May 16, 2014

MWANAMKE ALIEHUKUMIWA KIFO KWA KUBADILI DINI NA KUOLEWA NA MUME MKRISTO

Mahakama nchini Sudan imemuhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanaume mkristo. thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-05-16 at 12.52.30 PMMahakama nchini Sudan imemuhukumu kifo mwanamke mmoja anayedaiwa kubadili dini yake na kuolewa na mwanaume mkristo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJALI ALIYOPATA WALTER CHILAMBO WA BSS JANA SAA TANO USIKU

  Ajali imetokea saa sita kasoro usiku May 15 2014 Kimara Dar es salaam ambapo mwimbaji Walter ambae ni mshindi wa BSS 2013 akiwa bara... thumbnail 1 summary

 w4
Ajali imetokea saa sita kasoro usiku May 15 2014 Kimara Dar es salaam ambapo mwimbaji Walter ambae ni mshindi wa BSS 2013 akiwa barabarani anaendesha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKITAKA KUAMINI "LADY GAGA" SIO MZIMA TAZAMA ALIVYOINGIA JUKWAANI BILA NGUO MUHIMU NA KUWAACHA MASHABIKI MACHO YAMEWATOKA!!

Hii ni kati ya Show zake alizowahi kupiga huko nchini marekani katika tuzo za mtv. katika hali isiyo ya kawaida Gaga aliingia Kwa s... thumbnail 1 summary



Hii ni kati ya Show zake alizowahi kupiga huko nchini marekani katika tuzo za mtv. katika hali isiyo ya kawaida Gaga aliingia Kwa stage na madance wake akiwa kama unavyomuona

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali ya Tanzania imethibitisha mradi wa Treni za juu kama hizi kujengwa Dar hivi karibuni.

Waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe ameongea na TBC1 na namnukuu akisema ‘mradi unaanza wakati wowote mapema iwezekanavyo manake we... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-05-15 at 4.53.09 PM
Waziri wa uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe ameongea na TBC1 na namnukuu akisema ‘mradi unaanza wakati wowote mapema iwezekanavyo manake wenzetu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TID NA RECHO WA THT WAONGELEA KUHUSU TETESI KUWA NI WAPENZI

Maneno ya Recho baada ya kuulizwa kuhusu uhusiano wake na Tid >>’Tunaishi wapi na tid,mimi sikai Kinondoni mimi nina mtu wangu na ... thumbnail 1 summary
Maneno ya Recho baada ya kuulizwa kuhusu uhusiano wake na Tid >>’Tunaishi wapi na tid,mimi sikai Kinondoni mimi nina mtu wangu na sio huyo Tid naomba msije kunivurugia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIVA WA CLOUDS FM AWAFUNGUKIA WANAOSEMA ANAJIPENDEKEZA KWA SEPETU

Diva ameandika katika page yake instagram kama ifuatavyo: Kuna Mtu Amenitusi na team zao sijui nini na nini... So umeniita Kibaraka ... thumbnail 1 summary

Diva ameandika katika page yake instagram kama ifuatavyo:
Kuna Mtu Amenitusi na team zao sijui nini na nini... So umeniita Kibaraka wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MPOKI ZERO BRAIN:KIBARUA CHAKE KUOTA NYASI

IMETHIBITIKA bila shaka yoyote kuwa msanii aliyebahatika kuwa maarufu wa vichekesho Bongo, Silvery Mjuni ‘Mpoki’ au Bepari la Kihaya n... thumbnail 1 summary

IMETHIBITIKA bila shaka yoyote kuwa msanii aliyebahatika kuwa maarufu wa vichekesho Bongo, Silvery Mjuni ‘Mpoki’ au Bepari la Kihaya ni mjinga yaani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MH!HARUSI YA VICKY KAMATA MIL. 96

HAYAWI…hayawi sasa yamekuwa! Habari ya mjini ni maandalizi kabambe ya harusi ya staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) ana... thumbnail 1 summary

HAYAWI…hayawi sasa yamekuwa! Habari ya mjini ni maandalizi kabambe ya harusi ya staa wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Angalia Video: Siku 29 kabla ya kombe la dunia, angalia hali ya usalama ilivyo nchini Brazil

Zikiwa zimebaki siku 29 kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia mwaka 2014 kuanza, usalama bado umeonekana kuwa tatizo nchini hum... thumbnail 1 summary
Screen-Shot-2014-05-14-at-3.50.08-PM
Zikiwa zimebaki siku 29 kabla ya kuanza kwa michuano ya kombe la dunia mwaka 2014 kuanza, usalama bado umeonekana kuwa tatizo nchini humo.Mapema wiki hii kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ndio Faini aliyotozwa yule mmiliki wa lile gari lililohusika na mlipuko wa Al shabaab Kenya.

Mmiliki wa gari lililolipuliwa na watuhumiwa wa kundi la Al Shabaab ameachiwa huru baada ya kutozwa faini ya shilingi milioni zaidi ya ... thumbnail 1 summary

Mmiliki wa gari lililolipuliwa na watuhumiwa wa kundi la Al Shabaab ameachiwa huru baada ya kutozwa faini ya shilingi milioni zaidi ya 18 za Kitanzania. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SERIOUSLY, JISHINDIE VOCHA YA ELFU ISHIRINI (MTANDAO WOWOTE TZ)... BOFYA HAPA USHIRIKI SHINDANO

Nirahisi BUT uwe smart, kwakuwa wa kwanza kutaja jina kamili la huyu socialite (pichani) wa hapa afrika mashariki kwa kucomment hapa (... thumbnail 1 summary

Nirahisi BUT uwe smart, kwakuwa wa kwanza kutaja jina kamili la huyu socialite (pichani) wa hapa afrika mashariki kwa kucomment hapa (Kwenye Blog) au ku-like page

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWANINI WEMA SEPETU HATUMII UMAARUFU WA DIAMOND KUTAFUTAFURSA YA KUFANYA FILAMU ZAKIMATAIFA?

Siku Diamond Platnumz anafagia tuzo saba za  Kilimanjaro, ubavu wake kushoto Wema Sepetu  alikuwa naye bega kwa bega. Na katika wakat... thumbnail 1 summary



Siku Diamond Platnumz anafagia tuzo saba za  Kilimanjaro, ubavu wake kushoto Wema Sepetu  alikuwa naye bega kwa bega. Na katika wakati mmoja alipanda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPICHA:HASHEEM THABEET NA MCHUMBA WAKE BEE ANDERSON WAPATA MTOTO WA KIUME

Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘ Thunder aka OKC’ katika jijini la Oklahoma , Marekani Hasheem Thab... thumbnail 1 summary



Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘ Thunder aka OKC’ katika jijini la Oklahoma , Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The Dream

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

‘UCHAWI’ WATAJWA PENZI LA RAY, CHUCHU

‘UCHAWI’ umetajwa kwenye mapenzi ya staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na ubavu wake wa sasa, Chuchu Hans.  thumbnail 1 summary

‘UCHAWI’ umetajwa kwenye mapenzi ya staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ na ubavu wake wa sasa, Chuchu Hans. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: