June 27, 2014

Serikali yapiga Marufuku tabia ya Trafiki kuvizia magari barabarani kwa kujificha Vichakani

Serikali imepiga marufuku tabia ya askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, kuvizia magari katika barabara kuu wakiwana kifaa cha... thumbnail 1 summary

Serikali imepiga marufuku tabia ya askari Polisi wa Kikosi cha Usalama
Barabarani, kuvizia magari katika barabara kuu wakiwana kifaa cha
kupima mwendo kasi wa magari.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Peraira Silima, alisema tabia hiyo ya trafiki ni kinyume cha sheria na
zinaweza kusababisha ajali.Hata hivyo, Silima aliwataka madereva kutii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kuhusu Mwanamke aliyefariki baada ya kutumia simu ikiwa inacharge.

Mamlaka nchini Australia imetoa tahadhari dhidi ya matumizi ya charger aina ya USB feki au zilizo chini ya viwango huku zikiwa zimechom... thumbnail 1 summary
ChargingCables22
Mamlaka nchini Australia imetoa tahadhari dhidi ya matumizi ya charger aina ya USB feki au zilizo chini ya viwango huku zikiwa zimechomekwa kwenye umeme baada ya mwanamke mmoja kufariki dunia wakati akitumia charger ya aina hiyo kucharge simu yake iliyokuwa imechomekwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE UNATAMANI KUPATA MTOTO WA KIKE? NJIA ZA KUFANYA ILI UPATE MTOTO WA KIKE

So, nimekuwa nikiulizwa swali hili kwa mda sasa. Jinsi ya kupata mtoto wa kike? Well, sadly sikuzaliwa na kipaji cha kutabiri kwamaana ... thumbnail 1 summary


So, nimekuwa nikiulizwa swali hili kwa mda sasa. Jinsi ya kupata mtoto wa kike? Well, sadly sikuzaliwa na kipaji cha kutabiri kwamaana this would have been my first utabiri na ningekuwa milionea by now.
Anyways, siku imefika ya kulijibu hili swali. Na kwa wanawake wengi ambao wamekuwa wakijaribu soo many times kupata

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA HIVI, HUU NDIO UGONJWA UNAOWASUMBUA MASTAA

Unaweza kuamini ukiambiwa kuwa, umaarufu hapa Bongo unakuja na rangi yake ya kipekee, hata kwa watu wanaochipukia na kutamani kuwa m... thumbnail 1 summary


Unaweza kuamini ukiambiwa kuwa, umaarufu hapa Bongo unakuja na rangi yake ya kipekee, hata kwa watu wanaochipukia na kutamani kuwa maarufu siku moja, wanaamini kuwa, ili kufanikiwa ni lazima kwanza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAKIKA LINAH:MTOTO AMEUMBIKA CHEKI PICHA HAPA KIJUNGU KIMECHANUA BALAA

Lawama hizi mtoto wa kikinga wewe, Dar es salaam wanakomaje... thumbnail 1 summary

Lawama hizi mtoto wa kikinga wewe, Dar es salaam wanakomaje...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHEKI HII PICHA YA PROFESSOR JAY AKIWA ENZI ZAKE ZA ZAMANI

Hii  ni  Picha  ya Professor Jay ambayo  kaishare ikimuonyesha yupo na mdogo wake enzi zao za zamani. thumbnail 1 summary


Hii  ni  Picha  ya Professor Jay ambayo  kaishare ikimuonyesha yupo na mdogo wake enzi zao za zamani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND kumrusha WEMA kimataifa

Wema Sepetu anatarajia kufanya filamu mpya na wasanii kutoka Ghana ili kutanua wigo wake filamu pamoja na kwenda kimataifa zaidi. ... thumbnail 1 summary

wemadiamond

Wema Sepetu anatarajia kufanya filamu mpya na wasanii kutoka Ghana ili kutanua wigo wake filamu pamoja na kwenda kimataifa zaidi.

Akizungumza na 225 ya XXL ndani Clouds FM, mpenzi wake na Wema,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAHABUSU WA RUMANDE GEITA LEO WALIPOVUA NGUO KUGOMEA HALI MBAYA YA RUMANDE

MAHABUSU MKOANI GEITA LEO WAMEAMUA KUVUA NGUO,WAKIDAI HAKI ZAO,UAMUZI HUO ULIIBUA TAFRANI MPAKA JESHI LA POLISI KUINGILIA KATI. thumbnail 1 summary

MAHABUSU MKOANI GEITA LEO WAMEAMUA KUVUA NGUO,WAKIDAI HAKI ZAO,UAMUZI HUO ULIIBUA TAFRANI MPAKA JESHI LA POLISI KUINGILIA KATI.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA PICHA MBINU MPYA YA USAFIRISHAJI WA MADAWA YA KULEVYA YABAINIKA MKOANI KILIMANJARO

 Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwan... thumbnail 1 summary
 Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP,Robert Boaz akitoa dawa za kulevya katika mikoba ya kike ambayo imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro KIA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UJUMBE MZITO KWA FLORA MBASHA: KUMBUKA MAANDIKO

MIMI  ni mkristo wa dhehebu la Roma. Mafundisho mengi tunayopewa kuanzia Ubatizo, Komunyo ya Kwanza na Kipaimara, tunafundishwa kuhusu kute... thumbnail 1 summary
MIMI ni mkristo wa dhehebu la Roma. Mafundisho mengi tunayopewa kuanzia Ubatizo, Komunyo ya Kwanza na Kipaimara, tunafundishwa kuhusu kutenda mema, kupendana wenyewe kwa wenyewe na hata kuwapenda maadui zetu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PENNY NA WEMA JICHO KWA JICHO STUDIO KILICHOTOKEA USIULIZE SOMA HAPA

Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel... thumbnail 1 summary
Katika hali isiyotarajiwa, mchumba wa Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Wema Sepetu na aliyewahi kuwa mchumba wa msanii huyo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ walikutana studio na kila mmoja akamkwepa mwenzake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NISHA AWABWATUKIA WANAOMWITA MCHAWI

MWANADADA  kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na kuwata... thumbnail 1 summary
MWANADADA kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na kuwataka waache maneno hayo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKE WA MAREHEMU TYSON ADAI MALI ZAKE

Wakati hata siku arobaini hazijatimia, mke wa marehemu George Otieno ‘Tyson’, Beatrice Shayo juzi alicharukia mali zake baada ya kuamua kut... thumbnail 1 summary
Wakati hata siku arobaini hazijatimia, mke wa marehemu George Otieno ‘Tyson’, Beatrice Shayo juzi alicharukia mali zake baada ya kuamua kutinga nyumbani kwa marehemu, Mbezi Makonde jijini Dar kwa lengo la kuchukua kila

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MZEE WA KANISA AUMBUKA BAADA YA FUMANIZI AKIWA GESTI

Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika ba... thumbnail 1 summary
Tumekwisha! Mzee wa kanisa la kiroho (jina linahifadhiwa kwa sasa), aliyetajwa kwa jina la Luca Pesa, mkazi wa Segerea, Dar, ameaibika baada ya kukurupushwa kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti) akidaiwa kutaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wachezaji wawili wa Ghana waliotimuliwa Brazil.

Ni taarifa ambazo zimetokea nchini Brazil ambako kombe la dunia linaendelea huku timu za Afrika zikiwa kwenye headlines ikiwemo Ghana amb... thumbnail 1 summary
Ghana 1Ni taarifa ambazo zimetokea nchini Brazil ambako kombe la dunia linaendelea huku timu za Afrika zikiwa kwenye headlines ikiwemo Ghana ambayo imepigwa 2-1 na Portugal June 26 2014.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya P Square ft Akon na Rick Ross, huyu ndio anaefata! picha 9 wakifanya nae video Marekani

Walianza kuchukua headlines za kolabo za kimataifa baada ya kushirikiana na Akon pamoja na Rick Ross ila time hii anaefata ni trouble man... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-06-26 at 11.49.29 PMWalianza kuchukua headlines za kolabo za kimataifa baada ya kushirikiana na Akon pamoja na Rick Ross ila time hii anaefata ni trouble man T.I wa Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Full Time ya USA vs Germany, South Korea vs Belgium na Algeria vs Russia.

Game ya Algeria vs Russia imeisha kwa matokeo kuwa 1-1 na kuwafanya Algeria washangilie kwa furaha kubwa ya kuendelea na safari ya kombe ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-06-27 at 1.17.15 AMGame ya Algeria vs Russia imeisha kwa matokeo kuwa 1-1 na kuwafanya Algeria washangilie kwa furaha kubwa ya kuendelea na safari ya kombe la dunia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND AZUNGUMZIA TUHUMA ZA KUIBA NYIMBO IKIWEMO KITORONDO (MDOGO MDOGO)

Karibu kila mwaka kumekuwa na malalamiko ya wasanii kuhusu kuibiwa nyimbo au idea za nyimbo zao na Mkali wa Ngololo Style, Diamond Platinum... thumbnail 1 summary

Karibu kila mwaka kumekuwa na malalamiko ya wasanii kuhusu kuibiwa nyimbo au idea za nyimbo zao na Mkali wa Ngololo Style, Diamond Platinumz, madai ambayo huzua hisia tofauti kwa watu wengi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BREAKING NEWS: MAXIMO ATUA DAR .. SASA KUIFUNDISHA YANGA

Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar. thumbnail 1 summary

Kocha mpya wa Yanga SC, Marcio Maximo baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: