June 28, 2014

RATIBA YA RAUNDI YA PILI KOMBE LA DUNIA NI HII

28 Juni 2014 Brazil  16:00 Chile 28 Juni 2014 Colombia  20:00  Uruguay thumbnail 1 summary

28 Juni 2014

Brazil 16:00 Chile


28 Juni 2014

Colombia 20:00 Uruguay

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE UGOMVI ULIANZA HIVI: BARUA KUTOKA KWA MUME WA FLORA MBASHA KWENDA KWA MCHUNGAJI GWAJIMA

"MCHUNGAJI ...YAPATA KAMA WIKI MBILI ZILIZOPITA NILIHOJI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI JUU YA ‘UTAJIRI' WA GHAFLA WA MKEWANGU MA... thumbnail 1 summary

"MCHUNGAJI ...YAPATA KAMA WIKI MBILI ZILIZOPITA NILIHOJI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI JUU YA ‘UTAJIRI' WA GHAFLA WA MKEWANGU MARA BAADA YA MGOGORO KUTOKEA KATI YANGU NA YEYE, BILA KUPOTEZA MUDA MKEWANGU AKANIJIBU KUPITIA GAZETI MOJA LA UDAKU KUWA AMECHANGIWA FEDHA KIASI CHA MILIONI 9 NA WAUMINI KANISANI KWAKO.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU: SINA MPANGO WA KUMBEMBELEZA MWANAUME COZ WANANITONGOZA KWA SIKU WENGI SANA HATA KUWAHESABU NASHINDWA

Wakati wanawake wengine wakionekana kubembeleza penzi na kujinyenyekeza kwa wapenzi wao ili wasiachike, Lulu Michael anasema hana mud... thumbnail 1 summary


Wakati wanawake wengine wakionekana kubembeleza penzi na kujinyenyekeza kwa wapenzi wao ili wasiachike, Lulu Michael anasema hana muda huo kwani uzuri wake unatosha kuwavuta wanaume wa kila aina kutoka katika kila kona ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UTAKE USITAKE UTAMPENDA TU RIHANNA KWA HAYA MAVAZI YA KIARABU KWENYE HILI JARIDA

Ukimuangalia Rihanna utaamini kabisa kuwa mwanamke kuonesha uzuri wake sio lazima avae nusu mtupu. thumbnail 1 summary

Rihanna nne

Ukimuangalia Rihanna utaamini kabisa kuwa mwanamke kuonesha uzuri wake sio lazima avae nusu mtupu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHENGE AIRARUA SERIKALI

 Andrew Chenge HATIMAYE Kamati ya Bajeti inayoongozwa na Andrew Chenge, imeutosa kwa muda muswada wa kufuta baadhi ya misamaha ya kod... thumbnail 1 summary

Andrew Chenge apasua serikali
 Andrew Chenge
HATIMAYE Kamati ya Bajeti inayoongozwa na Andrew Chenge, imeutosa kwa muda muswada wa kufuta baadhi ya misamaha ya kodi na ule wa kodi kwa madai haijapata muda wa kuipitia kwa undani zaidi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASHAALLAH, MTOTO MZURI UWOYA AMWAGIWA SIFA KIBAO KWA KUWA MFANO, TUKIWA TUNAELEKEA MWEZI MTUKUFU

  huu ni mfano mzurisana alioonyesha msanii huyu wa bongo movie, nadhani ni kipindi ambacho kila muislam anatakiwakumrudia muumba na kuis... thumbnail 1 summary


 huu ni mfano mzurisana alioonyesha msanii huyu wa bongo movie, nadhani ni kipindi ambacho kila muislam anatakiwakumrudia muumba na kuishi katika maadili yanayompendeza yeye bila

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU, MILLARD AYO, KING MAJUTO, DIAMOND PLATINUMZ WATISHA TUZO ZA WATU...! JIONEE MWENYEWE HAPA....

Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited, Evance Stephen (Kushoto)  akiwa na Msanii Bora wa Kike katika Tuzo za Watu Elizabe... thumbnail 1 summary
Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited, Evance Stephen (Kushoto) akiwa na Msanii Bora wa Kike katika Tuzo za Watu Elizabeth Michael maarufu kama Lulu mara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAGONJWA WA EBOLA WATOROKA HOSPITALINI

Watu zaidi ya miatano tayari wamefariki kutokana na ugonjwa huo katika kanda ya Afrika Magharibi Serikali ya Sierra Leone im... thumbnail 1 summary

Watu zaidi ya miatano tayari wamefariki kutokana na ugonjwa huo katika kanda ya Afrika Magharibi

Serikali ya Sierra Leone imeonya kuwa ni hatia kumpa hifadhi mtu yeyote aliyeambukizwa virusi vya Ebola. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIJANA AUAWA NA WANANCHI KWA TUHUMA ZA WIZI WA TV NA SOLAR WILAYANI KAHAMA, SAMAHANI KWA PICHA

Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28-30 ambaye hajafahamika jina lake wala  makazi ameuawa na wananchi wanaodaiwa kuwa n... thumbnail 1 summary


Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28-30 ambaye hajafahamika jina lake wala makazi ameuawa na wananchi wanaodaiwa kuwa na hasira kwa tuhuma za wizi katika mtaa wa Muhongolo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ONA HII, MASANJA MKANDAMIZAJI AKIMUOMBEA ADAMU MCHOVU NJE YA OFISI ZA CLOUDS..

Inaweza kuwa ni ajabu sana kwako kuona mchekeshaji huyu mwenye bwembwe na vituko vingi kumuwekea mikono Adam mchovu na kumuombea serio... thumbnail 1 summary


Inaweza kuwa ni ajabu sana kwako kuona mchekeshaji huyu mwenye bwembwe na vituko vingi kumuwekea mikono Adam mchovu na kumuombea serious, wakati mwingine mpaka leo watu hawaamini kwamba masanja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamke Huyu Arejesha SHANGA Za MAJINI Kanisani...JIONEE HAYA MAAJABU!!

Stori:MWANDISHI WETU, Arusha Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Asnath Terevaeli hivi karibuni aliamua k... thumbnail 1 summary
Stori:MWANDISHI WETU, Arusha Katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Asnath Terevaeli hivi karibuni aliamua kukabidhi kanisani shanga za majini kwa kile alichodai kuwa, zimekuwa zikimtesa na kumfanya akose amani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPICHA: MPAKA NOMA..DINA MARIOS WA CLOUDS FM KUMBE ALIKUA HIVI BEFORE HAJAWA STAR..!

  A Clouds media presenter Dinah Marious shares this throwback Photo of herself on her Instagram page. thumbnail 1 summary
 
A Clouds media presenter Dinah Marious shares this throwback Photo of herself on her Instagram page.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUKO LOS ANGELS DIAMOND PLATNUMZ AZIDI KUWA SUKARI YAO,WAANDISHI NAO FUL USUMBUFU,SASA HILI POZ LA KUSHIKANA VIUNO NA TIWA SAVAGE NDO GMZO, JIONEE PICHA HAPA

diamondplatnumz AKATIA CAPTION HII  Few minutes ago.... At de BET Welcome Party... #BET_Weekend  DUUH thumbnail 1 summary

http://photos-c.ak.instagram.com/hphotos-ak-xap1/10488624_547454382027098_607569127_n.jpg
diamondplatnumz AKATIA CAPTION HII 
Few minutes ago.... At de BET Welcome Party... #BET_Weekend 
DUUH

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SASA MAISHA MAZURI FLORA NA MBASHA WAPATANA NA KUTATUA UGOMVI WAO .... KILICHOPANGWA NA MUNGU? ....!!!

HAKUNA  neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mb... thumbnail 1 summary

HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi Jumamosi linakuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

XCLUSIVE: SHETTA FT DIAMOND PLATNUMZ - KEREWA (OFFICIAL VIDEO)


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ESHA AJITETEA NA TUHUMA ZA KUBEBWA KWENYE TUJO ZA MUIGIZAJI BORA

BAADA  ya mwanadafada Esha Buheti kutoka Bongo Movies kunyakua tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Zanzibar Film Festival ‘Ziff’,... thumbnail 1 summary
BAADA ya mwanadafada Esha Buheti kutoka Bongo Movies kunyakua tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Zanzibar Film Festival ‘Ziff’, iliibuka minong’ono kuwa hakustahili lakini mwenyewe ameibuka na kukanusha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YULE MSUDANI ALIYEOLEWA NA MKRISTO AENDELEA KUPATA MATESO MAKALI SOMA HAPA

Dunia haina huruma! Meriam Ibrahim, raia wa Sudan aliyetakiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo kufuatia kuolewa na mwanaume Mkristo, Daniel Wani, ... thumbnail 1 summary
Dunia haina huruma! Meriam Ibrahim, raia wa Sudan aliyetakiwa kuhukumiwa adhabu ya kifo kufuatia kuolewa na mwanaume Mkristo, Daniel Wani, raia wa  Marekani, amezidi kuteseka baada ya kuachiwa huru kisha kudaiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTITU ALMANUSURA BOTI IMTOE ROHO, NI WAKATI AKITOKA ZANZIBAR KUJA DAR

BIG Boss  wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amesema amekoma kutumia usafiri wa boti kwani ulimfanya akose amani juzikati walipok... thumbnail 1 summary



BIG Boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amesema amekoma kutumia usafiri wa boti kwani ulimfanya akose amani juzikati walipokwenda Zanzibar katika Tamasha la Ziff.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CATHY BONGO MOVIE AELEZA KWA NINI AMEOLEWA NA KIBABU KINACHOMZIDASANA UMRI

TUNAMALIZIA makala haya ya Sabrina Rupia ‘Cathy’ tuliyoyaanza wiki tatu zilizopita, mwigizaji huyu alifunguka mambo mengi kuhusiana na m... thumbnail 1 summary


TUNAMALIZIA makala haya ya Sabrina Rupia ‘Cathy’ tuliyoyaanza wiki tatu zilizopita, mwigizaji huyu alifunguka mambo mengi kuhusiana na maisha yake, bila shaka kupitia mfululizo wa makala haya, msomaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USIDHARAU SOMA KISA HIKI KISHA SHARE KWA MARAFIKI: HUJAFA HUJAUMBIKA

“Eeh Mungu sikia kilio changu unisaidie!” Ndivyo alivyoanza kusimulia mtoto Salum Kassim (16), mkazi wa Kilimahewa-Tandika, Dar, ambaye... thumbnail 1 summary

“Eeh Mungu sikia kilio changu unisaidie!” Ndivyo alivyoanza kusimulia mtoto Salum Kassim (16), mkazi wa Kilimahewa-Tandika, Dar, ambaye ameteseka kwa muda wa miaka minne (siku 1440) akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO YA DIAMOND YAONGEZA SWAGGA NA FARASI NA WATOTO WA KIZUNGU!!

Kila jua linapochomoza, hitmaker wa ‘My Number One’ huwa na jambo la kuwafanya  mashabiki wamzungumzie na ndio maana kila siku Diamond thumbnail 1 summary
10513769_1502779259957797_1663715630_n
Kila jua linapochomoza, hitmaker wa ‘My Number One’ huwa na jambo la kuwafanya mashabiki wamzungumzie na ndio maana kila siku Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MISS DODOMA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YA DHAHABU NA MH ANTONY MAVUNDE:AMBAYE NI MWAKA WA KWANZA UDOM INFORMATICS

Afisa mtendaji Mkuu wa shirikisho la Vyama Vya wachimbaji Madini Tanzania(FEMATA) Ndugu Mh; Antony Peter Mavunde (wa pili kushoto); akiwa... thumbnail 1 summary

Afisa mtendaji Mkuu wa shirikisho la Vyama Vya wachimbaji Madini Tanzania(FEMATA) Ndugu Mh; Antony Peter Mavunde (wa pili kushoto); akiwa namwandaaji ya Tamasha Miss Dodoma Mama Kiwaya (wa kwanza kulia) pamoja na dada Dora (kushoto) akimkabidhi zawadi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BARNABA KWA HILI :BARNABA ATANGAZA KUMUWEKA MAMA WATOTO WAKE A.K.A WIFE KWENYE VIDEO YAKE MPYA

Barnaba anajitayarisha kufanya video ya wimbo wake mpya “Wahaladee” na tayari ametangaza kuwa video Queen wa kazi hiyo mpya atakuwa Mama St... thumbnail 1 summary

bb 4Barnaba anajitayarisha kufanya video ya wimbo wake mpya “Wahaladee” na tayari ametangaza kuwa video Queen wa kazi hiyo mpya atakuwa Mama Steven ambaye ni mpenzi na mama mtoto wa wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA MWENYE MIMBA YA MIEZI NANE AKIMBIA RIADHA MITA 800 KATIKA MASHINDANO MAREKANI

MJAMZITO Alysia Montano amekimbia mbio za mita 800 za US Track na Field Championships jana, ingawa mamba yake imetimiza wiki 34. Bin... thumbnail 1 summary


MJAMZITO Alysia Montano amekimbia mbio za mita 800 za US Track na Field Championships jana, ingawa mamba yake imetimiza wiki 34.
Bingwa huyo mara tano wa taifa alitumia muda wa dakika mbili na sekunde,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUDADADEKI, HII TABIA YA KUBAMBIANA MADEMADEM INABOA SANA, MASELA WALALAMA

unajua hamna kitu inaboa kama upo club then unamwona binti mkali a hile unamsogelea kujaribu kumapproach , anakukata jicho then kiuno ana... thumbnail 1 summary
unajua hamna kitu inaboa kama upo club then unamwona binti mkali a hile unamsogelea kujaribu kumapproach , anakukata jicho then kiuno anamsusia demuwenzie, dah hii inaboa sana ukizingatia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE DIAMOND AWEKA WAZI MALENGO YAKE NJUU WA WEMA SEPETU

Kama ulikuwa unadhani kuwa Diamond alikuwa amemsahau baby wake katika suala zima la kutoka ki-international zaidi, subiri sana. Diamond ... thumbnail 1 summary

4X7A9552

Kama ulikuwa unadhani kuwa Diamond alikuwa amemsahau baby wake katika suala zima la kutoka ki-international zaidi, subiri sana. Diamond ameweka wazi nia yake ya kumtoa ki-movie Wema sepetu na teyari ameshaweka mambo sawa kwa wadau

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA DIAMOND SASA SHETA NAE ATOA BONGE LAVIDEO, PICHA ZAKE ZIKO HAPA TAZAMA MWENYEWE

Unambiwa ukipata nafasi moja tu itumie vizuri, hivi ndivyo Shetta anavyokuja kwenye kioo chako, ni Kerewa in the making, hii ndio baadhi... thumbnail 1 summary

10431801_785164331518152_940917358_n

Unambiwa ukipata nafasi moja tu itumie vizuri, hivi ndivyo Shetta anavyokuja kwenye kioo chako, ni Kerewa in the making, hii ndio baadhi ya picha tu za video mpya ya kerewa itakavyokuwa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAIJAWAHI KUTOKEA, TAZAMA PICHA ZA LULU KWENYE RED CAPET YA TUZO ZA WATU USIKU HUU!

Bila kutarajia Lulu ameingia ndani ya Red cappet ya tuzo za watu akiwa ametokelezea mbaya, akiwaacha midomo wazi makamera man waliokuwa a... thumbnail 1 summary

Bila kutarajia Lulu ameingia ndani ya Red cappet ya tuzo za watu akiwa ametokelezea mbaya, akiwaacha midomo wazi makamera man waliokuwa akifyatua picha hapo. yaani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: