March 06, 2015

TAZAMA VIDEO YA RIHANNA AMBAYO NI SHIDA.... AKATA MAUNO NA KIKUNGUA CHEPESI CHA KUONYESHA KILA KITU NDANI

Daah huyu mwadada RIHANA kwakweli ni BALAA...kumbe siku ile na KANGUO chake cha UTUPU...mara baada ya KUTOKE RED CARPET akiwa BAKISTAGE ... thumbnail 1 summary
Daah huyu mwadada RIHANA kwakweli ni BALAA...kumbe siku ile na KANGUO chake cha UTUPU...mara baada ya KUTOKE RED CARPET akiwa BAKISTAGE mwanadada huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA UTUPU, KUTOVAA KUFULI,USAGAJI, KUCHOROPOA MIMBA NA MAMBO YA CHUMBANI! VAI WA UKWELI AFUNGUKA YOTE HAPA!

Wiki hii tunaye msanii wa filamu anayefahamika sana kwa jina la Vai wa Ukweli lakini jina lake halisi ni Isabela Fransis. Mwandishi wet... thumbnail 1 summary

Wiki hii tunaye msanii wa filamu anayefahamika sana kwa jina la Vai wa Ukweli lakini jina lake halisi ni Isabela Fransis. Mwandishi wetu Hamida Hassan alimbana kwa maswali 10 na yeye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAWA NDIO SUPASTAA WANAO ZEEKA BILA NDOA

Possibly they are keeping their private/like lives away from the public, but that’s highly unlikely. We are all wondering why these celebrit... thumbnail 1 summary

Possibly they are keeping their private/like lives away from the public, but that’s highly unlikely. We are all wondering why these celebrities have remained bachelors and spinsters for so long.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nicki Minaj Talks New Album, Her Relationship with Meek Mill, Thoughts on Chris Brown’s Baby Drama and more

Nicki Minaj is currently on tour for the promotion of her Pink Print album and recently she had an interesting interview with BBC radio. thumbnail 1 summary
Nicki Minaj is currently on tour for the promotion of her Pink Print album and recently she had an interesting interview with BBC radio.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA VIDEO HAPA YA MWANAMKE ALIYEJIFYNGUA MJUSI AKIWA HOSPITALINI

Mwanamke mmoja nchini Indonesia amejifungua mjusi badala ya mtoto. Mwanamke huyo Debi Nubatonis, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kup... thumbnail 1 summary

Mwanamke mmoja nchini Indonesia amejifungua mjusi badala ya mtoto.
Mwanamke huyo Debi Nubatonis, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kupata vitisho kutoka kwa kundi la vijana kutokana na kitendo hicho wakimtuhumu kwa uchawi ambapo sasa mamlaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA HAUKIONA HII>>MCHUNGAJI WA MWANADADA AKIONYESHA MATITI YAKE HUKU ANATOA NENO!!!>>>MUNGU TUSAMEHE>

The female pastor is quite s3xy and has a body to die for yes but did she have to show her followers what she got beneath those clothes?Well... thumbnail 1 summary

The female pastor is quite s3xy and has a body to die for yes but did she have to show her followers what she got beneath those clothes?Well this one just did that and it was awkward

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIFO CHA KAPT.KOMBA,LULU''NIHURUMIENI JAMANI! AELEZA ANAVYOASIRIKA KISAIKOLOJIA,MAMA YAKE ASHANGAZWA

Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Moyo unauma! Kufuatia kifo cha ghafla cha Kapteni Mstaafu wa Jeshi la Wananchi... thumbnail 1 summary




Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Moyo unauma! Kufuatia kifo cha ghafla cha Kapteni Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Mbunge wa Mbinga Magharibi mkoani Ruvuma kwa ‘leseni’ ya Chama cha

Mapinduzi (CCM), John Damiano Mtokambali Komba (61), staa wa sinema za Kibongo,


Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kuathirika kisaikolojia kutokana na kushambuliwa mitandaoni.


SALAMU ZAANZA


Baada ya Komba kufariki dunia Jumamosi iliyopita, baadhi ya Watanzania wasio na soni walianza kumtumia salamu za pole Lulu kwa madai kwamba aliwahi kutuhumiwa kutoka na mheshimiwa huyo ambaye pia alikuwa mwimbaji mwenye jina kubwa Bongo.


Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma.


Habari kutoka kwa chanzo chetu ambacho ni mtu wa karibu wa Lulu, staa huyo alijikuta akiumia moyo kama walivyo binadamu wengine lakini hali hiyo imekuwa ikimtesa hasa aina ya meseji zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwanaume ‘akiwa karibu naye’ basi ajiandae kuaga dunia.


MANENO YA KUCHOMA MOYO


“Eti mwanaume kama ana jina linaloishia na ‘mba’ kama Komba au Kanumba (marehemu steven Kanumba) basi imekula kwake,” kilisema chanzo hicho na kufafanua kwamba maneno hayo yameuchoma moyo wa Lulu kiasi kwamba anahitaji ushauri wa kisaikolojia.


Ilisemekana kwamba, hali hiyo imemkosesha raha Lulu na kuwaona baadhi ya Watanzania kuwa ni watu wasiojua maumivu ya moyo kwani naye ana moyo wa nyama na siyo chuma.


Chanzo hicho kilieleza kwamba, kwa umri wa Lulu wa miaka 20 amebebeshwa mzigo mzito mno hadi amefikia hatua ya kutamka waziwazi: “Watanzania imetosha, nimewakosea nini? Naombeni nihurumieni jamani!”


ATHARI ZA KIMASOMO


Kwa mujibu wa chanzo hicho, pamoja na kwamba Lulu anafanya vizuri kwenye masomo yake katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) kilichopo Magogoni-Posta jijini Dar, kuna kila dalili akashindwa kufunika kama kawaida yake kutokana na msongo.


“Unajua wakati mwingine anaogopa hata kuingia kwenye mitandao ya kijamii kama WhatsApp na Instagram kwa sababu huko ndiko kwenye sarakasi na matusi yasiyokuwa na kichwa wala miguu.


ATHARI ZA KISAIKOLOJIA


“Muda mwingi anakuwa hana raha. Anawaza sana. Hata sisi wenyewe inabidi kumlinda asichukue uamuzi wowote mbaya kwa sababu kiukweli hayupo vizuri kisaikolojia kwani hata yeye mwenyewe anakiri ishu hiyo kumuathiri mno kwenye maisha yake,” kilisema chanzo hicho kwa sharti la kutotajwa popote.


LULU YUPO DARASANI


Baada ya kunyetishiwa ukubwa wa ishu hiyo na namna Lulu anavyoteseka, Ijumaa lilimtafuta staa huyo bei mbaya kwa sasa kwenye Bongo Movies ambapo ilishindikana kwa kuwa alikuwa darasani.


MAMA’KE ASHANGAZWA NA YANAYOTOKEA


Gazeti hili lilipomgeukia mama wa mwigizaji huyo, Lucresia Karugila na kumuuliza namna anavyochukulia ishu hiyo ya mwanaye kuhusishwa kwenye suala hilo alieleza jinsi anavyoshangazwa na kusikitishwa na mambo hayo yanayotokea mitandaoni.


“Nashangaa sana watu wanavyomwandama na kumfuatafuata mwanangu.


AKUMBUSHA KIFO CHA KANUMBA


“Ukweli inasikitisha sana tena sana. Sijui mwanangu amewakosea nini! Hata wakati wa kifo cha Kanumba (Aprili 7, 2012), watu walisema mtu wa mwisho ambaye Lulu aliwasiliana naye ni Komba. Polisi walipochunguza walikuta mtu wa mwisho kuwasiliana naye alikuwa ni Jalia (binamu wa Lulu) na siyo Komba.


“Sijui huwa watu wanatoa wapi mambo ya uongo kiasi hicho. Ifike mahali watu waone huruma jamani, wamuhurumie Lulu kwani hajui chochote maskini,” alisema mama Lulu kwa uchungu.


HUYU HAPA LULU


Baadaye alipotafutwa Lulu alifunguka namna ambavyo amesumbuliwa na jambo hilo akiwashangaa Watanzania kuwa huwa wanatoa wapi mambo ya uongo ambayo hayalengi kumjenga kimaendeleo.


“Awali nilikuwa sielewi, nikawa nashangaa napewa pole, nikajiuliza pole za nini?


“Kiukweli Watanzania wanashangaza sana. Wanapenda sana kuzungumza mambo ambayo hawana uhakika nayo.


“Badala wanishauri mambo ya kazi wanaeneza mambo yasiyokuwa na kichwa wala miguu.


“Naombeni Watanzania wajue pia kuwa na mimi ni binadamu wanihurumie,” alisema Lulu anayeonekana kuumizwa na jambo hilo.


MTAALAM WA SAIKOLOJIA


Kwa mujibu wa mtaalam wa masuala ya saikolojia wa gazeti hili, Amrani Kaima, kama hakutakuwa na tahadhari za kumlinda Lulu asiwe kwenye msongo, madhara yake kisaikolojia yanaweza yasionekane haraka hadi hapo baadaye.


“Cha msingi awapuuze. Ni kikundi au watu wachache tu wala asiumize kichwa kuwawazia. Zaidi sana afanye yale yanayomuwekea heshima mbele ya jamii kwa kuwa yeye ni kioo cha jamii,” alisema mtaalam huyo.


YATOKANAYO


Huko nyuma, kabla ya Komba kukutwa na umauti na kuzikwa Jumanne iliyopita kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa, Ruvuma aliwahi kunukuliwa akikanusha kwamba hajawahi kutembea na Lulu na kwamba habari hizo zilikuwa za uzushi tu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEKA MBALI NA WATOTO,ANGALIA PICHA 4 ZA UTAMU WA MKE WA BOSS AKILIWA NA HOUSE BOY KISHA KUSAMBAZA PICHA MTAANI...AIBUUUUUUUUU....!!

AIBU..!! Ndoa ya mke wa kigogo yavunjika kisa picha za uch*i kusambazwa mtaani na kijana ambaye ni mpenzi wake thumbnail 1 summary

AIBU..!! Ndoa ya mke wa kigogo yavunjika kisa picha za uch*i kusambazwa mtaani na kijana ambaye ni mpenzi wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NUH MZIWANDA ANUSURIKA KUPIGWA CHUPA NA SHILOLE AMBAYE NI MPENZI WAKE

Staa wa Bongo Fleva na Bongo Movie,Shilole amedaiwa kutaka kumpiga tena mpenzi wake ambaye pia ni msanii Nuh Mziwanda kwa chupa hivi karibun... thumbnail 1 summary



Staa wa Bongo Fleva na Bongo Movie,Shilole amedaiwa kutaka kumpiga tena mpenzi wake ambaye pia ni msanii Nuh Mziwanda kwa chupa hivi karibuni wakiwa kwenye sherehe ya kuzaliwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ASKARI POLISI WA KIKE AVULIWA NGUA NA KUACHWA MTUPU, UKO MKOANI SINGIDA

Wafanyabiashara watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdh... thumbnail 1 summary


Wafanyabiashara watatu na wanachuo watano wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida wakikabiliwa na mashitaka ya kumdhalilisha kupindukia askari polisi wa kike na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: