“Hata Mbuyu ulianza kama Mchicha #Raj_house @dalalimwanamke,” ameandika muimbaji huyo kwenye mtandao wa Instagram.
Japo hajaweka wazi kiwanja hicho kipo maeneo gani lakini dalali maarufu kwa jina la Dalali mwanamke ndiye aliyetafuta kiwanja hicho.
No comments
Post a Comment