March 23, 2016

POLISI INATAKA KUMSHTAKI MAMA ALIYEPIGWA RISASI NA MWANAE WA MIAKA 4.

Kwa mujibu wa kamanda wa Polisi mjini Putnam County, Capt. Gator DeLoach, Polisi mjini humo inapanga kumfungulia mashtaka mama mmoja aitw... thumbnail 1 summary
Kwa mujibu wa kamanda wa Polisi mjini Putnam County, Capt. Gator DeLoach, Polisi mjini humo inapanga kumfungulia mashtaka mama mmoja aitwae Jamie Gilt, kwa kosa la kuweka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JUMA NATURE:NATAKA NIMTULIZE DIAMOND CHINI.

Mkongwe wa muziki wa BongoFleva,Juma Nature amesema kuwa ingawa anatambua kwamba Diamond Platnumz kwa sasa yuko juu,lakini yuko tayari ku... thumbnail 1 summary
Mkongwe wa muziki wa BongoFleva,Juma Nature amesema kuwa ingawa anatambua kwamba Diamond Platnumz kwa sasa yuko juu,lakini yuko tayari kupambana naye ili ijulikane

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAD: BABA WA MUIMBAJI AVRIL AFARIKI DUNIA.

Baba wa star wa muziki nchini Kenya, Avril, amefariki Dunia ghafla Jana Jumanne ya tarehe 22. thumbnail 1 summary
Baba wa star wa muziki nchini Kenya, Avril, amefariki Dunia ghafla Jana Jumanne ya tarehe 22.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUTEGEMEE COLABO YA JAGUAR NA NICK MINAJ?.

Jaguar ilimlazimu kusafiri wikiend iliyopita mpaka Johanesburg Afrika kusini, kutazama show ya star wa kike wa Hip hop Nick Minaj. thumbnail 1 summary
Jaguar ilimlazimu kusafiri wikiend iliyopita mpaka Johanesburg Afrika kusini, kutazama show ya star wa kike wa Hip hop Nick Minaj.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TFF WAWAKUSHUSHA WADAU KUACHANA NA MCHEZO MCHAFU

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inapenda kuwakumbusha wanafamilia wa mpira wa miguu juu ya ibara ya 59 kifungu kidogo cha 11 ... thumbnail 1 summary
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inapenda kuwakumbusha wanafamilia wa mpira wa miguu juu ya ibara ya 59 kifungu kidogo cha 11 kinachotamka:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SUAREZ KUCHEZA DHIDI YA BRAZIL

Mshambuliaji wa FC Barcelona, Luis Suarez amerejea kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uruguay kwa ajili ya mchezo wa k... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa FC Barcelona, Luis Suarez amerejea kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uruguay kwa ajili ya mchezo wa kimashindano, baada ya kumaliza adhabu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAMES ALLISON KUTOSHIRIKI BAHRAIN GP

Uongozi wa timu ya Ferrari inayoshiriki michuano ya mbio za magari, umetangaza taarifa za msiba uliomifika, mkurugenzi wao mtendaji James... thumbnail 1 summary
Uongozi wa timu ya Ferrari inayoshiriki michuano ya mbio za magari, umetangaza taarifa za msiba uliomifika, mkurugenzi wao mtendaji James Allison ambaye amempoteza mkewe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAHABA NIUE:LINNAH AONYESHA MAHABA LIVE KWA MSANII HUYU

Akipiga stori kwenye kipindi cha eNEWS kinachorushwa na ting'a namba moja kwa vijana (EATV) Linah Sanga alisema kuwa toka kipindi cha... thumbnail 1 summary
Akipiga stori kwenye kipindi cha eNEWS kinachorushwa na ting'a namba moja kwa vijana (EATV) Linah Sanga alisema kuwa toka kipindi cha nyuma alikuwa anatamani kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RC Kijuu: Watumishi HEWA Anzeni Kujiondoa Kabla Sijawakamua Majipu

Mkuu mpya wa Mkoa wa Kagera,Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu amewaagiza watumishi wasio na sifa za kuajiriwa kujiondoa kabl... thumbnail 1 summary
Mkuu mpya wa Mkoa wa Kagera,Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu amewaagiza watumishi wasio na sifa za kuajiriwa kujiondoa kabla ya March 31 mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LADY JAYDEE AELEZEA JINSI ALIVYOIPATA IDEA YA ‘NAAMKA TENA’.

Kwa muda mrefu Diva wa muziki wa Bongo Flava ambaye anajulikana kwa ufundi wake wa kucheza na sauti, Judith ‘Ladyjaydee’ Wambura, alikuwa... thumbnail 1 summary
Kwa muda mrefu Diva wa muziki wa Bongo Flava ambaye anajulikana kwa ufundi wake wa kucheza na sauti, Judith ‘Ladyjaydee’ Wambura, alikuwa kimya kikazi (muziki)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKATILI: CHIDI BENZI ACHINJIWA BAHARINI NA FAIZA...... APEWA MANENO MAZITO

Katika ukurasa wake wa Instagram Faiza ameandika huku akiwapondea wale wanaomsikitikia, na kusema kuwa Chid amejichagulia mwenyewe kuwa h... thumbnail 1 summary
Katika ukurasa wake wa Instagram Faiza ameandika huku akiwapondea wale wanaomsikitikia, na kusema kuwa Chid amejichagulia mwenyewe kuwa hivyo kwani kabla hajaanza kutumia alikuwa anafahamu madhara yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHID BENZ APELEKWA SOBA HOUSE BAGAMOYO NA BABU TALE

Meneja wa Diamond, Babutale akishirikiana Kalapina wamemchukua Chidi Benz na mkupeleka Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo ... thumbnail 1 summary
Meneja wa Diamond, Babutale akishirikiana Kalapina wamemchukua Chidi Benz na mkupeleka Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili kumsaidiwa kuacha matumizi ya madawa ya kulevya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Binti wa Miaka 17 Ajifungulia Mtoto Chooni Hospitali ya Amana Dar

Msichana wa umri wa miaka 17 ambaye alikuwa katika machungu ya uzazi, amejikuta akijifungulia mtoto chooni baada ya muuguzi mmoja wa Hosp... thumbnail 1 summary
Msichana wa umri wa miaka 17 ambaye alikuwa katika machungu ya uzazi, amejikuta akijifungulia mtoto chooni baada ya muuguzi mmoja wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIL WAYNE, BIRDMAN ' WARUNDUMUANA ' AGAIN.

Hawa jamaa last year walizika tofauti zao katika klabu moja mjini LA, na waliahidi kufanya kazi kwa umoja tena kama zamani. thumbnail 1 summary
Hawa jamaa last year walizika tofauti zao katika klabu moja mjini LA, na waliahidi kufanya kazi kwa umoja tena kama zamani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAYNA ADAI PICHA ALIYOPIGA NA PREZZO PAMOJA NA AY ILIMSABABISHIA AACHANE NA MCHUMBA WAKE.

Diva wa Bongo Fleva, Diana Nyange ‘Dayna’, amesema kilichosababisha wakaachana na mchumba wake ni wivu wa mapenzi uliotokana na picha ali... thumbnail 1 summary
Diva wa Bongo Fleva, Diana Nyange ‘Dayna’, amesema kilichosababisha wakaachana na mchumba wake ni wivu wa mapenzi uliotokana na picha aliyopiga na wasanii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIO DALILI INAYOONESHA P SQUARE WAMEZIKA TOFAUTI ZAO.

Add caption Ndugu wa Damu wanaounda kikosi ‘heavy’ cha muziki Barani Afrika, P square, inaonekana wamemaliza mgogoro uliokuwapo kati ... thumbnail 1 summary
Add caption
Ndugu wa Damu wanaounda kikosi ‘heavy’ cha muziki Barani Afrika, P square, inaonekana wamemaliza mgogoro uliokuwapo kati yao kwa miezi kadhaa sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vibonzo 3 SIASANI


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PETR CECH AIBUKA KINARA JAMUHURI YA CZECH

Mlinda mlango wa klabu ya Arsenal, Petr Cech ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Jamuhuri ya Czech. thumbnail 1 summary

Mlinda mlango wa klabu ya Arsenal, Petr Cech ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Jamuhuri ya Czech.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CUF YATANGAZA KUTOYATAMBUA MATOKEO YA UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR NA HAKIMTAMBUI DKT SHEIN

Kufuatia ubakaji wa demokrasia kupitia kile kilichoitwa uchaguzi wa marudio uliofanywa juzi tarehe 20 Machi, 2016, jana Mwenyekiti wa Tume ... thumbnail 1 summary
Kufuatia ubakaji wa demokrasia kupitia kile kilichoitwa uchaguzi wa marudio uliofanywa juzi tarehe 20 Machi, 2016, jana Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Jecha Salim Jecha, alikamilisha kazi aliyoagizwa kwa kutangaza kile

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAMES RODRIGUEZ KUWEKWA SOKONI KUTOKANA NA MAMBO HAYA MANNE

UNAWEZA KUTUTUMIA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI KUPITIA kyando27@gmail.com, HABARI ZENYE UHAKIKA PEKEE NASI TUTAZIFANYIA KAZI. ENDELEA KUHAB... thumbnail 1 summary
UNAWEZA KUTUTUMIA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI KUPITIA kyando27@gmail.com, HABARI ZENYE UHAKIKA PEKEE NASI TUTAZIFANYIA KAZI. ENDELEA KUHABARIKA NA MTANDAO WETU.

Kwa mara ya 3 mfululizo, James Rodriguez alizomewa na mashabiki wake wa Real Madrid.
Mshambuliaji huyo wa Colombia alijikuta kwenye jicho la tatu la mashabiki wa Santiago Bernabeu, kila alipogusa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MEN here are 10 HIV Symptoms to Watch Out For In Women

In the United States, about two out of every three new cases of human immunodeficiency virus (HIV) infections in women are due to unprote... thumbnail 1 summary
In the United States, about two out of every three new cases of human immunodeficiency virus (HIV) infections in women are due to unprotected sexual intercourse with an infected

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MEN MUST READ : 8 FOODS THAT INCREASES SPERM COUNT

A) Banana: as i said before in my last post banana contains an enzyme called bromelain which controls s3x hormones and also contains vita... thumbnail 1 summary
A) Banana: as i said before in my last post banana contains an enzyme called bromelain which controls s3x hormones and also contains vitamins like A,B and C which promote sperm

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MCHEZAJI HUYU WA EPL AKUTWA NA SHAMBULIO LA MLIPUKO UWANJA WA NDEGE

Karibia kila chombo cha habari duniani sasa hivi kina ripoti ishu ya mlipuko wa mabomu ndani ya Airport huko Brussel Belgium leo asubui. thumbnail 1 summary
Karibia kila chombo cha habari duniani sasa hivi kina ripoti ishu ya mlipuko wa mabomu ndani ya Airport huko Brussel Belgium leo asubui.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lady Jaydee Afunguka Kuhusu Ishu Ya Kurudiana na Gadner

Msanii mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Lady Jaydee amefunguka kuhusiana na tetesi kwamba amerudiana na aliyekuwa mume wake Gadner G H... thumbnail 1 summary
Msanii mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Lady Jaydee amefunguka kuhusiana na tetesi kwamba amerudiana na aliyekuwa mume wake Gadner G Habash.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni kweli Ozil ataondoka Arsenal kwa sababu ya Wenger? ukweli wake huu

Kiungo wa kimataifa wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki anayekipiga katika klabu yaArsenal ya Uingereza, kwa sasa jina lake limekuwa lik... thumbnail 1 summary
Kiungo wa kimataifa wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki anayekipiga katika klabu yaArsenal ya Uingereza, kwa sasa jina lake limekuwa likitumika kuchochea tetesi za kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alichoandika Dogo Janja baada ya kuona maneno ya Instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz

UNAWEZA KUTUTUMIA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0626 691 232. HABARI ZENYE UHAKIKA PEKEE NASI TUTAZIFANYIA KAZI. END... thumbnail 1 summary
UNAWEZA KUTUTUMIA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0626 691 232. HABARI ZENYE UHAKIKA PEKEE NASI TUTAZIFANYIA KAZI. ENDELEA KUHABARIKA NA MTANDAO WETU.

Headlines za mkali wa Hip Hop, Chid Benz bado hazikwisha kwenye mitandao ambapo leo March 22, 2016 Dogo Janja alipost kile ambacho hakupendezwa baada ya kuona maneo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kauli ya kwanza ya Suarez, baada ya kumaliza adhabu ya kumg’ata Chiellini na kujiunga na Uruguay

Mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay ambaye anaichezea klabu ya FC Barcelona yaHispania Luis Suarez amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya k... thumbnail 1 summary


Mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay ambaye anaichezea klabu ya FC Barcelona yaHispania Luis Suarez amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kumaliza adhabu yake na kujiunga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: