Serikali ya Sierra Leone imeonya
kuwa ni hatia kumpa hifadhi mtu yeyote aliyeambukizwa virusi vya Ebola.
June 30, 2014
Mrembo aliyeteuliwa kuigiza maisha ya marehemu Aaliyah aikacha dili yenyewe.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Hivi ndivyo trend ya #Suarezing ilivyokuwa kubwa mtandaoni.
Hivi ndivyo trend ya #Suarezing ilivyokuwa kubwa mtandaoni.
Baada ya kumng’ata mchezaji mwenzake, Luis Suarez amegeuka kuwa mchezaji anayetrend sana au anayezungumziwa sana kupitia mtandao wa Twitt... 22:42SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
E FM Radio Yaendelea Kunyakuwa Watangazaji Maarufu Bongo..Huyu Mwingine Wamemchukua
E FM Radio Yaendelea Kunyakuwa Watangazaji Maarufu Bongo..Huyu Mwingine Wamemchukua
Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo amejiunga na Radio ya Efm ambayo imekwishaji... 18:23SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
JINSI YA KUJIFARIJI MWENYEWE KWENYE MATATIZO YANAYOKUKABILI.
JINSI YA KUJIFARIJI MWENYEWE KWENYE MATATIZO YANAYOKUKABILI.
KWA bahati mbaya watu wengi hawatambui kitu kinachofariji, ndiyo maana wanakimbilia kutegemea msaada. Lakini ukweli ni kwamba mawazo... 18:22
KWA bahati mbaya watu wengi
hawatambui kitu kinachofariji, ndiyo maana
wanakimbilia kutegemea msaada. Lakini
ukweli ni kwamba mawazo yetu ndiyo
faraja pekee ya maisha.
Tukijikubali, kujipenda na kujiwazia mema
hatutafadhaishwa na hali ya wenzetu
kutojali shida zetu, badala yake tutafurahia
matatizo yetu kwa tarajio la "yote
hawatambui kitu kinachofariji, ndiyo maana
wanakimbilia kutegemea msaada. Lakini
ukweli ni kwamba mawazo yetu ndiyo
faraja pekee ya maisha.
Tukijikubali, kujipenda na kujiwazia mema
hatutafadhaishwa na hali ya wenzetu
kutojali shida zetu, badala yake tutafurahia
matatizo yetu kwa tarajio la "yote
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
PICHA ZA MASTAA WA KIKE BONG WALIVYOJITUPIA KATIKA KIPINDI HIKI CHA RAMADHANI,
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MH! BABA LEVO AAMUA KUISHI NA MKE WA JAMAA WAKE KISA ANAMDAI LAPTOP
MH! BABA LEVO AAMUA KUISHI NA MKE WA JAMAA WAKE KISA ANAMDAI LAPTOP
Katika wasanii ambao pengine ukipata nafasi ya kukaa nao kwa karibu unaweza kujikuta toka mwanzo wa maongezi hadi mwisho unacheka tu ni ... 18:19Katika wasanii ambao pengine ukipata nafasi ya kukaa nao kwa karibu unaweza kujikuta toka mwanzo wa maongezi hadi mwisho unacheka tu ni pamoja na
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NI FULL USHENZI:LULU AFUNGUKA MANENO MAZITO KWA WANAUME WOTE....
NI FULL USHENZI:LULU AFUNGUKA MANENO MAZITO KWA WANAUME WOTE....
Wakati wanawake wengine wakionekana kubembeleza penzi na kujinyenyekeza kwa wapenzi wao ili wasiachike, Lulu Michael ana... 18:18SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
JB AJITAPA KUWA YEYE NI STRAIKA HATARI ZAIDI YA AKINA MESSI NA RONALDO, MCHEKI HAPA
JB AJITAPA KUWA YEYE NI STRAIKA HATARI ZAIDI YA AKINA MESSI NA RONALDO, MCHEKI HAPA
TAMBO! Bonge la Bwana, Jacob Steven ‘JB’ amejitapa kuwa licha ya mwili wake kutoonekana wa mazoezi lakini yeye ni bonge la straika. 18:17
TAMBO! Bonge la Bwana, Jacob Steven ‘JB’ amejitapa kuwa licha ya mwili wake kutoonekana wa mazoezi lakini yeye ni bonge la straika.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MWANAFUNZI WA SEKONDARI TANGA ATOA VIDEO YA KIMAHABA INAYOELEZA JUU !!!...BOFYA HAPA UIONE BILA CHENGA
MWANAFUNZI WA SEKONDARI TANGA ATOA VIDEO YA KIMAHABA INAYOELEZA JUU !!!...BOFYA HAPA UIONE BILA CHENGA
Mwanafunzi mmoja wa sekondari mashuhuri sana iliyopo mkoani Tanga, ambaye pia ni mzawa na mwenyeji wa jiji la mahaba, Tanga, ameamua kuf... 18:16SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
LIST YOTE YA WASHINDI YA TUZO ZA BET 2014 HII HAPA, BEYONCE AKOMBA 3, PHARRELL, AUGUST, LUPITA WAPATA 2 KILA MMOJA,DOVIDO ANYAKUA YAKE, DIAMOND AANGUKIA PUA
LIST YOTE YA WASHINDI YA TUZO ZA BET 2014 HII HAPA, BEYONCE AKOMBA 3, PHARRELL, AUGUST, LUPITA WAPATA 2 KILA MMOJA,DOVIDO ANYAKUA YAKE, DIAMOND AANGUKIA PUA
Pharrell Williams na Missy Elliot wakifungua shoo ya utoaji tuzo za BET usiku wa kuamkia leo jijini Los Angeles. 18:15
Pharrell Williams na Missy Elliot wakifungua shoo ya utoaji tuzo za BET usiku wa kuamkia leo jijini Los Angeles.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DIAMOND AFAIDIKA NA MENGI TUZO ZA BET
DIAMOND AFAIDIKA NA MENGI TUZO ZA BET
DIAMOND ANENA HAYA............ Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu m... 18:09SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
SERIKALI:SIMU ZA MKONONI ZINA MADHARA MAKUBWA SANA...SOMA ZAIDI
SERIKALI:SIMU ZA MKONONI ZINA MADHARA MAKUBWA SANA...SOMA ZAIDI
SERIKALI imewataka Watanzania kununua simu zenye viwango kwa kuwa utafiti uliofanywa na taasisi mbalimbali za afya duniani, umebaini kuw... 18:03SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
VIDEO JINSI KILIVYONUKA:WIMBO MPYA WA BEN POL WALETA MTAFARUKU KATI YA ADAM MCHOMVU NA FETTY.
VIDEO JINSI KILIVYONUKA:WIMBO MPYA WA BEN POL WALETA MTAFARUKU KATI YA ADAM MCHOMVU NA FETTY.
Baada ya kuutambulisha wimbo mpya wa Ben Pol "Upendo" exclusive kupitia kipindi cha XXL kinachoendeshwa na B12, Fetty n... 18:02
Baada ya kuutambulisha wimbo mpya wa Ben Pol "Upendo" exclusive kupitia kipindi cha XXL kinachoendeshwa na B12, Fetty na Adam Mchomvu, kumetokea na ubishani kati ya Adam na Fetty juu ya wimbo huo ambao
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Pale girlfriend wa Chris Brown alipokutana na @DiamondPlatnumz na kumuhoji kwenye red carpet
Pale girlfriend wa Chris Brown alipokutana na @DiamondPlatnumz na kumuhoji kwenye red carpet
Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudh... 06:43SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Davido na Diamond hotelini kuelekea kwenye tuzo za BET 2014 na ya moyoni mwa Ommy Dimpoz
Davido na Diamond hotelini kuelekea kwenye tuzo za BET 2014 na ya moyoni mwa Ommy Dimpoz
Stori kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond ... 06:41SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Linah amerudi Dar! ameongea kuhusu kolabo na Uhuru na Dj Malvado South Africa
Linah amerudi Dar! ameongea kuhusu kolabo na Uhuru na Dj Malvado South Africa
Linah akiwa uwanja wa ndege Dar es salaam alipowasili akitokea Johannesburg South Africa ambako unaweza kwenda Jumatatu Jumatano na Iju... 06:40SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Kwanini Wanaojua Mapenzi ndiyo huachwa? Nini sababu? twende sawa
Kwanini Wanaojua Mapenzi ndiyo huachwa? Nini sababu? twende sawa
Habari Kaka J, Mimi ni Mwanamke mwenye umri wa kati wa Miaka 30, nimeolewa na nina watoto Wawili. Naishi Dar lakini kikabila ni Mnyamwezi... 06:38SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MAMBO SABA AMBAYO YANAMUUDHI MPENZI WAKO
MAMBO SABA AMBAYO YANAMUUDHI MPENZI WAKO
MAMBO HAYA SABA YANAMUUDHI MPENZI WAKO 1. Mwanamke akivaa kwa ajili ya kutoka kwenda kwenye sherehe, kanisani , au mahali popote hau... 06:36
MAMBO HAYA SABA YANAMUUDHI
MPENZI WAKO
1. Mwanamke akivaa kwa ajili
ya kutoka kwenda kwenye
sherehe, kanisani , au mahali
popote haupaswi kumuuliza
"baby hicho ndo
unachovaa?" au " baby
utavaa nguo hizi?" maswali
haya huondoa mudi kabla ya
tukio , Mwanaaume
amejaliwa uwezo wa
kumfurahisha mwanamke
MPENZI WAKO
1. Mwanamke akivaa kwa ajili
ya kutoka kwenda kwenye
sherehe, kanisani , au mahali
popote haupaswi kumuuliza
"baby hicho ndo
unachovaa?" au " baby
utavaa nguo hizi?" maswali
haya huondoa mudi kabla ya
tukio , Mwanaaume
amejaliwa uwezo wa
kumfurahisha mwanamke
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Mahari yazua balaa msibani.....Baba wa mtoto azuiwa kuzika, ngumi zafumuka.....Kaburi lafukiwa, mwili warudishwa Mochwari
Mahari yazua balaa msibani.....Baba wa mtoto azuiwa kuzika, ngumi zafumuka.....Kaburi lafukiwa, mwili warudishwa Mochwari
FAMILIA mbili mjini Mpanda zimejikuta zikiingia katika uhasama mkubwa, kiasi cha kupigana fimbo na ngumi makaburini katika ugomvi wa... 06:34
FAMILIA mbili mjini Mpanda zimejikuta
zikiingia katika uhasama mkubwa, kiasi cha
kupigana fimbo na ngumi makaburini
katika ugomvi wa kugombea kuzika mwili
wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja
na nusu.
Sababu kubwa ya mpasuko huo imeelezwa
kuwa ni mahari, kwani wazazi wa upande
wa mama wa mtoto huyo walikuja juu na
kumzuia baba wa mtoto, Joseph Bacho
mkazi wa Mtaa wa Kawajense- Madukani
mjini hapa asishiriki katika shughuli zozote

LADY JAY DEE AWEKA HISTORIA HUKO KENYA JANA,..HIKI NDICHO ALICHOFANYA.
LADY JAY DEE AWEKA HISTORIA HUKO KENYA JANA,..HIKI NDICHO ALICHOFANYA.
Zilikuwa ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee Jaydee ilipofika zamu yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu, uw... 06:33
Zilikuwa ni shangwe zakupitiliza pale mkali kutoka tzee Jaydee ilipofika zamu yake ya kupanda jukwaani, unaambiwa vile amepanda tu, uwanja mzima uliokuwa umefurika mashabiki, ulikuwa umeanza kupiga kelele zikisema yahayaa, ilikuwa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
PICHA: DIAMOND, MAFIKIZOLO, DAVIDO,TIWA SAVAGE NA FALLY IPUPA KWENYE BET-PRE AWARDS VIP
PICHA: DIAMOND, MAFIKIZOLO, DAVIDO,TIWA SAVAGE NA FALLY IPUPA KWENYE BET-PRE AWARDS VIP
Diamond Platinumz anaiwakilisha Tanzania kwenye tuzo za BET zitakazofanyika huko Los Angeles, Marekani 06:32SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
COSTA RICA YAPETA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MIKWAJU YA PENATI 5-3 DHIDI YA UGIRIKI
COSTA RICA YAPETA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA KWA MIKWAJU YA PENATI 5-3 DHIDI YA UGIRIKI
COSTA Rica wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la dunia kwa kuifunga Ugiriki kwa mikwaju ya penati 5-3 baada ya dakika za ... 06:29
COSTA Rica wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la dunia kwa kuifunga Ugiriki kwa mikwaju ya penati 5-3 baada ya dakika za kawaida na za nyogeza 30 kumalizika kwa sare ya bao 1-1.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI CALIFORNIA JUMAMOSI HII
DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI CALIFORNIA JUMAMOSI HII
Kushoto ni Balozi wa Heshima, Mhe. Ahmed Issa akiwasili ukumbini hapo akiongozana na wanajumuiya wa California. 06:28SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
ROBBEN AMEKIRI KUJIANGUSHA
ROBBEN AMEKIRI KUJIANGUSHA
Arjen Robben amekiri kuwa alidanganya timu yake ikapewa penati. Mshambulizi wa Uholanzi Arjen Robben amekiri kuwa alidanganya timu... 06:27
Mshambulizi wa Uholanzi Arjen Robben amekiri kuwa alidanganya timu yake ikapewa penalti ya ushindi lakini akasema alikuwa ametegwa .
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
June 29, 2014
ROSE MUHANDO AIBUKIA KWENYE FACEBOOK
ROSE MUHANDO AIBUKIA KWENYE FACEBOOK
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando, ameibuka na wimbo mpya uitwao ‘Facebook’. 16:12
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando, ameibuka na wimbo mpya uitwao ‘Facebook’.
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando, ameibuka na wimbo mpya uitwao ‘Facebook’.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
RAIS WA URUGUAY AKIWA FOLENI KUTAKA KUMUONA DAKTARI KATIKA HOSPITALI YA UMMA.
RAIS WA URUGUAY AKIWA FOLENI KUTAKA KUMUONA DAKTARI KATIKA HOSPITALI YA UMMA.
Rais wa Uruguay akiwa foleni kutaka kumuona daktari 16:07SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Ebana umekiona kipande cha video ya Diamond ft Iyanya..kipo hapa
Ebana umekiona kipande cha video ya Diamond ft Iyanya..kipo hapa
Diamond ameshafanya kazi nyingi ambazo bado hazijatoka, moja kati ya hizo ni audio na video yake na Iyanya. Hii hapa ni teaser ya video ... 16:04SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Picha 6 na video 1 za Diamond akiwa L.A kwa ajili ya B.E.T Awards.
Picha 6 na video 1 za Diamond akiwa L.A kwa ajili ya B.E.T Awards.
Diamond yupo L.A Marekani kwa ajili ya tukio la utoaji wa tuzo za B.E.T ambapo yupo kwenye category ya Best African Act. Hizi ni pich... 16:03
Diamond yupo L.A Marekani kwa ajili ya tukio la utoaji wa tuzo za B.E.T ambapo yupo kwenye category ya Best African Act. Hizi ni picha 6 na video moja akiwa huko Los Angeles na kwenye hii video yupo eneo ambalo zinafanyika interview za wasanii mbalimbali.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
ANGALIA PICHA DAVIDO AKIWA NA MASTAA TOFAUTI HUKO MAREKANI KABLA BET AWARDS KUFANYIKA
ANGALIA PICHA DAVIDO AKIWA NA MASTAA TOFAUTI HUKO MAREKANI KABLA BET AWARDS KUFANYIKA
Hapa akiwa na mrembo Jeniffer Hudson na baadae akasema """" Miss Hudson looks really good.." 15:54Hapa akiwa na mrembo Jeniffer Hudson na baadae akasema """"Miss Hudson looks really good.."
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DIVA WA BONGO MUVI ESHA BUHETI AFUNGUKA KUHUSU BIFU NA JAQUELINE WOLPER, SOMA ZAIDI HAPA
DIVA WA BONGO MUVI ESHA BUHETI AFUNGUKA KUHUSU BIFU NA JAQUELINE WOLPER, SOMA ZAIDI HAPA
Mkali wa filamu Bongo Esha Buheti BAADA ya mwanadafada Esha Buheti kutoka Bongo Movies kunyakua tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike katik... 15:51
Mkali wa filamu Bongo Esha Buheti
BAADA ya mwanadafada Esha Buheti kutoka Bongo Movies kunyakua tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Zanzibar Film Festival ‘Ziff’, iliibuka minong’ono kuwa hakustahili lakini mwenyewe ameibuka na kukanusha minong’ono hiyo.SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Beyonce awashangaza tena mashabiki wake kwa kufanya hiki kwa Justin Bieber.
Beyonce awashangaza tena mashabiki wake kwa kufanya hiki kwa Justin Bieber.
Tayari wamewashangaza mashabiki wao kwa kuonyesha video ya harusi yao iliyofungwa mwaka 2008 na kuzaliwa kwa mtoto wao Blue Ivy, sasa B... 06:56SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
UZEE MWISHO CHALINZE: MZEE MAGALI KUHUSU YEYE KUITWA MZEE, ADAI BADO DAMU YAKE INACHEMKA
UZEE MWISHO CHALINZE: MZEE MAGALI KUHUSU YEYE KUITWA MZEE, ADAI BADO DAMU YAKE INACHEMKA
Msanii wa filamu anayeweza kushika kipande chochote na kufanya vizuri, Charles Magali maarufu kama Mzee Magali amesema yeye ... 06:49SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
SNURA AFUNGUKA KUHUSU TUHUMA ZA RUSHWA YA NGONO
SNURA AFUNGUKA KUHUSU TUHUMA ZA RUSHWA YA NGONO
Msanii wa muziki na filamu Snura Mushi amebainisha kuwa rushwa ya ngono kwa wanawake ni kikwazo kikubwa kinachowakwamis... 06:48SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
JAMES RODRIGUEZ APIGA 2, COLOMBIA YATINGA ROBO FAINALI IKIITANDIKA URUGUAY 2-0
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
BRAZIL NOMA! YAITUPILIA MBALI CHILE KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
UTOAJI ELIMU YA AFYA YA UZAZI NA UJINSIA WAFANIKIWA
UTOAJI ELIMU YA AFYA YA UZAZI NA UJINSIA WAFANIKIWA
Mratiibu msaidizi wa polisi mkoa wa Singida,Irene Mbwatila,(anayeangalia kamera),akizungumza na timu ya pamoja ya maafisa wa shirika la ... 06:44SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
PINDA AKUTANA NA WAZEE WA BABATI NA KIGOMA
PINDA AKUTANA NA WAZEE WA BABATI NA KIGOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wazee kutoka kata ya Simbo wilayani Uvinza, ofsini kwake mjini Dodoma Juni 28,... 06:43
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wazee kutoka kata ya Simbo wilayani Uvinza, ofsini kwake mjini Dodoma Juni 28, 2014. Kulia ni Mbunge wa Kigoma Kusini, David kafulila (kulia) na wa sita kushoto ni Mbunge wa kigoma
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TAMWA KUTOA ELIMU KUPAMBANA NA ULEVI KUPINDUKIA
TAMWA KUTOA ELIMU KUPAMBANA NA ULEVI KUPINDUKIA
Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Msoka akisisitiza jambo katika mkutano na wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam... 06:42SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
AIRTEL YAZINDUA SIMU MPYA AINA YA IPHONE 5S
AIRTEL YAZINDUA SIMU MPYA AINA YA IPHONE 5S
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati Kampuni ya ... 06:41SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
June 28, 2014
RATIBA YA RAUNDI YA PILI KOMBE LA DUNIA NI HII
RATIBA YA RAUNDI YA PILI KOMBE LA DUNIA NI HII
28 Juni 2014 Brazil 16:00 Chile 28 Juni 2014 Colombia 20:00 Uruguay 17:2928 Juni 2014
Brazil 16:00 Chile
28 Juni 2014
Colombia 20:00 Uruguay
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
KUMBE UGOMVI ULIANZA HIVI: BARUA KUTOKA KWA MUME WA FLORA MBASHA KWENDA KWA MCHUNGAJI GWAJIMA
KUMBE UGOMVI ULIANZA HIVI: BARUA KUTOKA KWA MUME WA FLORA MBASHA KWENDA KWA MCHUNGAJI GWAJIMA
"MCHUNGAJI ...YAPATA KAMA WIKI MBILI ZILIZOPITA NILIHOJI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI JUU YA ‘UTAJIRI' WA GHAFLA WA MKEWANGU MA... 17:27"MCHUNGAJI ...YAPATA KAMA WIKI MBILI ZILIZOPITA NILIHOJI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI JUU YA ‘UTAJIRI' WA GHAFLA WA MKEWANGU MARA BAADA YA MGOGORO KUTOKEA KATI YANGU NA YEYE, BILA KUPOTEZA MUDA MKEWANGU AKANIJIBU KUPITIA GAZETI MOJA LA UDAKU KUWA AMECHANGIWA FEDHA KIASI CHA MILIONI 9 NA WAUMINI KANISANI KWAKO.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
LULU: SINA MPANGO WA KUMBEMBELEZA MWANAUME COZ WANANITONGOZA KWA SIKU WENGI SANA HATA KUWAHESABU NASHINDWA
LULU: SINA MPANGO WA KUMBEMBELEZA MWANAUME COZ WANANITONGOZA KWA SIKU WENGI SANA HATA KUWAHESABU NASHINDWA
Wakati wanawake wengine wakionekana kubembeleza penzi na kujinyenyekeza kwa wapenzi wao ili wasiachike, Lulu Michael anasema hana mud... 17:06SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
BEN POL KAJA KIVINGINE ZAIDI... KUPATA WIMBO WAKE MPYA SIKILIZA NA DOWNLOAD HAPA
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
KAZI MPYA YA DYANA NYANGE IKO HAPA - I DO, SIKILIAZA NA DOWNLOAD HAPA
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
UTAKE USITAKE UTAMPENDA TU RIHANNA KWA HAYA MAVAZI YA KIARABU KWENYE HILI JARIDA
UTAKE USITAKE UTAMPENDA TU RIHANNA KWA HAYA MAVAZI YA KIARABU KWENYE HILI JARIDA
Ukimuangalia Rihanna utaamini kabisa kuwa mwanamke kuonesha uzuri wake sio lazima avae nusu mtupu. 17:03SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
CHENGE AIRARUA SERIKALI
CHENGE AIRARUA SERIKALI
Andrew Chenge HATIMAYE Kamati ya Bajeti inayoongozwa na Andrew Chenge, imeutosa kwa muda muswada wa kufuta baadhi ya misamaha ya kod... 16:57SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MSANII RECHO NAE ACHAFUA MTANDAONI, ATUPIA PICHA ZIKIONYESHA MICHIRIZI YA UTAMU LIVE
MSANII RECHO NAE ACHAFUA MTANDAONI, ATUPIA PICHA ZIKIONYESHA MICHIRIZI YA UTAMU LIVE
hivi ni kwamba mastaa wakihisi kuwa hawaongelewi njia pekee ya kurudisha umaarufu ni kutupia picha zisizokuwa na maadili mtandaoni? hivi ... 16:53
hivi ni kwamba mastaa wakihisi kuwa hawaongelewi njia pekee ya kurudisha umaarufu ni kutupia picha zisizokuwa na maadili mtandaoni? hivi punde msanii Recho ameweka picha ambazo kiukweli
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MASHAALLAH, MTOTO MZURI UWOYA AMWAGIWA SIFA KIBAO KWA KUWA MFANO, TUKIWA TUNAELEKEA MWEZI MTUKUFU
MASHAALLAH, MTOTO MZURI UWOYA AMWAGIWA SIFA KIBAO KWA KUWA MFANO, TUKIWA TUNAELEKEA MWEZI MTUKUFU
huu ni mfano mzurisana alioonyesha msanii huyu wa bongo movie, nadhani ni kipindi ambacho kila muislam anatakiwakumrudia muumba na kuis... 16:51
huu ni mfano mzurisana alioonyesha msanii huyu wa bongo movie, nadhani ni kipindi ambacho kila muislam anatakiwakumrudia muumba na kuishi katika maadili yanayompendeza yeye bila
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
LULU, MILLARD AYO, KING MAJUTO, DIAMOND PLATINUMZ WATISHA TUZO ZA WATU...! JIONEE MWENYEWE HAPA....
LULU, MILLARD AYO, KING MAJUTO, DIAMOND PLATINUMZ WATISHA TUZO ZA WATU...! JIONEE MWENYEWE HAPA....
Meneja Masoko wa Kampuni ya Proin Promotions Limited, Evance Stephen (Kushoto) akiwa na Msanii Bora wa Kike katika Tuzo za Watu Elizabe... 16:47SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
WAGONJWA WA EBOLA WATOROKA HOSPITALINI
WAGONJWA WA EBOLA WATOROKA HOSPITALINI
Watu zaidi ya miatano tayari wamefariki kutokana na ugonjwa huo katika kanda ya Afrika Magharibi Serikali ya Sierra Leone im... 13:20SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
KIJANA AUAWA NA WANANCHI KWA TUHUMA ZA WIZI WA TV NA SOLAR WILAYANI KAHAMA, SAMAHANI KWA PICHA
KIJANA AUAWA NA WANANCHI KWA TUHUMA ZA WIZI WA TV NA SOLAR WILAYANI KAHAMA, SAMAHANI KWA PICHA
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28-30 ambaye hajafahamika jina lake wala makazi ameuawa na wananchi wanaodaiwa kuwa n... 13:18SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Posts (Atom)