December 17, 2016

Video: Miss Tanzania Diana Edward ageuka mwalimu wa Kiswahili kwa mamiss wengine

Miss Tanzania 2016, Diana Edward anazidi kujikusanyia sifa nchini kwa uzalendo wake wa kuwafundisha mamiss wengine waliopo nchini thumbnail 1 summary

Miss Tanzania 2016, Diana Edward anazidi kujikusanyia sifa nchini kwa uzalendo wake wa kuwafundisha mamiss wengine waliopo nchini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli amteua Prof Yunus Mgaya kuwa mkurugenzi mkuu NIMR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli amemteua Profesa Yunus Mgaya kuwa mkurugenzi mkuu NIMR. Hii... thumbnail 1 summary


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli amemteua Profesa Yunus Mgaya kuwa mkurugenzi mkuu NIMR.


Hii taariFA yake:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali yataka machinga wawekewe utaratibu mzuri wa kufanya biashara

Serikali imewataka wakuu wa mikoa, wilaya na mamlaka ya serikali za mitaa na miji kuweka utaratibu na mfumo utakaowasaidia wafanya bi... thumbnail 1 summary


Serikali imewataka wakuu wa mikoa, wilaya na mamlaka ya serikali za mitaa na miji kuweka utaratibu na mfumo utakaowasaidia wafanya biashara wadogo wadogo (wamachinga) kufanya biashara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lady Jay Dee aeleza sababu ya kufanya vizuri kwenye muziki kwa muda mrefu bila kutetereka

Msanii mkongwe wa muziki, Lady Jay Dee amefunguka kwa kueleza sababu ya kufanya vizuri kwenye muziki wake kwa muda mrefu bila kutetereka. thumbnail 1 summary
Msanii mkongwe wa muziki, Lady Jay Dee amefunguka kwa kueleza sababu ya kufanya vizuri kwenye muziki wake kwa muda mrefu bila kutetereka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serikali yataka machinga wawekewe utaratibu mzuri wa kufanya biashara

Serikali imewataka wakuu wa mikoa, wilaya na mamlaka ya serikali za mitaa na miji kuweka utaratibu na mfumo utakaowasaidia wafanya bia... thumbnail 1 summary



Serikali imewataka wakuu wa mikoa, wilaya na mamlaka ya serikali za mitaa na miji kuweka utaratibu na mfumo utakaowasaidia wafanya biashara wadogo wadogo (wamachinga) kufanya biashara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mahakama ya Uganda yaamuru kukamatwa kwa Wizkid baada ya kushindwa kutokea kwenye show

Wizkid anakabiliwa na kifungo cha miaka 11 jela, baada ya mahakama ya Uganda kutoa hati ya kukamatwa kwake na meneja wake, Sunday Aare. thumbnail 1 summary
Wizkid anakabiliwa na kifungo cha miaka 11 jela, baada ya mahakama ya Uganda kutoa hati ya kukamatwa kwake na meneja wake, Sunday Aare.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Paul Makonda amwaga wanasheria Dar kusaidia wananchi bure

Mkoa wa Dar es Salaam utaanza kutoa huduma za kisheria kwa wananchi wote bure kupitia wanasheria 35 ambao wamegawanywa katika wilaya zo... thumbnail 1 summary

Mkoa wa Dar es Salaam utaanza kutoa huduma za kisheria kwa wananchi wote bure kupitia wanasheria 35 ambao wamegawanywa katika wilaya zote za mkoa huo, kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wasanii wa hip hop wamerudisha ushindani na Bongo Flava, lakini je, unafahamu ukweli huu?

Tukiwa tumekaribia kufunga mwaka, tumeona wasanii wengi wa rap na Hip Hop wakijitahidi sana na kurelease nyimbo kali na zenye ubora wa ... thumbnail 1 summary

Tukiwa tumekaribia kufunga mwaka, tumeona wasanii wengi wa rap na Hip Hop wakijitahidi sana na kurelease nyimbo kali na zenye ubora wa hali ya juu kuliko hapo awali. Hapa nazungumzia nyimbo kama Dume Suruali, Muziki na Astara Vaste.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwana FA asema wimbo ‘Muziki’ wa Darassa umerudisha heshima kwa wasanii wa hip hop

Msanii wa muziki wa hip hip, Mwana FA amesema hatua ya mafanikio ya wimbo ‘Muziki’ wa Darassa ni hatua ambayo wasanii wengi wa muziki... thumbnail 1 summary


Msanii wa muziki wa hip hip, Mwana FA amesema hatua ya mafanikio ya wimbo ‘Muziki’ wa Darassa ni hatua ambayo wasanii wengi wa muziki wa hip

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Joslin – Only You

Msanii Joslin baada ya kuwa kimya huu ndio ujio wake tena ameachia video mpya wimbo “Only You”, video imeongozwa na Rich Cash X. thumbnail 1 summary
Msanii Joslin baada ya kuwa kimya huu ndio ujio wake tena ameachia video mpya wimbo “Only You”, video imeongozwa na Rich Cash X.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tunao ugonjwa wa ZIKA Tanzania’ – Taasisi ya taifa ya Utafiti yasema

Taasisi ya taifa ya Utafiti (NIMR) kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu Dr. Mwele Malecelaimesema katika kusikia kwamba kuna ugonjwa unaitwa ... thumbnail 1 summary
Taasisi ya taifa ya Utafiti (NIMR) kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu Dr. Mwele Malecelaimesema katika kusikia kwamba kuna ugonjwa unaitwa ZIKA kwenye mataifa mbalimbali, iliona umuhimu wa kufanya utafiti Tanzania hali ikoje.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tunda Man Akiri Kuwa na Tofauti na Babu Tale, Asema "Naumia na Najuta Sana"

Tunda Man amefunguka sababu ilinayomfanya asielewane na bosi wake wa Tip Top Connection, Babutale. Akiongea na EATV, muimbaji huyo wa ‘... thumbnail 1 summary
Tunda Man amefunguka sababu ilinayomfanya asielewane na bosi wake wa Tip Top Connection, Babutale.

Akiongea na EATV, muimbaji huyo wa ‘Mama Kijacho’ amesema, “Najutia kuwa na misunderstanding na bosi wangu. Kiukweli mimi na bosi wangu Babutale

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hatimaye Picha ya Chuchu Hans Akiwa Mjamzito Yanaswa.

Baada ya Kusemekana kuwa Mwigizaji Chuchu Hans ni Mjamzito na kuwa anaficha watu wasijue Wambea wa mjini tayari wamefuma picha yake akiwa... thumbnail 1 summary
Baada ya Kusemekana kuwa Mwigizaji Chuchu Hans ni Mjamzito na kuwa anaficha watu wasijue Wambea wa mjini tayari wamefuma picha yake akiwa ni Mama Kijacho...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lady Jaydee na Spicy Wathibitisha Kuwa Wapenzi, Stori Yao Ipo Hapa.

Lady Jaydee na Spicy wamethibisha rasmi kuwa ni wapenzi. Kwenye mahojiano na Bongo5, wawili hao wamedai kuwa wamekuwa pamoja kwa zaidi ya m... thumbnail 1 summary
Lady Jaydee na Spicy wamethibisha rasmi kuwa ni wapenzi. Kwenye mahojiano na Bongo5, wawili hao wamedai kuwa wamekuwa pamoja kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Hii Hapa Trailer ya Movie Ya 'Kiumeni', Idris Sultan, Muhogo Mchungu Wamo.

Kiumeni ni filamu ya Kitanzania inayosubiriwa kwa hamu kubwa. Imehusisha mastaa mbalimbali akiwe Ernest Napoleon ambaye ndiye mhusika mkuu.... thumbnail 1 summary
Kiumeni ni filamu ya Kitanzania inayosubiriwa kwa hamu kubwa. Imehusisha mastaa mbalimbali akiwe Ernest Napoleon ambaye ndiye mhusika mkuu. Na sasa trailer yake rasmi imetoka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kesi Mauaji ya Watafiti Kutajwa Tena Desemba 29

KESI ya mauaji ya watafiti wa Kituo cha Utafiti cha Selian Arusha (SARI) inayowakabili wakazi 29 wa kijiji cha Iringa Mvumi Wilaya ya Cha... thumbnail 1 summary
KESI ya mauaji ya watafiti wa Kituo cha Utafiti cha Selian Arusha (SARI) inayowakabili wakazi 29 wa kijiji cha Iringa Mvumi Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, inatarajiwa kutajwa tena Desemba 29, mwaka huu kutokana na upelelezi wake kutokamilika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti aliyetangaza kuwepo kwa ugonjwa zika nchini

Dk Mwele Malecela. Taarifa hiyo ya Ikulu haikueleza sababu za kutenguliwa kwa uteuzi huo, lakini ni siku moja tangu Mwele kueleza kuw... thumbnail 1 summary
Dk Mwele Malecela.

Taarifa hiyo ya Ikulu haikueleza sababu za kutenguliwa kwa uteuzi huo, lakini ni siku moja tangu Mwele kueleza kuwa ugonjwa wa zika upo nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Habari njema kwa mashabiki wa Leicester kuhusu Schmeichel

Golikipa wa klabu ya Leicester Kasper Schmeichel hatimaye amerejelea mazoezi katika timu yake baada ya kuumia mkono mwezi Novemba. thumbnail 1 summary
Golikipa wa klabu ya Leicester Kasper Schmeichel hatimaye amerejelea mazoezi katika timu yake baada ya kuumia mkono mwezi Novemba.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

‘Too Much’ ya Darassa yajiwekea rekodi yake

Kufanya vizuri kwa wimbo mpya wa Darassa ‘Muziki’ umezidi kuzipa nguvu nyimbo zingine za rapper huyo. thumbnail 1 summary
Kufanya vizuri kwa wimbo mpya wa Darassa ‘Muziki’ umezidi kuzipa nguvu nyimbo zingine za rapper huyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: