December 17, 2016

Video: Hii Hapa Trailer ya Movie Ya 'Kiumeni', Idris Sultan, Muhogo Mchungu Wamo.

Kiumeni ni filamu ya Kitanzania inayosubiriwa kwa hamu kubwa. Imehusisha mastaa mbalimbali akiwe Ernest Napoleon ambaye ndiye mhusika mkuu.... thumbnail 1 summary
Kiumeni ni filamu ya Kitanzania inayosubiriwa kwa hamu kubwa. Imehusisha mastaa mbalimbali akiwe Ernest Napoleon ambaye ndiye mhusika mkuu. Na sasa trailer yake rasmi imetoka.

Waigizaji wengine walioshiriki ni pamoja na Idris Sultan, Irene Paul, Antu Mendoza, Muhogo Mchungu, Rashid Matumla na wengine.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments