January 13, 2014

KCC YATWAA UBINGWA MAPINDUZI CUP, BAADA YA KUMCHAPA MNYAMA (SIMBA) 1 - 0

Wachezaji wa KCC, viongozi na mashabiki wao wakishangilia ushindi baada ya kutwaa komb... thumbnail 1 summary
Wachezaji wa KCC, viongozi na mashabiki wao wakishangilia ushindi baada ya kutwaa kombe la Mapinduzi leo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

THT YAANDAA MASTAA WAPYA 2014

Wanafunzi wapya walioingia kwa mwaka wa 2014 kwenye nyumba ya kukuzia vipaji nchini THT,wakiwa kwenye picha ya pamoja. thumbnail 1 summary
Wanafunzi wapya walioingia kwa mwaka wa 2014 kwenye nyumba ya kukuzia vipaji nchini THT,wakiwa kwenye picha ya pamoja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHRISTIANO RONALDO ATWAA TUZO YA FIFA BALLON D'OR 2013 ..... SOMA HAPA

Christiano Ronaldo. MCHEZAJI wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Christiano R... thumbnail 1 summary
Christiano Ronaldo.
MCHEZAJI wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Christiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2013 (Ballon d'O 2013) usiku huu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ATAKA KUMTOROSHA BINTI AKAWE MFANYAKAZI WA NDANI ... HABARI KAMILI HAPA

Wananchi wa Frelimo mjini Iringa wakiwa wamemweka chini ya ulinzi mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Zuhura Angero ambae anatuhumiw... thumbnail 1 summary

Wananchi wa Frelimo mjini Iringa wakiwa wamemweka chini ya ulinzi mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Zuhura Angero ambae anatuhumiwa kutaka kumtorosha binti wa kazi kwa ajili ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MIRROR, MASTAA BONGO MUVI WAJIACHIA CLUB 71 TEGETA .... KWA RAHA ZETU ..JIONEE HAPA

                         Wema Sepetu akiimba na Mirror. thumbnail 1 summary

                         Wema Sepetu akiimba na Mirror.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA MUDA MREFU, SASA MWASITI AIBUKA NA KIBAO KIPYA SOKONI .... SOMA ZAIDI

Baada ya kimya cha muda mrefu kupita sasa hii ndo ngoma mpya ya Mwasiti aliyoitoa leo,pata nafasi ya ku... thumbnail 1 summary

Cover Done
Baada ya kimya cha muda mrefu kupita sasa hii ndo ngoma mpya ya Mwasiti aliyoitoa leo,pata nafasi ya kuusikiliza wimbo huu uliofanywa studio za Sorround Sound Records na Producer ni Tuddy Thomas.

BOFYA HAPO CHINI KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD MWASITI NEW SONG
MWASITI - SEREBUKA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA BEYONCE AFANYIWA MASQUERADE BASIDEI PATI (HBD) NA WANAWE .... SOMA ZAIDI

Beyonce na mdogo wake Solange wametumia kiasi k... thumbnail 1 summary
1
Beyonce na mdogo wake Solange wametumia kiasi kisichopungua dola 100,000 kumuandalia luxury Masquerade birthday party mama yao alivyofikisha miaka 60.
List ya mastaa waliofika kwenye party hiyo ni Jay Z,The Dream,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JUX KA-POST INSTAGRAM KUMTAKIA JACK CLIFF BASIDEI (HBD) NJEMA, NINI KAANDIKA? SOMA HAPA... MAHABA NIUE

Ni siku kama tano zimepita toka ubalozi wa Tanzania nchini China usema hauna taarifa zozote za kukamatwa kwa Mtanzania Jackie Cliff huk... thumbnail 1 summary

cliff
Ni siku kama tano zimepita toka ubalozi wa Tanzania nchini China usema hauna taarifa zozote za kukamatwa kwa Mtanzania Jackie Cliff huko China na kwamba Watanzania wa mwisho kukamatwa ilikua December 2013 na walikua Wanaume.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TOFAUTI NA KUIGIZA HIKI NDICHO KINGINE ANAFANYA DR CHENI .... KWA HABARI ZAIDI SOMA HAPA

 Dr.CHENI ambaye yeye tofauti na uigizaji pia ni mshehereshaji(MC) amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli za masherehe ya kutosha... thumbnail 1 summary


 Dr.CHENI ambaye yeye tofauti na uigizaji pia ni mshehereshaji(MC) amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli za masherehe ya kutosha, Cheni ameuambia mtaandao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OPERESHENI TOKOMEZA YA PILI KUANZA KARIBUNI .... WAJUE MAKAMANDA HAPA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. WAKATI hatua zaidi zikisubiriwa... thumbnail 1 summary
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.
WAKATI hatua zaidi zikisubiriwa kuchukuliwa kwa watendaji waliohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa Operesheni Tokomeza, Rais Jakaya Kikwete

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUUUUH ...... MONALISA HOFU YA JUJU .... KWANINI? SOMA HAPA

Yvone Cherry ‘Monalisa’. STAA wa filamu Bongo, Yvone Cherry ‘Monalisa’ amesema anaogopa kuweka wazi mambo yake kwa kuhofia kupigwa ju... thumbnail 1 summary

Yvone Cherry ‘Monalisa’.
STAA wa filamu Bongo, Yvone Cherry ‘Monalisa’ amesema anaogopa kuweka wazi mambo yake kwa kuhofia kupigwa juju hivyo anaishi kwa siri.Akipiga stori

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AMTEMBELEA MH. MOHAMMED DEWJI ...SOMA HAPA

CEO wa Kampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji... thumbnail 1 summary
CEO wa Kampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji Balozi (kulia) akimsindikiza Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BREAKING NEWSSS!!! TAKUKURU (PCCB) YATOA MAJINA YA WALIOFUDHU KUFANYA MCHUJO WA KWANZA...CHEKI HAPA

The following applicants have been shortlisted for the Aptitude Test after meeting the basic requirements as per our advertisement on thumbnail 1 summary


The following applicants have been shortlisted for the Aptitude Test after meeting the basic requirements as per our advertisement on

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUJIFUNGUA MTOTO WA KIKE...ROSE NDAUKA AZUNGUMZIA ... SOMA HAPA KUJUA

WIKI tatu tangu ajifungue mtoto wa kike, staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka amesema amejifunza tendo hilo siyo la mchezo na kugundua... thumbnail 1 summary

WIKI tatu tangu ajifungue mtoto wa kike, staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka amesema amejifunza tendo hilo siyo la mchezo na kugundua kuwa mama anapaswa kuheshimiwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHELSEA YATOA PAUNI MILIONI 25 KUMSAJILI NEMANJA

Kiungo wa Benfica, Nemanja Matic (kulia) anahusishwa na kurejea Chelsea kwa Pauni Milioni 25 thumbnail 1 summary


Kiungo wa Benfica, Nemanja Matic (kulia) anahusishwa na kurejea Chelsea kwa Pauni Milioni 25

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHEZEA MAISHA YA U SUPER STAR WEWE......SASA PUB YA ANT EZEKIEL CHALI..ADAIWA KUFULIA KINOMA

Aunt Ezekiel. PUB iliyoibuka kwa muda mchache na kukamata ‘taito’ kubwa Bongo ya mwigizaji Aunt Ezekiel, Demonte imefungwa ghafl... thumbnail 1 summary


Aunt Ezekiel.

PUB iliyoibuka kwa muda mchache na kukamata ‘taito’ kubwa Bongo ya mwigizaji Aunt Ezekiel, Demonte imefungwa ghafla,
haitoi huduma tena.Imedaiwa kuwa, pub hiyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI NOMAA ... MPIGA CHABO MAARUFU ABAMBWA UVUNGUNI MWA KITANDA AKIWACHUNGULIA MKE NA MUME..JIONEE MWENYEWE HAPA

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, Mwanza NI aibu kubwa! Mpigachabo maarufu nchini, Andrea Masangu (29) amenaswa ... thumbnail 1 summary

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, Mwanza
NI aibu kubwa! Mpigachabo maarufu nchini, Andrea Masangu (29) amenaswa akiwa kwenye uvungu wa kitanda akiwapiga chabo wanandoa, Ijumaa Wikienda lina mkasa wote mkononi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKE WANGU ANAINGIA CHUMBANI KWA MDOGO WANGU WA KIUME AKIWA NA KIVAZI CHA AJABU..???USHAURI JAMANI NIFANYEJE

Kumbe ilikuwa ni tabia yake kwenda kwa mdogo wangu huyo wa kiume ambaye ni mtoto wa shangazi yangu, na kula uroda waka... thumbnail 1 summary


Kumbe ilikuwa ni tabia yake kwenda kwa mdogo wangu huyo wa kiume ambaye ni mtoto wa shangazi yangu, na kula uroda wakati mimi sipo, nilipata tetesi hizo kutoka kwa housegirl wetu lakini sikuweza kuamini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDIVYO KUNDI LA WATOTO WA MBWAMWITU LINAVYOTISHIA MAISHA YA WAKAZI WA KIWALANI...SOMA ZAIDI KUJUA

Mweneyekiti wa serikali ya Mtaa wa yombo Bwana Athuman Maembe amesema kundi la kiharamia la watoto wa Mbwamwitu lina... thumbnail 1 summary

Mweneyekiti wa serikali ya Mtaa wa yombo Bwana Athuman Maembe amesema kundi la kiharamia la watoto wa Mbwamwitu linaraditibiwa na Mtoto wa Mzee Lukosi.

Kundi hili linafanya uporaji wa mali za wananchi katika eneo la Kiwalani.  

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MBOTO: SIJAWAHI KUTOKA NA AUNT EZEKIEL .... SOMA ZAIDI

KAMA kawa, kama dawa, wiki iliyopita tulimleta kwenu ‘komediani’ kiraka Bongo, Haji S... thumbnail 1 summary
KAMA kawa, kama dawa, wiki iliyopita tulimleta kwenu ‘komediani’ kiraka Bongo, Haji Salum almaarufu Mboto ambaye mulimuuliza maswali magumu ambayo wiki hii anayajibu na kuchambua moja baada ya lingine. UNGANA NAYE…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hadithi .... Mimba ya jini-08

ILIPOISHIA: Alijiuliza kama akikitumia nini kitakuwa, alimtuma mtoto duka la dawa baridi akamletee kipimo kile. Baada ya kuletewa ali... thumbnail 1 summary

ILIPOISHIA:
Alijiuliza kama akikitumia nini kitakuwa, alimtuma mtoto duka la dawa baridi akamletee kipimo kile. Baada ya kuletewa alikwenda msalani na kujisaidia haja ndogo na kuiweka kwenye kikopo kisafi na kurudi nacho chumbani.
SASA ENDELEA...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: