March 23, 2016

TUTEGEMEE COLABO YA JAGUAR NA NICK MINAJ?.

Jaguar ilimlazimu kusafiri wikiend iliyopita mpaka Johanesburg Afrika kusini, kutazama show ya star wa kike wa Hip hop Nick Minaj. thumbnail 1 summary
Jaguar ilimlazimu kusafiri wikiend iliyopita mpaka Johanesburg Afrika kusini, kutazama show ya star wa kike wa Hip hop Nick Minaj.

Mwandishi wa habari za burudani alimnyaka

Jaguar, ambaye alidai pia amelikwenda kurekodi video na akalazimika agusie kama kuna uwezekano wa kolabo kati yao.
“Ni msanii mbunifu na aiyeogopa kuthubutu, kuna kitu kila msanii anaweza kujifunza kutoka kwa msanii mwenzake na mambo kama hayandio husababisha collabo”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments