August 28, 2014

Kinachosemekana kutoka kwa Jokate na Ommy Dimpoz kwa sasa #LOVE

Sijui kama ni time ya mastar wa Tanzania kuamua kuonyesha wazi mapenzi yao kwa mastar wenzao,hii ni kutoka kwenye meza ya Soudy Brown amb... thumbnail 1 summary
jokate_mwegeloSijui kama ni time ya mastar wa Tanzania kuamua kuonyesha wazi mapenzi yao kwa mastar wenzao,hii ni kutoka kwenye meza ya Soudy Brown ambapo kuna stori zimetoka kuhusu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Good news!! hivi ndivyo makundi ya Champions League yalivyopangwa

Hatimaye ligi ya mabingwa wa Ulaya imeanza kwa kupangwa kwa makundi ya michuano hiyo ambapo tukio la upangwaji wa makundi haya umefanyika... thumbnail 1 summary
IMG_6821.JPGHatimaye ligi ya mabingwa wa Ulaya imeanza kwa kupangwa kwa makundi ya michuano hiyo ambapo tukio la upangwaji wa makundi haya umefanyika kwenye jiji la Monaco, Ufaransa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND PLATNUMZ AMTEMBEZEA KICHAPO ‘HEAVY’ BABY AKE WEMA SEPETU CHANZO VICTORIA KIMANI.

Rais wa serikali ya watu wasafi Tanzania, Naseeb Abdul Ei Kei Ei Diamond Platnumz au Sukari ya warembo amemshushia kichapo cha mbwa mwi... thumbnail 1 summary
Image
Rais wa serikali ya watu wasafi Tanzania, Naseeb Abdul Ei Kei Ei Diamond Platnumz au Sukari ya warembo amemshushia kichapo cha mbwa mwizi, nyonga mkalia ini wake, Wema Abraham Sepetu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIPUMBA ADAI RAIS KIKWETE AMEPOTEZA DIRA

Profesa Lipumba alisema Rais Jakaya Kikwete ameshindwa kusimamia ahadi zake, hali inayochangia kupwaya kwa utawala wake. Akifafanua h... thumbnail 1 summary
Profesa Lipumba alisema Rais Jakaya Kikwete
ameshindwa kusimamia ahadi zake, hali
inayochangia kupwaya kwa utawala wake.
Akifafanua hoja yake, mwanasiasa hiyo
alisema, “Katika hotuba yake ya mwisho wa
mwaka 2011 ambapo pia alianzisha mchakato
wa Katiba, alisema kutakuwa na kituo cha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NIKUITE NANI PESA??? BEYONCE AMZAWADIA NICKI MINAJ MKUFU WA ALMASI

Penye fungu daima ndipo panapoongezeka, mbali na  Remix ya wimbo wa Beyoncé ”Flawless” aliomshirikisha Nicki Minaj kufanya vizuri kweny... thumbnail 1 summary
Nicki Minaj na Beyonce
Penye fungu daima ndipo panapoongezeka, mbali na  Remix ya wimbo wa Beyoncé ”Flawless” aliomshirikisha Nicki Minaj kufanya vizuri kwenye vituo na sehemu mbalimbali pia umeboresha urafiki wao baada ya Mrs Carter kuonyesha jeuri ya pesa kwa kumzawadia diva huyo wa Young Money mkufu wa shingoni wa almasi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

soma hapa Alichosema wema baada ya Diamond kutangaza ndoa

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz ametangaza ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Wema Sepetu anayosema itafungwa hivi ka... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinumz ametangaza ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Wema Sepetu anayosema itafungwa hivi karibuni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Flora Mbasha asema "Nina Mimba ya Mbasha sio Gwajima " Check Out

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya ki... thumbnail 1 summary
Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baba yake Beyonce afichua siri ya tetesi za talaka kati ya Jay Z na Beyonce, Bey aripotiwa kuwa mjamzito

Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles afichua siri ya kuwepo ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia k... thumbnail 1 summary
Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles afichua siri ya kuwepo ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia kuhusu kilichosababisha ugonvi kati ya Solange na Jay ndani ya lift.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Van Gaal: Huenda ikatuchukua Mwaka Mzima Kuepuka Madhila Haya ya Aibu Kwa Team ya Man United

Meneja wa klabu ya Man Utd Aloysius Paulus Maria van Gaal amelia na kikosi chake ambacho usiku wa kuamkia hii leo kiliendelea kula m... thumbnail 1 summary

Meneja wa klabu ya Man Utd Aloysius Paulus Maria van Gaal amelia na kikosi chake ambacho usiku wa kuamkia hii leo kiliendelea kula msoto wa kutopata matokeo mazuri tangu msimu wa soka huko nchini Uinmgereza ulipoanza August 16.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FAHAMU UZURI NA UBAYA WA FREEMASON. BOFYA HAPA KUFAHAMU ZAIDI

Dar es Salaam. Wamekuwa wakitajwa kwenye kila aina ya minong’ono. Tumeona matangazo yakialika watu kujiunga nao kama wanataka kupata u... thumbnail 1 summary
Dar es Salaam. Wamekuwa wakitajwa kwenye kila aina ya minong’ono. Tumeona matangazo yakialika watu kujiunga nao kama wanataka kupata utajiri na kuwa watu wenye nguvu. Lakini bado Freemason

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASKINI PANYA WAMTAFUNA PUA NA VIGANJA MTOTO WA MWEZI MMOJA

Taarifa kutoka mjini Johannesburg Afrika Kusini zinasema - kuwa panya walimng'ata mtoto wa mwezi mmoja vidole na pua Mtoto huyo anas... thumbnail 1 summary
Taarifa kutoka mjini Johannesburg Afrika Kusini zinasema - kuwa panya walimng'ata mtoto wa mwezi mmoja vidole na pua Mtoto huyo anasubiri kufanyia upasuaji wa kuumba maumbile yake ya usoni baada ya tukio hilo huko Alexandra, Johannesburg .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NUHU MZIWANDA AZUA GUMZO JIPYAAAAAAH KABISA, SOMA HAPA UONDO WOTE

  STAA wa Bongo Fleva, Nuh Naftari Mlawa ‘Nuh’ amefunguka ya moyoni kuhusiana na kipaji chake na kusema kuwa ‘sexy lady’ wa Bongo Fleva,... thumbnail 1 summary
 
STAA wa Bongo Fleva, Nuh Naftari Mlawa ‘Nuh’ amefunguka ya moyoni kuhusiana na kipaji chake na kusema kuwa ‘sexy lady’ wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROONEY NAHODHA MPYA ENGLAND

KOCHA wa England, Roy Hodgson amemteua mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney kuwa nahodha mpya wa timu hiyo ya taifa. thumbnail 1 summary
KOCHA wa England, Roy Hodgson amemteua mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney kuwa nahodha mpya wa timu hiyo ya taifa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PENZI LA LUPITA NYONG’O NA K’NAAN SASA LIVE BILA CHENGA

Lupita Nyong’o na K’Naan. WASANII  maarufu kutoka Afrika wanaotamba katika ngazi za kimataifa --  K’Naan kutoka Somalia aliyetamba sana n... thumbnail 1 summary
Lupita Nyong’o na K’Naan.
WASANII maarufu kutoka Afrika wanaotamba katika ngazi za kimataifa --  K’Naan kutoka Somalia aliyetamba sana na wimbo wake wa Kombe la Dunia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ENOCK SONTONGA NDIYE MTUNZI WA WIMBO WA ‘MUNGU IBARIKI AFRIKA’

Enock Sontonga, JE, unamfahamu mtu aliyetunga sauti  (melody ) ya wimbo ambao leo Watanzania wanauita Wimbo wa Taifa?Huyu ni Enock Sonton... thumbnail 1 summary
Enock Sontonga,
JE, unamfahamu mtu aliyetunga sauti (melody) ya wimbo ambao leo Watanzania wanauita Wimbo wa Taifa?Huyu ni Enock Sontonga, raia wa Afrika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA MARA YA KWANZA RONALDO AFUNGUKA KUHUSIANA NA URAFIKI WAKE NA MESSI

Kwa mara ya kwanza mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefunguka kuhusiana na uhusiano wake na Lionel Messi na kusema a... thumbnail 1 summary
Kwa mara ya kwanza mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefunguka kuhusiana na uhusiano wake na Lionel Messi na kusema anamheshimu hasa juhudi zake za kutaka mafanikio kama mchezaji pamoja na klabu yake ya Barcelona.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA ILI KUJUA NAMNA YA KUONDOA TATIZO LA KUTOJIAMINI

Kila kitu ambacho ni halisi kinawezekana. Bila shaka unakumbuka vizuri kuhusu namna kutojiamini kwetu kunavyojengwa. Kwa kuwa tunajua cha... thumbnail 1 summary
Kila kitu ambacho ni halisi kinawezekana. Bila shaka unakumbuka vizuri kuhusu namna kutojiamini kwetu kunavyojengwa. Kwa kuwa tunajua chanzo, ni rahisi kupata tiba.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Umeisoma ripoti ya leo kuhusu chai na chakula kwenye bunge la katiba?

Gazeti la Mtanzania August 28 2014 ndio limeripoti hii stori kuhusu Bunge la Katiba linaloendelea Dodoma, kikubwa ni gharama mbalimbali z... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-28 at 10.20.29 AMGazeti la Mtanzania August 28 2014 ndio limeripoti hii stori kuhusu Bunge la Katiba linaloendelea Dodoma, kikubwa ni gharama mbalimbali zinazotumiwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya Lampard kustaafu – wachezaji wengine wawili wafuata mkondo wake

Siku kadhaa baada ya Frank Lampard kutangaza kustaafu soka la kimataifa – jana ilikuwa siku nyingine kwa wanasoka wawili wa kimataifa bar... thumbnail 1 summary
frank-lampard-volleySiku kadhaa baada ya Frank Lampard kutangaza kustaafu soka la kimataifa – jana ilikuwa siku nyingine kwa wanasoka wawili wa kimataifa barani nao walitangaza uamuzi wa kuachana na soka la kimataifa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MTOTO AGONGWA NA GARI NA KUFARIKI VWAWA- MBEYA

Mtoto mwenye umri wa miaka 09 aliyefahamika kwa jina la Nelly Alick mkazi wa Mlolo amefariki muda dunia muda mfupi wakati thumbnail 1 summary
Mtoto mwenye umri wa miaka 09 aliyefahamika kwa jina la Nelly Alick mkazi wa Mlolo amefariki muda dunia muda mfupi wakati

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RECHO ACHEZEA ZA USO TOKA KWA MASHABIKI BAADA YA KUPOST PICHA YA NUSU UTUPU INSTAGRAM

Picha ya Recho iliyomfanya ashambuliwe!  Muimbaji wa ‘Kizunguzungu’ Racho amejikuta katika wakati mgumu na kushambuliwa Instagram baada ... thumbnail 1 summary
Picha ya Recho iliyomfanya ashambuliwe! 
Muimbaji wa ‘Kizunguzungu’ Racho amejikuta katika wakati mgumu na kushambuliwa Instagram baada ya kuweka picha ya mitego. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MHHHHH....WEMA NA PREZZO KUNANI TENA...ANGALIA PICHA ZAO ZA KIMAPENZI CHEKI HAPA

Hivi karbuni wema na dangote wamekua hawaelewani katika mapenzi yao, na sasa kuna uvumi mwingi mitaani hizi ni baadhi ya picha za wema ak... thumbnail 1 summary
Hivi karbuni wema na dangote wamekua hawaelewani katika mapenzi yao, na sasa kuna uvumi mwingi mitaani hizi ni baadhi ya picha za wema akiwa na prezzoo wa kenya zilizowashtua wengi kwani prezzo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

COUTINHO APIGA BONGE LA BAO YANGA SC IKIICHAPA KMKM 2-0 AMAAN

Na Mahmoud Zubeiry, ZANZIBAR YANGA SC imemaliza ziara yake ya kisiwani Unguja kwa ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi... thumbnail 1 summary

Na Mahmoud Zubeiry, ZANZIBAR YANGA SC imemaliza ziara yake ya kisiwani Unguja kwa ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya KMKM,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ulimis kutazama ushindi wa Arsenal vs Besiktas Aug 27? video ziko hapa

August 27 2014 Arsenal imepata furaha nyingine baada ya kuichapa Besiktas ambapo ushindi huo umeifanya kuingia kwenye hatua ya makundi Ch... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-28 at 6.47.56 AMAugust 27 2014 Arsenal imepata furaha nyingine baada ya kuichapa Besiktas ambapo ushindi huo umeifanya kuingia kwenye hatua ya makundi Champions

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jeshi la Uganda lime-take over! sasa ndio litaandaa shindano la Miss Uganda.

Toka nimeanza kuandika na kufatilia habari sijawahi kusikia jeshi la nchi limechukua hatamu kuendesha mashindano ya urembo tena mashindan... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-28 at 8.27.35 AMToka nimeanza kuandika na kufatilia habari sijawahi kusikia jeshi la nchi limechukua hatamu kuendesha mashindano ya urembo tena mashindano yanayokutanisha warembo kutoka sehemu mbalimbali za taifa ili kumtafuta

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ATESEKA KITANDANI MIAKA MITATU NI BAADA YA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA BABA YAKE

INASIKITISHA!  Johanitha Robert Mulokozi (31) amekuwa kitandani kwa miaka mitatu kutokana na kuugua ugonjwa wa kupooza mwili mzima.Mama h... thumbnail 1 summary
INASIKITISHA! Johanitha Robert Mulokozi (31) amekuwa kitandani kwa miaka mitatu kutokana na kuugua ugonjwa wa kupooza mwili mzima.Mama huyo mwenye mtoto mmoja amekuwa akisumbuka na ugonjwa huo uliomfanya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZITTO KABWE AANIKA HADHARANI UHUSIANO WAKE NA DIVA WA CLOUDS

KWA mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loven... thumbnail 1 summary
KWA mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa wawili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BIFU LA MADEE NA NEY WA MITEGO LAZIKWA RASMI

WASANII  waliokuwa wakipigania cheo cha urais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’, na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, hatimaye wamemaliza ... thumbnail 1 summary
WASANII waliokuwa wakipigania cheo cha urais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’, na Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, hatimaye wamemaliza tofauti zao baada ya kudumu kwenye bifu kwa muda mrefu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAINDA WA BONGO MOVIE AZICHAPA NGUMI KANISANI NA MPENDWA MWENZAKE

MADAI mazito!  Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kugombana na muumini  mwenzake kwenye kanisa analoabudu kwa s... thumbnail 1 summary
MADAI mazito! Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kugombana na muumini  mwenzake kwenye kanisa analoabudu kwa sasa, Amani  limedokezwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: