January 13, 2014

TOFAUTI NA KUIGIZA HIKI NDICHO KINGINE ANAFANYA DR CHENI .... KWA HABARI ZAIDI SOMA HAPA

 Dr.CHENI ambaye yeye tofauti na uigizaji pia ni mshehereshaji(MC) amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli za masherehe ya kutosha... thumbnail 1 summary


 Dr.CHENI ambaye yeye tofauti na uigizaji pia ni mshehereshaji(MC) amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli za masherehe ya kutosha, Cheni ameuambia mtaandao wetu kuwa huwa anapokea simu nyingi sana za kumhitaji kufanya sherehe kama MC na yuko tayari wakati wowote anapohitajika maana yeye yupo kwa ajili ya jamii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments