September 25, 2014

Meninah Aongelea Issue ya Yeye Kufunga Ndoa na Mwanamuziki Diamond Platnumz

"Yaani sijui hata nianzie wapi kuzungumzia hili la kutaka kufunga ndoa na Diamond, naomba niseme ukweli kwamba nashanga... thumbnail 1 summary

"Yaani sijui hata nianzie wapi kuzungumzia hili la kutaka kufunga ndoa na Diamond, naomba niseme ukweli kwamba nashangaa, kwanza sijui chochote, nimekuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USIKUBALI KUOGOPA KUMUONYESHA MKE AU GIRLFREND WAKO UMPENDAE KISA UNAOGOPA WASHKAJI WATAKUONA BWEGE

Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye. Ni t... thumbnail 1 summary

Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.Ni tabia mbaya sana unakuta mtu mzima eti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WOLPER SASA ACHOKA NA MAISHA YA UPWEKE ASAKA BWANA WA KUMUOA

STAA  mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke. thumbnail 1 summary


STAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIMPOZ, VANESSA MDEE MAHABA NIUE

SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuripotiwa kuwa anatembea na mwanamitindo Jokate Mwegelo, ime... thumbnail 1 summary

SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kuripotiwa kuwa anatembea na mwanamitindo Jokate Mwegelo, imedaiwa kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchongo Mpya Alioupata Diamond Platnumz, Huu Unahusu Application ya Simu.

Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambay... thumbnail 1 summary

Ingawa hajaweka wazi namna dili hii itakavyokuwa lakini kupitia ukurasa wake wa Instagram,Diamond Platnumz amepost picha ambayo imebeba maandishi yasemayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE AFUNGUKA: SIWEZI KUACHANA NA NUH

KUFUATIA varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,  baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Moha... thumbnail 1 summary

KUFUATIA varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,  baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’,  Naftari Mlawa ‘Nuh

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Marekani yatoa video inayoonesha mashambulizi ya anga dhidi ya ISIS nchini Syria

BONYEZA LIKE HAPO CHINI Makao Makuu ya Ulinzi, Pentagon Marekani imetoa kipande cha video inayoonesha jinsi walivyotek... thumbnail 1 summary

BONYEZA LIKE HAPO CHINI

Makao Makuu ya Ulinzi, Pentagon Marekani imetoa kipande cha video inayoonesha jinsi walivyotekeleza na kufanikisha mashambulizi ya kwanza nchini Syria dhidi ya kundi linalojiita Islamic State Of Syria and Iraq (ISIS).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hackers watishia kuvujisha picha za utupu za muigizaji wa Harry Porter Emma Watson kufuatia hotuba yake ya UN

Staa wa filamu ya ‘Harry Potter’, Emma Watson alitoa hotuba kwenye Umoja wa Mataifa kuwataka wanaume kuungana katika harakati za us... thumbnail 1 summary

Sony Ericsson Empire Film Awards: Winners BoardsStaa wa filamu ya ‘Harry Potter’, Emma Watson alitoa hotuba kwenye Umoja wa Mataifa kuwataka wanaume kuungana katika harakati za usawa wa kijinsia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: