January 18, 2015

SIRI YAFICHUKA ZARI MPENZI MPYA WA DIAMOND KUMBE NI MTU MZIMA KULIKO DIAMOND..!! HUU APA NDIYO UMRI WAKE HALISI

LOL: DIAMOND’s new LOVER is as old as a grandmother, here is her real age!!! thumbnail 1 summary
LOL: DIAMOND’s new LOVER is as old as a grandmother, here is her real age!!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AY AZIWEKA WAZI HADHARANI SIFA ZA MPENZI WAKE WA ZAMANI AMANI WA KENYA

Msanii wa muziki na mfanya biashara Ambwene Yessaya a.k.a AY yuko jijini Nairobi kwa sasa, na katika moja ya mahojiano aliyoyafanya na Stan... thumbnail 1 summary

Msanii wa muziki na mfanya biashara Ambwene Yessaya a.k.a AY yuko jijini Nairobi kwa sasa, na katika moja ya mahojiano aliyoyafanya na Standard Digital ya Kenya, amezungumzia uhusiano wake na ex-girlfriend wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII APA ZAWADI AMBAYO RAY C AMEMWANDALIA JAKAYA KIKWETE

Rais Jakaya Kikwete ana mchango mkubwa kwenye maisha ya Rehela Chalamila aka Ray C. Kwa kutambua hilo, Ray C anatarajia kumpa zawadi maalum... thumbnail 1 summary

Rais Jakaya Kikwete ana mchango mkubwa kwenye maisha ya Rehela Chalamila aka Ray C. Kwa kutambua hilo, Ray C anatarajia kumpa zawadi maalum kwa moyo wake aliouonesha kuokoa maisha ya muimbaji huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE HIKI NDICHO WALICHOZUNGUMZA DIAMOND PLATNUM NA NELLY WAKATI WA BET AWARDS==>>SOMA MWENYEWE HAPA

This photo was taken last year during the 2014 BET awards. Like you can see, Bongo star, Diamond Platnumz was present during event. And h... thumbnail 1 summary

This photo was taken last year during the 2014 BET awards. Like you can see, Bongo star, Diamond Platnumz was present during event. And he hanged with Nelly..

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MBUNGE MACHEMLI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUTOMLIPA MSHAHARA MFANYAKAZI WAKE KWA MIEZI 35

MBUNGE wa Jimbo la Ukerewe, Salvatory Machemuli (Chadema), amefikishwa katika Mahakama ya Kazi akidaiwa mshahara wa miaka mitatu na mh... thumbnail 1 summary

MBUNGE wa Jimbo la Ukerewe, Salvatory Machemuli (Chadema), amefikishwa katika Mahakama ya Kazi akidaiwa mshahara wa miaka mitatu na mhudumu wa Ofisi yake ya Mbunge wa Jimbo la Ukerewe jijini Mwanza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CRISTIANO RONALDO AACHANA NA MCHUMBA WAKE, KISA

Inaaminika Cristiano Ronaldo amethibitisha kuachana na Irina Shayk SIRI imefichuka!. Cristiano Ronaldo alisherehekea mwaka mpy... thumbnail 1 summary


Inaaminika Cristiano Ronaldo amethibitisha kuachana na Irina Shayk
SIRI imefichuka!. Cristiano Ronaldo alisherehekea mwaka mpya peke yake baada ya mchumba wake, Mrusi kutokwenda katika sherehe ya siri aliyoandaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EPL: Hiki ndicho kilichojiri kwenye mechi ya Man United vs QPR

Baada ya kutoshinda kwenye ligi kuu ya England kwa mechi 3 mfululizo- wakitoka sare mbili na kupoteza mchezo mmoja dhidi ya Saints, l... thumbnail 1 summary

IMG_0990.JPG


Baada ya kutoshinda kwenye ligi kuu ya England kwa mechi 3 mfululizo- wakitoka sare mbili na kupoteza mchezo mmoja dhidi ya Saints, leo hii vijana wa Louis van Gaal walisafiri hadi London kwenda kukipiga na Queens Park Rangers.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nick Cannon na Mariah Carey huenda hii ikawa mwisho…

Ni kama wiki sita hivi zimepita tangu kumekuwa na tetesi za kwamba ndoa ya mastaa wawili,  Mariah Careh  na  Nick   Cannon  imevunjika. thumbnail 1 summary
Mariah CareyNi kama wiki sita hivi zimepita tangu kumekuwa na tetesi za kwamba ndoa ya mastaa wawili, Mariah Careh na Nick Cannon imevunjika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EPL: Matokeo ya Chelsea vs Swansea na Liverpool vs Aston Villa haya hapa

Ligi kuu ya England imeendelea jioni ya leo Katika viwanja tofauti nchini humo. Viongozi wa ligi Chelsea walisafiri mpaka Cardiff k... thumbnail 1 summary

IMG_0988.JPG


Ligi kuu ya England imeendelea jioni ya leo Katika viwanja tofauti nchini humo.
Viongozi wa ligi Chelsea walisafiri mpaka Cardiff kwenda kucheza na Swansea City

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: