December 17, 2016

Video: Miss Tanzania Diana Edward ageuka mwalimu wa Kiswahili kwa mamiss wengine

Miss Tanzania 2016, Diana Edward anazidi kujikusanyia sifa nchini kwa uzalendo wake wa kuwafundisha mamiss wengine waliopo nchini thumbnail 1 summary

Miss Tanzania 2016, Diana Edward anazidi kujikusanyia sifa nchini kwa uzalendo wake wa kuwafundisha mamiss wengine waliopo nchini Marekani kwaajili ya shindano la Miss World vitu mbalimbali kutoka nchini.


Baada ya kuwatambulisha warembo hao muziki wa Bongo Fleva na Singeli, Diana ameonekana kuwa mwalimu mzuri wa Kiswahili kwenye shindano hilo. Kupitia Instagram, Diana amepost video mbili zikiwaonesha, Miss Hondurus, Kerelyne Campigoti Webster na Miss Mexico, Ana Girault wakijifunza lugha ya Kiswahili.
Iam happy in anyhow the outcome of the competition will be,One day left Asanteni Tanzania nawapenda nawaheshimu asante with rafiki zangu @anagirault @kerelyneiwebster@yes_sirg @derickguidotti_official Snapchat Dianaflave2 i adore you Tanzania#missworld#missworldtanzania2016,” ameandika Diana kwenye moja kipande cha video alichokiweka kwenye mtandao huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments