December 14, 2016

BIRTHDAY PARTY YA KIMYA KIMYA YA SHILOLE NA MPENZI WAKE YAFICHUA SIRI HII NZITO

Shilawadu wamezinyaka taarifa kuihusu couple mpya na yenye nguvu kwa sasa hapa town ya mwanadada anayefanya Bongo Fleva Shilole na mpenzi w... thumbnail 1 summary
Shilawadu wamezinyaka taarifa kuihusu couple mpya na yenye nguvu kwa sasa hapa town ya mwanadada anayefanya Bongo Fleva Shilole na mpenzi wake mpya afahamikae kwa jina la Boy Caro.
Inasemekana wawili hao walifanya bitrhday party ya kimya kimya siku chache zilizopita katika hoteli fulani pande za Mwananyamala jijini Dar es Salaam na kulishana ma-cake na vitu kama hivyo.

Soudy Brown kama kawaida yake alifanikiwa kufika eneo la tukio na kuzinyaka mbili-tatu za kimbea kama ilivyo kawaida kwake.

Nimeivuta exclusive interview ya Soudy Brown ambayo alifanya na Shilole kwenye birthday party hiyo huku akimuuliza maswali ya kizushi kuhusu ma x-boyfriendswake kama Nuh Mziwanda na wengineo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments