December 17, 2016

Tunao ugonjwa wa ZIKA Tanzania’ – Taasisi ya taifa ya Utafiti yasema

Taasisi ya taifa ya Utafiti (NIMR) kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu Dr. Mwele Malecelaimesema katika kusikia kwamba kuna ugonjwa unaitwa ... thumbnail 1 summary
Taasisi ya taifa ya Utafiti (NIMR) kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu Dr. Mwele Malecelaimesema katika kusikia kwamba kuna ugonjwa unaitwa ZIKA kwenye mataifa mbalimbali, iliona umuhimu wa kufanya utafiti Tanzania hali ikoje.

Dr. Mwele amesema ‘Ukweli ni kwamba katika nchi yetu tunao ugonjwa wa ZIKA na katika watu waliopimwa, asilimia 15.3 waligundulika kuwa wameambukizwa virusi vya ZIKA‘

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments