April 29, 2016

KIM KARDASHIAN AMUUNGA MKONO ROB KARDASHIAN KUMUOA BLAC CHYNA.

Mke wa msanii wa hip hop, Kanye West, Kim Kardashian, ameitaka familia yake kuungana na kaka yao, Rob Kardashian ambaye ametangaza kufung... thumbnail 1 summary
Mke wa msanii wa hip hop, Kanye West, Kim Kardashian, ameitaka familia yake kuungana na kaka yao, Rob Kardashian ambaye ametangaza kufunga ndoa mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAY PARLOUR AMPENDEKEZA DIEGO SIMEONE

Aliyekua kiungo wa klabu ya Arsenal, Ray Parlour anaamini mbadala wa meneja wa sasa wa klabu hiyo Arsene Wenger, anapaswa kuwa na mtazamo... thumbnail 1 summary
Aliyekua kiungo wa klabu ya Arsenal, Ray Parlour anaamini mbadala wa meneja wa sasa wa klabu hiyo Arsene Wenger, anapaswa kuwa na mtazamo tofauti ili kuweza kufikia lengo la kurejesha taji la ligi ya nchini England klabuni hapo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nimechoka Kudanganya Kila Siku - Mo Music Afunguka Ukweli....

Msanii Mo Music ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa 'Skendo' amefunguka na kusema kuwa kwa sasa amechoka kusema uongo na kuwa... thumbnail 1 summary
Msanii Mo Music ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa 'Skendo' amefunguka na kusema kuwa kwa sasa amechoka kusema uongo na kuwadanganya mashabiki zake juu ya kazi zake na ukimya wake kwenye muziki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamke Akikujibu SMS Yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Naye

Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsa... thumbnail 1 summary
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: