August 28, 2014

Ulimis kutazama ushindi wa Arsenal vs Besiktas Aug 27? video ziko hapa

August 27 2014 Arsenal imepata furaha nyingine baada ya kuichapa Besiktas ambapo ushindi huo umeifanya kuingia kwenye hatua ya makundi Ch... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-28 at 6.47.56 AMAugust 27 2014 Arsenal imepata furaha nyingine baada ya kuichapa Besiktas ambapo ushindi huo umeifanya kuingia kwenye hatua ya makundi Champions
League.
Ni goli ambalo lilifungwa na Sanchez kwenye dakika ya 45+1 na lilikaa mpaka mwisho na kufanya game ikaisha kwa ushindi huohuo wa 1-0.

Pamoja na ushindi huo kocha Arsene Wenger asema haikuwa rahisi kushinda hiyo mechi.
Screen Shot 2014-08-28 at 6.49.05 AM

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: