya N.E.R.D. ambayo amerap kwenye beat ya wimbo wa J. Cole, Everybody Dies,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lupe Fiasco atangaza kuachana na Hip Hop

Rapper wa Chicago, Lupe Fiasco ametangaza rasmi kuachana na muziki. Kwenye ujumbe wa Twitter alioweka Jumanne hii, Lupe anadai kuwa frees... thumbnail 1 summary
Rapper wa Chicago, Lupe Fiasco ametangaza rasmi kuachana na muziki.
Kwenye ujumbe wa Twitter alioweka Jumanne hii, Lupe anadai kuwa freestyle yake ya N.E.R.D. ambayo amerap kwenye beat ya wimbo wa J. Cole, Everybody Dies,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lupe Fiasco atangaza kuachana na Hip Hop

Rapper wa Chicago, Lupe Fiasco ametangaza rasmi kuachana na muziki. Kwenye ujumbe wa Twitter alioweka Jumanne hii, Lupe anadai kuwa frees... thumbnail 1 summary
Rapper wa Chicago, Lupe Fiasco ametangaza rasmi kuachana na muziki.
Kwenye ujumbe wa Twitter alioweka Jumanne hii, Lupe anadai kuwa freestyle yake ya N.E.R.D. ambayo amerap kwenye beat ya wimbo wa J. Cole, Everybody Dies,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

22 wakamatwa Dar wakihusishwa na matukio ya uporaji wa silaha

Kikosi cha polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam cha kupambana na wizi wa kutumia silaha na nguvu, kimefanikiwa kukamata watuhumiwa 22 wanao... thumbnail 1 summary
Kikosi cha polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam cha kupambana na wizi wa kutumia silaha na nguvu, kimefanikiwa kukamata watuhumiwa 22 wanaohusika na matukio ya uporaji wa kutumia silaha kwenye magari na mitaani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lowassa adai T.B Joshua ameitabiria Chadema ushindi

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema ataingia Ikulu baada ya miaka minne ijayo na rafiki yake T.B Joshua amemtabiria k... thumbnail 1 summary
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema ataingia Ikulu baada ya miaka minne ijayo na rafiki yake T.B Joshua amemtabiria kuwa serikali ijayo itaongozwa na Chadema.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

15 wavuliwa madaraka kwa kuandikisha wanafunzi hewa

Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga, imewavua madaraka walimu wakuu 15 wa shule za msingi wilayani humo, kwa kosa la ... thumbnail 1 summary
Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga, imewavua madaraka walimu wakuu 15 wa shule za msingi wilayani humo, kwa kosa la kuandikisha wanafunzi hewa 883 na kuisababishia halmashauri hiyo hasara ya Sh milioni 3.4.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lewandowski ajitia pingu Bayern Munich

Mshambuliaji wa klabu ya Bayern Munich, Robert Lewandowski hatimaye amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo mpaka mwaka 20... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa klabu ya Bayern Munich, Robert Lewandowski hatimaye amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea timu hiyo mpaka mwaka 2021.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Robin Thicke afiwa na baba yake mzazi

Baba mzazi wa staa wa muziki wa Marekani na mtayarishaji wa muziki Robin Thicke, Alan Thicke, amefariki dunia Jumanne hii akiwa na umri w... thumbnail 1 summary
Baba mzazi wa staa wa muziki wa Marekani na mtayarishaji wa muziki Robin Thicke, Alan Thicke, amefariki dunia Jumanne hii akiwa na umri wa miaka 69.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kijana aliyetaka kumuua Donald Trump ahukumiwa mwaka mmoja jela

Kijana aliyetaka kumuua Rais mteule wa Marekani, Donald Trump wakati wa kampeni za uchaguzi amehukumiwa kifungo cha miezi 12 jela. thumbnail 1 summary
Kijana aliyetaka kumuua Rais mteule wa Marekani, Donald Trump wakati wa kampeni za uchaguzi amehukumiwa kifungo cha miezi 12 jela.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jaji Mkuu awataka mawakili kuzingatia maadili

JAJI mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande amewataka mawakili wapya kufanya kazi zao za Uwakili kwa kuzingatia sheria, kanuni na maadili... thumbnail 1 summary
JAJI mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande amewataka mawakili wapya kufanya kazi zao za Uwakili kwa kuzingatia sheria, kanuni na maadili ya taaluma yao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Harmonize aonesha kiwanja chake cha kwanza

“Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha #Raj_house @dalalimwanamke,” ameandika muimbaji huyo kwenye mtandao wa Instagram. thumbnail 1 summary


“Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha #Raj_house @dalalimwanamke,” ameandika muimbaji huyo kwenye mtandao wa Instagram.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Simba Sc yaongeza mshambuliaji mpya kwenye kikosi chake

Klabu ya soka ya Simba SC inaendelea na usajili wa kuboresha kikosi chao kwa ajili ya raundi ya pili ya ligi kuu msimu huu. thumbnail 1 summary
Klabu ya soka ya Simba SC inaendelea na usajili wa kuboresha kikosi chao kwa ajili ya raundi ya pili ya ligi kuu msimu huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TRA yayataka makanisa kutochanganya sadaka na mapato mengine

Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imewataka maparoko na viongozi wengine, kutochanganya sadaka na mapato mengine wakati wakiandaa mahesabu ... thumbnail 1 summary
Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imewataka maparoko na viongozi wengine, kutochanganya sadaka na mapato mengine wakati wakiandaa mahesabu yao kwani hiyo inaweza kusababisha watozwe kodi kubwa ya mapato isiyostahili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lionel Richie na Mariah Carey waungana kufanya ziara ya pamoja

Lionel Richie na Mariah Carey waungana kufanya ziara yao ya pamoja kwenye miji mbalimbali ya Marekani. thumbnail 1 summary
Lionel Richie na Mariah Carey waungana kufanya ziara yao ya pamoja kwenye miji mbalimbali ya Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TCRA wafanya ukaguzi wa mwisho na kuiruhusu Radio5 kurudi hewani Disemba 16

Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania TCRA, leo December 14 imefanya ukaguzi wa mwisho, kujiridhisha na kuruhusu kituo cha utangazaji cha ... thumbnail 1 summary
Mamlaka ya Mawasiliano nchini Tanzania TCRA, leo December 14 imefanya ukaguzi wa mwisho, kujiridhisha na kuruhusu kituo cha utangazaji cha Radio5 Arusha kurudisha matangazo yake hewani ifikapo Disemba 16 mwaka huu 2016.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Siwezi kuachia wimbo mpya wakati ‘Aje’ bado inafanya vizuri, nitapata hasara – Alikiba

Mshindi wa tuzo tatu za EATV, Alikiba amedai hawezi kuachia nyimbo mfululizo wakati bado kuna nyimbo zake ambazo bado zinafanya vizuri. thumbnail 1 summary
Mshindi wa tuzo tatu za EATV, Alikiba amedai hawezi kuachia nyimbo mfululizo wakati bado kuna nyimbo zake ambazo bado zinafanya vizuri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Mke wa Nuh Mziwanda, Nawal ni mjamzito!

Ikiwa ni mwezi mmoja toka msanii wa muziki, Nuh Mziwanda afunge ndoa na binti Nawal, wiki hii wameonyesha picha zinazomuonyesha mke wake h... thumbnail 1 summary


Ikiwa ni mwezi mmoja toka msanii wa muziki, Nuh Mziwanda afunge ndoa na binti Nawal, wiki hii wameonyesha picha zinazomuonyesha mke wake huyo akiwa ni mjamzito.
Hii ni habari njema kwa mashabiki wa muimbaji huyo wa wimbo Jike Shupa ambaye kabla ya kuingia kwenye mahusiano na mke wake huyo alikuwa kwenye mahusiano na msanii mwenzie, Shilole.
Kati yao hakuna aliyeweka wazi kuhusu ujauzito huo, lakini waliamua kutoa taarifa hizo kupitia picha mbalimbali kupitia mitandao yao ya kijamii. Angalia picha zaidi.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

onta: Barakah The Prince kumsaini Lord Eyez ni aibu kubwa kwenye hip hop

Rapper Bonta amedai kuwa kusainishwa kwa Lord Eyez kwa ile iliyodaiwa kuwa ni label mpya ya Barakah The Prince, ni aibu kubwa kw... thumbnail 1 summary





Rapper Bonta amedai kuwa kusainishwa kwa Lord Eyez kwa ile iliyodaiwa kuwa ni label mpya ya Barakah The Prince, ni aibu kubwa kwenye jamii ya hip hop.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Professor Jay amuandikia barua yenye ujumbe mzito Darassa

Ni ukweli kuwa kwa sasa Darassa ameyasogelea mafanikio aliyokuwa akiyatamani kwa muda mrefu. Rapper mkongwe wa muziki wa Hip Hop ... thumbnail 1 summary




Ni ukweli kuwa kwa sasa Darassa ameyasogelea mafanikio aliyokuwa akiyatamani kwa muda mrefu. Rapper mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Professor Jay amemuandikia ujumbe hitmaker huyo wa Muziki wa kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya na kumtaka kuendelea kukaza buti.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAJALA SIO WA SPOT SPOT, AWATOLEA POVU WANAOCHONGA JUU YAKE

Staa wa Bongo Movie Kajala Masanja amewatolea mapovu watu fulani ambao wanamsakama na kumuhushisha katika mahusiano ya kimapenzi na X WAKE ... thumbnail 1 summary
Staa wa Bongo Movie Kajala Masanja amewatolea mapovu watu fulani ambao wanamsakama na kumuhushisha katika mahusiano ya kimapenzi na X WAKE - Petitman Wakuache.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BIRTHDAY PARTY YA KIMYA KIMYA YA SHILOLE NA MPENZI WAKE YAFICHUA SIRI HII NZITO

Shilawadu wamezinyaka taarifa kuihusu couple mpya na yenye nguvu kwa sasa hapa town ya mwanadada anayefanya Bongo Fleva Shilole na mpenzi w... thumbnail 1 summary
Shilawadu wamezinyaka taarifa kuihusu couple mpya na yenye nguvu kwa sasa hapa town ya mwanadada anayefanya Bongo Fleva Shilole na mpenzi wake mpya afahamikae kwa jina la Boy Caro.
Inasemekana wawili hao walifanya bitrhday party ya kimya kimya siku chache

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari Awashangaza Wengi Baada ya Tumbo lake la Uzazi Kupungua Ndani ya Wiki Moja Tu.

Ikiwa ni wiki moja tu imepita tangu Zari kujifungua ameonekana akiwa na mwili wake wa kawaida. Huu ni ushauri wake kwa wanawake from #za... thumbnail 1 summary
Ikiwa ni wiki moja tu imepita tangu Zari kujifungua ameonekana akiwa na mwili wake wa kawaida. Huu ni ushauri wake kwa wanawake from #zarithebosslady - Good morning.... ladies no need to worry coz our bodies are different. But I did exercise during pregnancy which has

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA 9: Makaburi ya kifahari ambayo kama yangegeuzwa nyumba matajiri wengi wangejivunia

Nchini Mexico ambapo ulanguzi wa mihadarati umekithiri, wakuu wa magenge ya ulanguzi wa dawa za kulevya huishi maisha ya kifahari na ... thumbnail 1 summary


Nchini Mexico ambapo ulanguzi wa mihadarati umekithiri, wakuu wa magenge ya ulanguzi wa dawa za kulevya huishi maisha ya kifahari na hutamani kuendelea hivyo hata wanapokuwa wamekufa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maneno 104 ya Profesa Jay aliyomwandikia rapa Darassa.

Kitu pekee ambacho kilibakia kukipata kwenye muziki wake ni kukubalika na kuheshimika, Rapa Darassa mkali wa hit single za Too Much n... thumbnail 1 summary


Kitu pekee ambacho kilibakia kukipata kwenye muziki wake ni kukubalika na kuheshimika, Rapa Darassa mkali wa hit single za Too Much na Muziki bila shaka sasa anakipata kitu hicho kutoka kwa mashabiki wake na mastaa wakongwe kwenye game ya BongoFlavana Hip Hop Tanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: