December 19, 2013

WEMA Amkumbuka KANUMBA...!!

WEMA Sepetu ameweka wazi kwamba tangu aanze uigizaji filamu miaka mitano iliyopita ameshiriki filamu 10 pekee ambazo hata... thumbnail 1 summary


WEMA Sepetu ameweka wazi kwamba tangu aanze uigizaji filamu miaka mitano iliyopita ameshiriki filamu 10 pekee ambazo hata hivyo zimefanya vizuri.
Wema alisema kuwa anashukuru Mungu kutokana na mafanikio yaliyotokana na kazi alizozifanya kwa kipindi kirefu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tani 18 za Dhahabu zinatoroshwa Nchini kwenda Nchi za Nje kila Mwaka...!!

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefichua kuwapo kwa utoroshaji mkubwa wa madini unaofanywa na baadhi ya wac... thumbnail 1 summary


Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefichua kuwapo kwa utoroshaji mkubwa wa madini unaofanywa na baadhi ya wachimbaji wadogo na kubainisha tani 18 za dhahabu hutoroshwa kila mwaka kwenda nje.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanawake Mjini Morogoro wamchachamalia Mkuu wa Wilaya mara baada ya kuwaambia wasikubali kutumiwa kama Kodomu au tambara la deki na Wanasiasa kipindi cha Uchaguzi..!!

MKUU wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka amezusha tafrani na kulalamikiwa na baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (... thumbnail 1 summary

MKUU wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka amezusha tafrani na kulalamikiwa na baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT),  wilayani humo baada ya kutoa kauli kwamba wasikubali kutumika kama kondomu ama tambara la deki wakati wa chaguzi mbalimbali.

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero (DC), Antony Mtaka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHADEMA wagoma kushughulikia rufaa ya Zitto...!!

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa iliyokatwa n... thumbnail 1 summary

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa iliyokatwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa Baraza Kuu kupinga uamuzi wa Kamati Kuu (CC) wa kumvua nyadhifa zake katika chama, hadi hapo itakapopitia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAGAME awakera waombolezaji kwenye msiba wa MANDELA..!!

Alitua ghafla na kwenda kumuaga Mandela *Aondoka bila kumpa mkono wa pole Rais Zuma KATIKA hali isiyotarajiwa, Rais Paul Kagame wa R... thumbnail 1 summary

Alitua ghafla na kwenda kumuaga Mandela
*Aondoka bila kumpa mkono wa pole Rais Zuma
KATIKA hali isiyotarajiwa, Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumatano iliyopita aliwashangaza wengi baada ya kufika ghafla jijini Pretoria, Afrika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RIYAMA AWACHANA MAKAVU WASANII WA BONGO MOVIE KWA KUPIGANA DENDA

RIYAMA amesema kuwa anachukizwa na vitendo vya kimapenzi vinavyoonyeshwa kwenye filamu nyingi za sasa, ikiwemo m... thumbnail 1 summary




RIYAMA amesema kuwa anachukizwa na vitendo vya kimapenzi vinavyoonyeshwa kwenye filamu nyingi za sasa, ikiwemo mabusu ya staili ya kulana denda.

Riyama alisema kuwa zamani walikuwa wanapigana mabusu mashavuni kama ishara ya mapenzi na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE RAISI KIKWETE ASAINI HATI YA DHARURA YA KUFANYA MAREKEBISHO KWENYE MUSWADA WA FEDHA ILI KUONDOA KODI YA LAINI ZA SIMU



Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alipotoa agizo kwa wahusika kulishughulikia suala  hilo....
Naibu Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano,sayansi na teknolojia “January Makamba” ametoa habari mpya na nzuri  kuhusu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAUME KAZI KWENU RAY C AANIKA SIFA ZA MWANAUME WA KUMUOA

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameibuka na kusema kuwa anahitaji mume anayemzidi umri kwa miaka kumi... thumbnail 1 summary




STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameibuka na kusema kuwa anahitaji mume anayemzidi umri kwa miaka kumi.
Akizungumza hivi karibuni kwenye kituo kimoja maarufu cha runinga, Ray C alisema anahitaji mwanaume mtu mzima anayemzidi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA SI KANUMBA YANGENIKUTA MAZITO..... YAPI HAYO??? SOMA ZAIDI

Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. SURA ya mauzo katika sinema za ... thumbnail 1 summary

Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’.

SURA ya mauzo katika sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ametoa ya moyoni kuwa kama siyo kuwekwa nyuma ya nondo za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO.....MKE WA OBAMAKUMCHUNGA MME WAKE KWENYE MSIBA WA MANDELA (PHOTOS)

Nelson Mandela’s memorial service saw a hundred presidents from around  he globe head to South Africa to take part in this hist... thumbnail 1 summary


Nelson Mandela’s memorial service saw a hundred presidents from around  he globe head to South Africa to take part in this historical event. Among them was our president Uhuru Kenyatta who was well applauded by the crowd upon introduction.
Being a big event, many activities were taking place

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NI PICHA ZA NDEGE YA ETHIOPIA AIRLINES ILITUA GHAFLA ARUSHA,ABIRIA 200 WANUSURIKA.

 Ndege kubwa ya shirika la Ethiopian Airlines iliyokuwa na abiria 200 imelazimika kutua ghafla kwenye uwanja wa ndege w... thumbnail 1 summary


 Ndege kubwa ya shirika la Ethiopian Airlines iliyokuwa na abiria 200 imelazimika kutua ghafla kwenye uwanja wa ndege wa Arusha leo mchana muda wa saa saba na robo mchana.
NDEGE 3
Ndege aina ya Boeing 767-383ER ya shirika la Ethiopian Airline ikiwa imetua kwa dharura kwenye uwanja wa ndege wa Arusha na kuingia pembezoni mwa njia ya kurukia
Utuaji huo ulikuwa wa hatari kwakuwa njia ya ndege

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE MWENYE HASIRA

1 Tafuta sababu ya yeye kukasirika. Angalia hiyo hasira yake imesababishwa na nini. Labda ni wewe ndiyo umesababisha kutokana na kuk... thumbnail 1 summary




1 Tafuta sababu ya yeye kukasirika. Angalia hiyo hasira yake imesababishwa na nini. Labda ni wewe ndiyo umesababisha kutokana na kukosekana na maelewano mazuri baina ya kitu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DK. CHENI KUMPINDUA RAY UENYEKITI WA BONGO MOVIE

                                                      Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni... thumbnail 1 summary



                                                      Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’.

UAMUZI wa kujitosa kuwania nafasi ya uenyekiti wa kundi la mastaa la Bongo Muvi kwa mwigizaji Mahsein Awadhi ‘Dk. Cheni’, umempa wakati mgumu mwenyekiti anayemaliza muda wake wa kuliongoza kundi hilo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa hofu ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WOLPER NA ZAMARADI BADO BIFU NI ZITO..SOMA HAPA KUJUA KINACHOENDELEA

Jacqueline Wolper. Na Shakoor Jongo STAA wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper amemrushia maneno ya lawama Mtangazaji wa Kipindi c... thumbnail 1 summary


Jacqueline Wolper.
Na Shakoor Jongo
STAA wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper amemrushia maneno ya lawama Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, Zamaradi Mketema kuwa ni mnafki na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAMANI ETI HAYA MAVAZI YANAFAA KWA HOUSE GIRL? ..MDAU SEMA NENO HAPA

  Wapo watu ambao bado hawajajua madhara ya mavazi, mavazi yanaweza kuharibu nyumba, dada wa ka... thumbnail 1 summary


Wapo watu ambao bado hawajajua madhara ya mavazi, mavazi yanaweza kuharibu nyumba, dada wa kazi akijiachia namna

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NDIZO CHANNEL ZINAZOPATIKANA KWENYE KING'AMUZI CHA AZAM TV NA BEI YAKE NA MALIPO KWA MWEZI........ SOMA ZAIDI



 
FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE AZINDUA KIDOTI CLUB....

Mrembo, Muimbaji, Muigizaji wa filamu, Mtangazaji wa TV na Mjasiriamali nchini, Jokate Mwegelo aka Kidoti leo amefanya... thumbnail 1 summary


Mrembo, Muimbaji, Muigizaji wa filamu, Mtangazaji wa TV na Mjasiriamali nchini, Jokate Mwegelo aka Kidoti leo amefanya uzinduzi wa kile alichokiita ‘Kidoti Club’.
Ni huduma za SMS, watu wanajiunga kwenye ‘Kidoti Club’ na watakuwa watapata tips mbalimbali za urembo, mitindo na mambo ya lifestyle, inspiration… na baadae

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwigulu Nchemba akerwa na kitendo cha Freeman Mbowe kuchanganya kazi na Mapenzi bungeni.....Alitaka bunge kuchunguza posho zilizoliwa na hawara yake

Mbunge wa Iramba Magharibi, mh. Mwigulu Nchemba  leo  asubuhi  aliomba  mwongozo  wa  Spika  wa  bunge  akimtuhumu M... thumbnail 1 summary



Mbunge wa Iramba Magharibi, mh. Mwigulu Nchemba  leo  asubuhi  aliomba  mwongozo  wa  Spika  wa  bunge  akimtuhumu Mh. Mbowe  kwamba  amekuwa  akitumia  madaraka  yake  vibaya  kwa  kuchanganya  mapenzi  na  kazi, hali  inayolichafua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hatimaye Barua ya Mwigamba yatua kwa msajili wa vyama vya Siasa Nchini...!!

Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini, imethibitisha kupokea barua ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Cha... thumbnail 1 summary

Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini, imethibitisha kupokea barua ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba.

Msajili wa Vyama vya Siasa,Jaji Francis Mutungi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VERA AJIBU BAA YA HUDDAH MONROE KUMTUPIA MANENO MAKALI VERA SIDIKA KWA KUSEMA ANAMILIKI NYUMBA NIGERIA...

Well, yo'all know them for flaunting their cash, or shaking their booties while showing off what they've got...the ... thumbnail 1 summary


Well, yo'all know them for flaunting their cash, or shaking their booties while showing off what they've got...the Bootylicious Vera Sidika and Socialite Queen Huddah Monroe, the two ladies who rule the socialite industry in Kenya. As it seems, Vera Sidika of late has been claiming to own a mansion in Abuja, Nigeria a  fact that

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BARNABA ALIONYESHA GARI LAKE JIPYA...,,TAZAMA MAPICHA YA GARI HILO HAPA

Bado huamini kwamba muziki wa bongo sasa unalipa? Kama umejibu ndiyo nakushauri u-update fikra zako sababu wasanii wa miaka... thumbnail 1 summary


Bado huamini kwamba muziki wa bongo sasa unalipa? Kama umejibu ndiyo nakushauri u-update fikra zako sababu wasanii wa miaka ya sasa wamekuwa wakionesha mafanikio ya aina mbalimbali yanayotokana na kazi ya muziki wanayoifanya.

Barnaba wa THT leo amemwonesha ‘baby wake’ mpya kupitia Instagram, tena akiwa bado hata hajapewa ‘birth certificate’. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHOSTI UNA UHURU WA KUFUNGUKA KWA MUMEO..SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

  ASALAAM alaikum/Bwana Yesu asifiwe! Bila shaka ni wazima wa afya na mnaendelea vema na kazi zenu za kulijenga... thumbnail 1 summary


 
ASALAAM alaikum/Bwana Yesu asifiwe!
Bila shaka ni wazima wa afya na mnaendelea vema na kazi zenu za kulijenga taifa, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu inshalla atawaponya na kwa waliokutwa na misiba nawaombea subra ishallah Mungu awapatie moyo wa uvumilivu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND ATUPIA PICHA YAKE AKIWA AMEVALIA MAVAZI YA CHRISTMAS...MTAZAME HAPA

Zikiwa zimebaki siku chache tu hadi kusherehekewa kwa sikukuu ya Christmas, mastaa wengi duniani wamekuwa wakishare kadi zao spe... thumbnail 1 summary

Zikiwa zimebaki siku chache tu hadi kusherehekewa kwa sikukuu ya Christmas, mastaa wengi duniani wamekuwa wakishare kadi zao spesho za Christmas zenye picha zao pia. Kwa Nigeria tayari Iyanya amefanya hivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: