March 26, 2014

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA BENKI YA POSTA TANZANIA

TANZANIA POSTAL BANK JOBS , MARCH 2014 BANKING OPERATIONS OFFICERS (3 POSITIONS)-ILALA, IRINGA &MOSHI BRANCHES thumbnail 1 summary


TANZANIA POSTAL BANK JOBS , MARCH 2014

BANKING OPERATIONS OFFICERS (3 POSITIONS)-ILALA, IRINGA &MOSHI BRANCHES

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO:WATANZANIA 15 WAHUKUMIWA KUNYONGWA NCHINI CHINA KWA KUBEBA MADAWA YA KULEVYA

Matukio ya kukamatwa kwa Watanzania nchini China kwa kesi za biashara ya dawa za kulevya yana idadi kubwa sana ndani ya hii miaka mitano... thumbnail 1 summary


Matukio ya kukamatwa kwa Watanzania nchini China kwa kesi za biashara ya dawa za kulevya yana idadi kubwa sana ndani ya hii miaka mitano iliyopita.
Miezi miwili iliyopita Balozi wa Tanzania China alithibitisha kwenye  kwamba Watanzania wasiozidi mia mbili ndio wamefungwa kwenye magereza mbalimbali ya China kutokana na kesi tofautitofauti ila dawa za kulevya ndio zinaongoza’
Balozi huyu alisema kwa wakati huo hakuwa na rekodi yoyote ya Mtanzania kuhukumiwa kunyongwa au yeyote ambae tayari ameshanyongwa na kwamba kwa taarifa zaidi Wizara ya mambo ya nje itafutwe.
Baada ya hayo yote, hatimae katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje John Haule March 25 2014 ametaja jumla ya Watanzania waliokamatwa kwa kesi ya dawa za kulevya kwa kusema‘tuna Watanzania wengi tu ambao wapo kwenye magereza kule China japo tumeshindwa kwa harakaharaka kupata idadi ya waliojihusisha na shughuli ya dawa za kulevya lakini kuna rekodi fupi tulizonazo sasa hivi’
Katika Magereza ya China mpaka February 2014, tumepewa taarifa na Mamlaka za China kwamba wapo Magerezani Watanzania 177 ambapo 15 kati yao wamehukumiwa kunyongwa kutokana na biashara hiyo ya dawa akini niseme tu wenzetu wa Serikali ya China wanatuthamini sana kama sisi tunavyowathamini’
‘Wenzetu wa China wanathamini zaidi uhusiano wetu na ndiyo maana hata wale wachache Watanzania waliohukumiwa kunyongwa hawajanyongwa mpaka leo na hatutegemei kama watanyongwa, yani sanasana watafungwa kifungo cha maisha gerezani’.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIKWAZO VYAZIDI KUIANDAMA URUSI,YAONDOLEWA KWENYE KUNDI LA NCHI TAJIRI DUNIA G-7

  Viongozi wa kundi la mataifa saba tajiri zaidi duniani, G-7, wanafanya mazungumzo kwa siku ya pili mfululizo hivi leo mjini Hague, Uho... thumbnail 1 summary

 
Viongozi wa kundi la mataifa saba tajiri zaidi duniani, G-7, wanafanya mazungumzo kwa siku ya pili mfululizo hivi leo mjini Hague, Uholanzi ajenda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI NOMAAA: MSANII RECHO AANIKA TATOO ZAKE HADHARANI...JIONEE HAPA

Msanii wa Miondoko ya Bongo fleva ajulikanaye kwajina la Recho naye  leo hii kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka wazi Tatoo zake  ali... thumbnail 1 summary

clip_image002[20]
Msanii wa Miondoko ya Bongo fleva ajulikanaye kwajina la Recho naye  leo hii kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka wazi Tatoo zake  alizozichora mwilini mwake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE KWA VITUKO..!! SASA AIBUKA NA PENZI JIPYA LA SERENGETI BOY ANAYECHIPUKIA KWENYE MUZIKI..

KWA  mara  nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka thumbnail 1 summary


KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUUH..!! MGANGA WA KIENYEJI APIGWA NENO LA UPAKO MPAKA KUSALIMISHA VIFAA VYAKE...TAZAMA PICHA ZA TUKIO HAPA

Mganga wa kienyeji maarufu akisalimisha kanisani na vifaa vyake.  Watu wanaojihusisha na masuala ya uganga thumbnail 1 summary




Mganga wa kienyeji maarufu akisalimisha kanisani na vifaa vyake. 

Watu wanaojihusisha na masuala ya uganga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND AWAPA MAKAVU LIVE BASATA BAADA YA NYIMBO KADHAA KUZUILIWA..HIKI NDICHO ALICHOSEMA...SOMA HAPA KUJUA

Baada ya nyimboz ya SNURA (MAJANGA), TEMA MATE TUWA CHAPE ya MADEE na JUX (UZURI WAKO) kuondolewa katika KILI Awards thumbnail 1 summary



Baada ya nyimboz ya SNURA (MAJANGA), TEMA MATE TUWA CHAPE ya MADEE na JUX (UZURI WAKO) kuondolewa katika KILI Awards

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI KWELII?? DIAMOND CHALI: LILE GARI ALILOUZIA SURA SASA KUPIGWA BEI...STORI KAMILI HII HAPA....

LILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muz i ki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ liko sokoni lin... thumbnail 1 summary

LILE gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 alilokuwa akitanua nalo staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ liko sokoni linapigwa bei

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUUH: MREMBO AUNGUZWA SEHEMU ZA SIRI NA MOTO WA AJABU...SOMA ZAIDI HAPA....!

Doto Omari kushoto aliyeunguzwa na moto wa ajabu sehemu za siri. KATIKA tukio linalohusishwa na ushirikina, mwanamke mmoja aliyejulik... thumbnail 1 summary

Doto Omari kushoto aliyeunguzwa na moto wa ajabu sehemu za siri.
KATIKA tukio linalohusishwa na ushirikina, mwanamke mmoja aliyejulikana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TABIA CHAFU BONGO MOVIE .... MTOTO MZURI BATULI AFUNGUKA NA KUTOA YA MOYONI .. FAHAMU HAPA

MSANII wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph  ‘Batuli’ amesema tabia mbaya za baadhi ya wasan i i wenzao ndizo zinazowaharibia na kuwafa... thumbnail 1 summary

MSANII wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph  ‘Batuli’ amesema tabia mbaya za baadhi ya wasanii wenzao ndizo zinazowaharibia na kuwafanya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATARII..MSANII NISHA ALA ZA USO KWA KUMUANIKA MTANDAONI MTOTO MWATHIRIKA WA HIV...SOMA HAPA

Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ akiwa na mtoto aliyemwanika laivu mitandaoni. OOHOOO! Staa wa sinema za Kibongo, Salma ... thumbnail 1 summary

Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ akiwa na mtoto aliyemwanika laivu mitandaoni.
OOHOOO! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINI KABULA WA BONGO MUVI ANENA MAZITO KUHUSU KUOLEWA AISEEE...SOMA ZAIDI HAPA...

MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mw i ng... thumbnail 1 summary

MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU HALI TETE, AIBUA MAPYA YENYE MAZITO NDANI YAKE KUTOKANA NA AHADI FAKE ... SOMA ZAIDI HAPA

HABARI ya mjini hivi sasa ni kuhusu bifu linalotembea chini kwa chini kati ya nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambay... thumbnail 1 summary


HABARI ya mjini hivi sasa ni kuhusu bifu linalotembea chini kwa chini kati ya nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambaye anadaiwa kumchefua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAN UTD WACHEZEA KICHAPO KUTOKA MAN CITY WAKIWA OLD TRAFORD ... MSIMU WAO HUU

Manchester City wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Edin Dzeko dakika ya kwanza. thumbnail 1 summary

Manchester City wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Edin Dzeko dakika ya kwanza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: