March 02, 2017

Shilole akanusha kutaka kuvunja ndoa ya Nuh Mziwanda

Msanii wa muziki na filamu Shilole amekanusha kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa ameoa mwanamke mwi... thumbnail 1 summary

Msanii wa muziki na filamu Shilole amekanusha kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa ameoa mwanamke mwingine aitwae Nawal.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: